Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

Yaaani watu zaidi ya million waamini mungu mmoja wawe waongo...??

Kusema katika hilo kundi hakuna wenye akili ya kusema hawajui upi uongo upi ukweli?
This logical fallacy is called "argument from popularity".

Kama watu milioni kuamini Mungu ndiyo lazima huyo Mungu awe wa kweli, watu zaidi ya milioni wakiamini Mungu mmoja na wengine zaidi ya milioni wakiamini Mungu tofauti hapo nani atakuwa kaamini ukweli?
 
Ishu hapo ni kuamini...
Je wewe ambaye uamini kabisa unaona upo sahihi kuliko hiyo population yote..

Kuna mambo mengine mi naona ni vile ujachimba tu ila ukikutana na watu waliochimba zaidi kuhusu dini uwenda ukaamini
 
We jamaa unahamahama mada kama mgonjwa wa akili.

Labda ndiyo sababu umejiita Poor Brain.

Umekubali hiyo ni aya ya Quran au hujakubali?
Nitajie ni aya gani...
Kusoma nimesoma ila sio kuwa deep kusema kila aya najua shekhe...

Sio nahama hama mada mkuu kumbuka mi nimefunga wewe ujafunga ..
 
Ishu hapo ni kuamini...
Je wewe ambaye uamini kabisa unaona upo sahihi kuliko hiyo population yote..

Kuna mambo mengine mi naona ni vile ujachimba tu ila ukikutana na watu waliochimba zaidi kuhusu dini uwenda ukaamini
Kwa nini unaona kuamini ni muhimu?

Kuamini si muhimu. Kwa sababu unaruhusiwa kuamini hata uongo. Ni haki yako ya kikatiba. Ni haki yako iko mpaka kwenye "Universal Declaration of Human Rights".

Kuamini ni jambo subjective. Unaweza kuamini kitu kimoja na mwingine akaamini kitu tofauti. Hamna tatizo.

Mimi siongelei kuamini. Naongelea kutafuta ukweli. Kuthibitisha. Facts.

Sasa kwa nini unao gelea kuamini katika ulimwengu unaoenda kwa fact?

Ukiamini wewe unaweza kupaa ukaruka kutika ghorofa la 30, kuamini kwako kutakufanya upae?
 
Daaah sema kiranga we jamaa una ushetani ndani yako...

Yani kuna mambo unaona kabisa kwanini huna hata ile roho ya uwoga kusema sisi tunaoamini ni danda au....
 
Nitajie ni aya gani...
Kusoma nimesoma ila sio kuwa deep kusema kila aya najua shekhe...

Sio nahama hama mada mkuu kumbuka mi nimefunga wewe ujafunga ..

Chapter (2) sūrat l-baqarah (The Cow)

Sahih International: Allah has set a seal upon their hearts and upon their hearing, and over their vision is a veil. And for them is a great punishment.

Pickthall: Allah hath sealed their hearing and their hearts, and on their eyes there is a covering. Theirs will be an awful doom.

Yusuf Ali: Allah hath set a seal on their hearts and on their hearing, and on their eyes is a veil; great is the penalty they (incur).

Shakir: Allah has set a seal upon their hearts and upon their hearing and there is a covering over their eyes, and there is a great punishment for them.

Muhammad Sarwar: God has sealed their hearts and hearing and their vision is veiled; a great punishment awaits them.

Mohsin Khan: Allah has set a seal on their hearts and on their hearings, (i.e. they are closed from accepting Allah's Guidance), and on their eyes there is a covering. Theirs will be a great torment.

Arberry: God has set a seal on their hearts and on their hearing, and on their eyes is a covering, and there awaits them a mighty chastisement.
 
Daaah sema kiranga we jamaa una ushetani ndani yako...

Yani kuna mambo unaona kabisa kwanini huna hata ile roho ya uwoga kusema sisi tunaoamini ni danda au....
Shetani hayupo mkuu, hizo ni hadithi za kutungwa na watu tu.

Ndiyo maana hata wewe huwezi kuthibitisha yupo.
 
Mimi ndiye mwenye Uzi naaangalia unavyopepetwa na genius Kiranga
😂😂😂😂😂 Sikujua bana..
Unajua kiranga kuna mda anakua yupo vzr tu na hapo mwanzo alikua mtu wa dini safi kabisa...

Utata unakuja baada ya kusoma philosophy pamoja na ideology basi...
 
Chapter (2) sūrat l-baqarah (The Cow)

Sahih International: Allah has set a seal upon their hearts and upon their hearing, and over their vision is a veil. And for them is a great punishment.

Pickthall: Allah hath sealed their hearing and their hearts, and on their eyes there is a covering. Theirs will be an awful doom.

Yusuf Ali: Allah hath set a seal on their hearts and on their hearing, and on their eyes is a veil; great is the penalty they (incur).

Shakir: Allah has set a seal upon their hearts and upon their hearing and there is a covering over their eyes, and there is a great punishment for them.

Muhammad Sarwar: God has sealed their hearts and hearing and their vision is veiled; a great punishment awaits them.

Mohsin Khan: Allah has set a seal on their hearts and on their hearings, (i.e. they are closed from accepting Allah's Guidance), and on their eyes there is a covering. Theirs will be a great torment.

Arberry: God has set a seal on their hearts and on their hearing, and on their eyes is a covering, and there awaits them a mighty chastisement.
Uko vizuri mkuu hongera Sana endelea kumvua nguo huyu Poor Brain
 
Sasa kiranga mbona na wewe unakua kigeu geu mkuu...

Kuna sehemu nimekuuliza swali ujanijibu kabisa..

Kuhusu hi haya ni vile wewee umeitafsiri kwa kutumia akili ya kawaida sio akili ya kiroho.

Ipo hivo haya maandiko ili uwelewe inabidi uwe una kitu zaidi mungu kakupa...
 
😂😂😂😂😂 Sikujua bana..
Unajua kiranga kuna mda anakua yupo vzr tu na hapo mwanzo alikua mtu wa dini safi kabisa...

Utata unakuja baada ya kusoma philosophy pamoja na ideology basi...
Lakini anachodai na kukipigia upatu ni sahii
 
Sasa kiranga mbona na wewe unakua kigeu geu mkuu...

Kuna sehemu nimekuuliza swali ujanijibu kabisa..

Kuhusu hi haya ni vile wewee umeitafsiri kwa kutumia akili ya kawaida sio akili ya kiroho.

Ipo hivo haya maandiko ili uwelewe inabidi uwe una kitu zaidi mungu kakupa...
Swali gani sijakujibu?

Roho ni nini? Unaweza kuthibitisha ipo?
 
Back
Top Bottom