Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,812
- 4,063
Hiv pesa kweny mapenzi ni ya ziada? au penz ndo laziada?Hela inanifikisha mawenzi, na inakata kiu ya vitu vyote.
nifumbue
Hiv pesa kweny mapenzi ni ya ziada? au penz ndo laziada?Hela inanifikisha mawenzi, na inakata kiu ya vitu vyote.
Hapo siamini tayari, halafu bibie analazimisha kulalia kifua mpaka katika mfungo wa Ramadhan kama hivi.Kipindi hiko ulikua safi huna mambo ya ajabu kama sasa ...
Ulikua muumini
Ulikua unafunga kabisa aiseeeHapo siamini tayari, halafu bibie analazimisha kulalia kifua mpaka katika mfungo wa Ramadhan kama hivi.
Huelewi.Ulikua unafunga kabisa aiseee
😀😀😀😀😀😂😂😂😂
Watu mmetokea mbali sana aiseeeee
Ukabiliane nae tena?Wakuu
Katika maisha ya mahusiano tunapitia mengi,unaweza ukapendwa sana mpaka ukawa unahisi ni kero sasa
Mtu kila saa anakutafuta,anakutumia text,anakupigia,ukimjibu au ukichelewa kumjibu anakulaumu na "mbona kimya" zinakuwa nyingi
Hali hii mimi binafsi huwa siipendi na ikitokea mwanamke wa namna hii basi nampiga chini haraka sana,siwezi kuwa saa niko na simu tu nachati au naongea na wewe kama nimekosa kazi ya kufanya.
Nimeachana na first11 ya wanawake dizaini hii.
Usawahi kudate na mdada au mwanaume wa namna hii? Hali ilikuwaje,ulikabiliana nae vipi na mahusiano yako bado yapo?
Cc Binti Sayuni03
Ulikua unamtemdesha dhambi kubwa sana binti wa watu .Huelewi.
Yeye ndiye anafunga, halafu jioni analalia kifua.
Huelewi wapi?
Mimi sikumtendesha dhambi, actually mimi nilikuwa nakataa kukutana naye mwezi huo. Miaka miwili nimekataa, mwaka wa tatu kanililia.Ulikua unamtemdesha dhambi kubwa sana binti wa watu .
Dhambi ambayo mpaka leo huko alipo anajutia alichofanya..
Astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah
Yaa taqurub zinaaa...Mimi sikumtendesha dhambi, actually mimi nilikuwa nakataa kukutana naye mwezi huo. Miaka miwili nimekataa, mwaka wa tatu kanililia.
Ndiyo nikamkubalia.
Kwani kulalia kifua ni dhambi mkuu?
Taqurub ndiyo madudu gani?Yaa taqurub zinaaa...
Tusikaribie zinaa
Sasa nyie mlichofanya ni kukaribia zinaa.
Pili huyo mdada nae alikua hana mikazo yaani kiufup mikazo zero
Mkuu kiarabu hiko sizani kama utajua kila kitu..Taqurub ndiyo madudu gani?
Kwa nini?Mkuu kiarabu hiko sizani kama utajua kila kitu..
Hilo neno maana yake. Msikaribie...
Mfano msikaribiane
Au usimkaribie mwenzako kifua chake
Mkuu kwa maelezo yako yameonesha jinsi ulivyo mdhaifu wa mahusiano.Wakuu
Katika maisha ya mahusiano tunapitia mengi,unaweza ukapendwa sana mpaka ukawa unahisi ni kero sasa
Mtu kila saa anakutafuta,anakutumia text,anakupigia,ukimjibu au ukichelewa kumjibu anakulaumu na "mbona kimya" zinakuwa nyingi
Hali hii mimi binafsi huwa siipendi na ikitokea mwanamke wa namna hii basi nampiga chini haraka sana,siwezi kuwa saa niko na simu tu nachati au naongea na wewe kama nimekosa kazi ya kufanya.
Nimeachana na first11 ya wanawake dizaini hii.
Usawahi kudate na mdada au mwanaume wa namna hii? Hali ilikuwaje,ulikabiliana nae vipi na mahusiano yako bado yapo?
Cc Binti Sayuni03
Ukaribu kama huo.unaweza sababisha kuingiliana kimaumbile na ukizingatia ni mwezi mtukufu.Kwa nini?
Ulimuonea, subiri na wewe zamu yako itafika ya kunyanyasika.Unamaanisha mapenzi ya dizaini hii au? View attachment 3274103
Kwa hiyo mwezi mtukufu ndiyo vibaya kufanya hivyo, miezi mingine poa?Ukaribu kama huo.unaweza sababisha kuingiliana kimaumbile na ukizingatia ni mwezi mtukufu.
Hajafunga ndoa .
Zinaa inakatazwa kwa sababu ina hasara NYingi kuliko faida
WANAIGIZA SANAWakuu
Katika maisha ya mahusiano tunapitia mengi,unaweza ukapendwa sana mpaka ukawa unahisi ni kero sasa
Mtu kila saa anakutafuta,anakutumia text,anakupigia,ukimjibu au ukichelewa kumjibu anakulaumu na "mbona kimya" zinakuwa nyingi
Hali hii mimi binafsi huwa siipendi na ikitokea mwanamke wa namna hii basi nampiga chini haraka sana,siwezi kuwa saa niko na simu tu nachati au naongea na wewe kama nimekosa kazi ya kufanya.
Nimeachana na first11 ya wanawake dizaini hii.
Usawahi kudate na mdada au mwanaume wa namna hii? Hali ilikuwaje,ulikabiliana nae vipi na mahusiano yako bado yapo?
Cc Binti Sayuni03
Mtu kutaka ligi na wewe ni kuhatarisha imani yake..Kwa hiyo mwezi mtukufu ndiyo vibaya kufanya hivyo, miezi mingine poa?
Unafiki huu mwisho mwezi huu tu ?
Mtu unamkaza kila siku halafu mwezi huu unajibaraguza mwezi mtukufu?
Huu si unafiki kweli?
Mshangazi aliona huyu kijana ni jau, akafunga vioo.Mimi ndo huwa nasumbua aiseee.....
Yaani nikipenda aiseee hatare na nusu...
Nilisumbua maza flan muuza hardware mapaka akani block
😂😂😂😂😂😂 Yule maza jau...Mshangazi aliona huyu kijana ni jau, akafunga vioo.
Alikukomesha, 😂😂😂😂😂
Uache kutegemea mishangazi ikuweke town, utakua na mwisho mbayaa.😂😂😂😂😂😂 Yule maza jau...
Juzi aliniita nikafuturu nikamwambia naijua hiyo..
ila asikwambie mtu kublokiwa inauma sana sis hasa kwa mtu ambaye unajua ana sapport mambo yako