Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,848
- 58,556
Tupo mwezi mtukufu mkuuHawa watu wanafia dini ambazo hata kuzijua hawazijui 😂😂😂
Tupo mwezi mtukufu mkuuHawa watu wanafia dini ambazo hata kuzijua hawazijui 😂😂😂
That is irrelevant.Kiranga wewe ni keyboard warrior...
Live live sizani kama una uwezo wa kuongea haya ahahaha
Mkuu nimekuuliza wewe unaamini huyo.mungu aliyopo ameubwa si ndo hvo...?Swali gani sijakujibu?
Roho ni nini? Unaweza kuthibitisha ipo?
Wewe tatizo lako hata utashi wa kujua mambo huna.Sio anivue nguo kuna mambo lazima tuwekane sawa..
Haiwezekani watu tisa waseme 1+1 ni 2 alafu uje wewe na idea zako useme ni 3
How came
Nimekwambia sitaki kujadili imani. Imani unaruhusiwa kuamini hata ujinga wowote, uongo wowote.Mkuu nimekuuliza wewe unaamini huyo.mungu aliyopo ameubwa si ndo hvo...?
Refer kule juu uliposema kwenye system ya vitu complex hata huyo wa juu yupo aliye muumba...
Kibu hapo ndio au hapana
Kitendo cha kukataa Mungu hayupo ni kitendo kibaya sana tena unaweza hatarisha amani ya dunia nzima ..That is irrelevant.
Kitu muhimu ni point, live unataka unione unilipue na mabomu na kupiga kelele takbeeer!
Kwanini ni google...Wewe tatizo lako hata utashi wa kujua mambo huna.
Nimekufundisha logical fallacy ya "argument from popularity" umeshindwa hata kujiingeza kui Google kujifunza ni kitu gani.
Unaangusha chini viwango.
Lazima upite hvi ahahahahhaha...Nimekwambia sitaki kujadili imani. Imani unaruhusiwa kuamini hata ujinga wowote, uongo wowote.
Sasa kwa nini unaona imani ni kitu cha kujadili?
Hivi unanielewa?
Una hata uwezo wa kunielewa?
Wewe hata kuandika Kiswahili tu hujui.Kitendo cha kukataa Mungu hayupo ni kitendo kibaya sana tena unaweza hatarisha amani ya dunia nzima ..
Ndio maana mnatafutwa maana ni waongo ..
Na unajua uwongo ni noum
Kwanini ni google...
Nilijua tu kuna sehemu utafika utageuza kibao na hii si mara yako ya kwanza mkuuWewe hata kuandika Kiswahili tu hujui.
Unajua wewe ndiye unayekataa Mungu hayupo, mimi nasema Mungu hayupo, sikatai Mungu hayupo?
Si kwamba nageuza kibao, wewe hujui logic ndogo tu ya ku avoid doubke negatives, nitaelewana nawe vipi kwenye abstract logic ya philosiphy of religion?Nilijua tu kuna sehemu utafika utageuza kibao na hii si mara yako ya kwanza mkuu
Uwezo ninao na nimekuelewa...Si kwamba nageuza kibao, wewe hujui logic ndogo tu ya ku avoid doubke negatives, nitaelewana nawe vipi kwenye abstract logic ya philosiphy of religion?
Nilipokwambia unapojenga hoja kwamba complexity must be designed umejenga hoja ya kusema Mungu hayupo, ulinielewa? Una uwezo wa kunielewa?
Ngoja tuoneUwezo ninao na nimekuelewa...
Tubaki hapo hapo kwenye hoja ya complexity ....
Alafu ukifatilia deep wewe tayari unaamini uwepo wa mtu ambaye ana control kila kitu ila tu kumuita hilo jina ndo hutaki..
Ukute mimi na wewe ni watoto wa baba mmoja ila we mwenzangu utaki kuita baba ila unataka kumuita mtoto wa babu.... Sijui umenielewa
Kwa nini unapenda sana kuongelea imani wakati imani si lazima iwe kwenye ukweli?Uwezo ninao na nimekuelewa...
Tubaki hapo hapo kwenye hoja ya complexity ....
Alafu ukifatilia deep wewe tayari unaamini uwepo wa mtu ambaye ana control kila kitu ila tu kumuita hilo jina ndo hutaki..
Ukute mimi na wewe ni watoto wa baba mmoja ila we mwenzangu utaki kuita baba ila unataka kumuita mtoto wa babu.... Sijui umenielewa
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌...Kwa nini unapenda sana kuongelea imani wakati imani si lazima iwe kwenye ukweli?
Ni mara ngapi unataka nirudie jambo hili?
Hivi na uzee huo hujaoa khaaaaHuyo ndiye yule tushazinguana mpaka nimemblock ila anaomba turudiane.
Kwann unaulizaWengine mnawafaham vipi member wa humu jf ktk maisha yao halisi?
Ukikutana na CRUSH wako hata haiwezi kua kero..Nishawahi kupendwa kwakweli ni kerooo, anapiga simu kama customer care wa mikopo ya mtandaoni, yaani sasa usipokee aanalalamika kama aliyewekewa pilau bila nyama, nilimwacha yule kaka sipendi ujinga mimi
Umeelewa point yako ya complexity ni ya kuonesha Mungu hayupo, si ya kuonesha Mungu yupo?😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌...
Na hapo ujafunga je ungefunga kama mimi hapa si ungechanganyana tayari....
Sisi ndio KATAA NDOA Ila tumezalisha watoto...just a joke 🤣Hivi na uzee huo hujaoa khaaaa