Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,707
- 3,563
mkuu siri hii inamkosesha mambo mengi mtoto bt mazingira ya kuitoa nayo ni magum hata nikawa nataka niwatafute wazee wenye busara niwatume bt bado nipo mashakani nikiwaza je wasipoelewa wazee itakuwaje.
Yaani wazee wasielewe ukweli kuwa umezaa na binamuyo? Wataukataa ukweli? Ha ha ha.....ukweli utabaki kuwepo you are the father na sidhani Kama watakunyima haki ya ubaba....ila naamini taratibu za mila zitafuata.