Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

Mzee wa hall V, kwani no angu unayo?
Au nikupe acc ya CRDB? Em kua serious, nikisikia kuhusu pesa navurugwa mwenzio.

😂😂😂😂😂
Sogea Kwa wakala natuma codes chap hapo za crdb uingize
 
Ulisema unataka tukutane, ulikuwa unataka tukutane tufanye nini?
Hii mada ilishapita na kuisha babu yangu
Kwann unapenda kurudia rudia hicho kipengele
Na nilisema sikujibu tena kuhusu hilo
 
Ulisema hunijibu tena kuhusu hilo au hunijibu tena?

Umejizuia kutonijibu lakini mahaba yamekushinda umerudi tena?
Mahaba kwa babu yangu????
mbona unanikosea heshima mzee
Si kila anayekujibu anamahaba na wew
acha kuwa na mtazamo hasi kwa wajukuu zako
 
Mapenzi nyoko ukimpata wa ubavu atakunyoosha hadi unanyoosha mikono.
mapenzi hayana mbabe
 
Hiyo ni moja ya dalili kuwa umri umekutupa mkono, nikiwa na miaka 22-28 nilikuwa naongea na simu usiku kama kichaa, sasa hivi ukikuta macho saa nne niko naperuzi jamii forum kimya kimya bila kelele
Basi mkuu, umechelewa mimi miaka 23 tu nilikua siwezi
 
Mkuu kwa maelezo yako yameonesha jinsi ulivyo mdhaifu wa mahusiano.

Pili ni kuwa hao unaowamwaga kwa sababu ya kukushobokea, huwa wamekupenda zaidi ya ulivyowapenda wewe, mizani huwa imeegemea kwako.

Udhaifu wako ninaousema hapa ni kwamba, hao wapenzi wako hushindwa kuwapa ratiba zako sahihi za mawasiliano namna unavyotaka yawe, badala yake unakuja kufungukia huku Jf kuwa huwa unapata kero, ambapo wao wanakuwa hawajui lolote!

Ungeliwaweka wazi wala wasingelijisumbua kufanya kihere here cha kukutafuta kila saa.

Wanaume kama nyinyi, siyo strong sana kwenye mahusiano ya kimapenzi pamwe ndoa.

Bw mdogo wangu alikuwa na maneno kama ya kwako hayo, ...'ooh mi siwezi pandwa kichwani na mwanamke'!...

Siku moja nikafumania anafulishwa nguo na mke wake, huku shemeji kakaa kwenye sofa akichati raha mustarehe.

Nikaona kumbe hawa wanaojigamba sana kwenye mahusiano ndiyo watu dhaifu na dhalili sana wakipatiwa 'angle' ya kuwekwa sawa!

Sasa na wewe ipo siku utajakwamishwa na sehemu ambayo kila mtu atakushangaa, msg ama simu kutoka kwake utakuwa unaziona kama dhahabu, ni nzuri sana, tamu hata ikiwa na herufi mbili tu za 'hi', zisizokuwa na maana yoyote na hautapenda kuzifuta na kuzipoteza haraka haraka.

Mkuu omba sana siku zote chaguo lako liegemee kupendwa tu, lakini ikija kutokea na wewe ukapenda, utakuja kunyanyasika sana kisaikolojia kwa sababu ulishazoea kunyanyasa na kukandamiza wapenzi zako.

Wanakwambia 'Karma is real' ama 'muosha huoshwa'.

Hayana sifa wala formula hayo.
Wanaume tunatakiwa tusapotiane holoholo makutupora mkipata nafasi ya kuvunja moyo🤣Vunja hadi bandama
 
Wakuu
Katika maisha ya mahusiano tunapitia mengi,unaweza ukapendwa sana mpaka ukawa unahisi ni kero sasa

Mtu kila saa anakutafuta,anakutumia text,anakupigia,ukimjibu au ukichelewa kumjibu anakulaumu na "mbona kimya" zinakuwa nyingi

Hali hii mimi binafsi huwa siipendi na ikitokea mwanamke wa namna hii basi nampiga chini haraka sana,siwezi kuwa saa niko na simu tu nachati au naongea na wewe kama nimekosa kazi ya kufanya.

Nimeachana na first11 ya wanawake dizaini hii.

