Ushauri wenu juu ya siri hii inayonitesa kwa muda mrefu

mkuu siri hii inamkosesha mambo mengi mtoto bt mazingira ya kuitoa nayo ni magum hata nikawa nataka niwatafute wazee wenye busara niwatume bt bado nipo mashakani nikiwaza je wasipoelewa wazee itakuwaje.

Yaani wazee wasielewe ukweli kuwa umezaa na binamuyo? Wataukataa ukweli? Ha ha ha.....ukweli utabaki kuwepo you are the father na sidhani Kama watakunyima haki ya ubaba....ila naamini taratibu za mila zitafuata.
 
mkuu mpaka leo mtoto anajua baba yake yupo mbali na hili ndo linaniumiza sana, nimejaribu kumwambia binadam tutafute suluhu ananiambia kama unaweza tafuta ufumbuzi ndo maana nahitajia mawazo yenu huenda nikasaidika mkuu
Nenda mbali ambako hujulikane au tafuta mzee unaemwamini sana ,ongea naye ujue njia ya kuweza kutengua hizo mila muoane kama mnaweza maana badhi ya makabila kuna matambiko wanafanya wanafuta hizo taboo for a special purpose. Niliona mtu akioa mtoto wa kaka yake, mwingine alioa mtoto wa mama yake mdogo (maternal aunty) , au last option pangeni hamieni mkoa mwingine moane huko na waje kujua mumeshakaa pamoja kama mwaka. Ila hakikisha mnapendana
 
Yaani wazee wasielewe ukweli kuwa umezaa na binamuyo? Wataukataa ukweli? Ha ha ha.....ukweli utabaki kuwepo you are the father na sidhani Kama watakunyima haki ya ubaba....ila naamini taratibu za mila zitafuata.
mkuu ugumu upo katika kuwaambia ndo maana nikataka nikusanye hekima za wadau nipate pakuanzia.
 
nyege....hazijawahi kumuacha mtu salama...nina amini unajuta sana hapo ulipo...ila usisahau kuwa maji umeshayavulia nguo hayo
 
Mshalishana kiapo cha siri,kisha unaomba ushauri huku,hivi unajua maana ya kiapo kweli?misingi na madhara yakukiuka mliyonuia?Msipende kujiingiza ktk matatatizo bure
 
Watoto wa siri huaga ni noma kweli,hawanaga siri,wanafananaaaaaa na baba zao.

Kijana sikiliza huu ushauri wangu ingawa nimeamka na hangover za mizinga 2 ya kvant;

Kama utashindwa kukabili masimango ya ndugu zako na ikiwezekana kutengwa nao,achana na wazo hilo la kusanua huo msala,jipangeni mbelembele huyo mdada ajifanye kuwa mzazi mwenzie huyo aliyewadanganya ndg zake kuwa yupo mbali kafariki huko huko mbali,tena ng'ambo ya nchi kabisa,na gemu litaishia hapo,wewe utaendelea kuitwa ankoliii,na achana na shobo kinanda za kutaka ujulikane kuwa wewe ndio mzazi wa huyo dogo,we mpende sana huyo dogo ila kama uncle yake,simamia nafasi ya ubaba kupitia ujomba kwa kutoa huduma.

Over.
 
Back
Top Bottom