Usawahi kudate na mdada au mwanaume wa namna hii? Hali ilikuwaje,ulikabiliana nae vipi na mahusiano yako bado yapo?
Cc Binti Sayuni03
Miaka michache iliyopita, kulikuwa na mdada mmoja mtaani kwetu alikuwa ananipenda kweli na alijuwa kabisa mimi ni mume wa mtu, alijitahidi mpaka akaja kujuwa nafanya kazi wapi. Katika yote haya mimi nilikuwa sijuwi kama ananipenda kwani nilikuwa sina mazoea naye kivile kwani kila nikimsalimia alikuwa ananiangalia tu na kunijibu pale anapojisikia, awali nilidhani ana dharau ila sikumtilia maanani na wala sikumjali. Nilishangaa siku ya siku nipo kazini naitwa na mlinzi, ananiambia una mgeni ghorofa ya chini anakusubiri, kumuuliza ni nani kwani nilikuwa sipendi watu waje kunitembele kazini, akaniambia tu kuna mwanamama anadai ni shangazi yako. Nilipanic mno na kwenda chini, ile nashuka tu nakutana na huyo mdada jirani yangu kapendeza kama vile anatoka kwenye interview ya kazi. Namsogelea kujuwa kulikoni, nashangaa ananikumbatia na kunibusu shavuni as if tunajuana kinoma....kwa kweli nilishangaa sana na kuanza kuona haibu kwani nilikuwa sina mazoea naye.

Tukaenda sehemu ya wageni, tukakaa pale na mdada akaanza kujinadi na kumwaga sera zake za uchaguzi kwangu. Anaongea huku anatetemeka, nikamuelewa na kumpa masharti yangu akayakubali so tukayajenga. Kesho yake nikaanza kuvamia jimbo lake na kuanza kula mzigo kama mpiga kura wake halali na akawa anataka kila siku kabla ya kurudi nyumbani nipitie kwake nimle kisha niende nyumbani na wakati mwingine alikuwa anataka nilale kwake mpaka nikawa nahisi anataka kunivunjia ndoa yangu. Nilipoanza sasa kupunguza kumla kwa fujo akawa ananiwinda na mpaka akaja nyumbani na kuanza urafiki na mke wangu. Sikupendelewa na hili kwani mke wangu naye alishangaa huyu mdada kunijuwa kinoma. Nikampiga marufuku huyu mdada kuja nyumbani, hakupendezwa na hili so akawa ananifuata kazini na kudai atanisubiri mpaka kazi iishe tukakulane na alikuwa ananiambia kabisa hawezi kulała bila kumpa chakula cha roho. Basi hiki chakula cha roho kilikuja kumchanganya akili huyu mdada mpaka akawa sasa anamtambia mke wangu huko mitaani kuwa yeye (hawara) ndiye mke halali kwangu na mke wangu ni suala la muda tu eti nina mpango wa kumwacha.

Aliaminisha watu mtaani mpaka kina Mama wengine walikuwa wakiniona walikuwa wananiambia nimuonee huruma mke wangu na wakawa wanasema mbona mnapendana na mnaendana iweje nimwache mke wangu kwa jailli ya changudoa kama yule? Baada ya kuuliza kulikoni ndipo nikaambiwa kuwa yule mdada anatangazia watu kuwa nina mpango wa kumwacha mke wangu kwa ajili yake. Pale mtaani karibia kila mtu alikuwa anajuwa mimi namla yule mdada japo sijamtangazia mtu yeyote.

Nikakaa kama siku mbili hivi bila kuwasiliana na yule mdada maana nilikuwa na hasira naye na kazini alikuwa haji kwani nilishamkatazaga. Cha kushangaza bwana, siku moja tupo nyumbani tunaangalia Champions League na mke wangu na baadhi ya mashemeji zangu, nashangaa saa tano usiku mtu anabonyeza kengele getini, ile nafungulia mbwa na kwenda kuangalia ni nani namkuta yeye, wacha aangushe varangati pale pale getini. Nilimzaba vibao ili anyamaze lakini wapi kwani alipiga mayowe eti nabakwa jamani naomba msaada, huyu mtu ananibaka. Ndani ya dakika 10 watu walijazana mno pale getini, basi yule mdada akamwaga mboga na kusimulia watu kila kitu juu ya uhusiano wetu. Yaani nilikoma jamani ila naishia hapa kwa sasa kwani bado nina mdachungu na yule demu.
 
Aisee
 
Back
Top Bottom