Ushauri wenu, dunia naona mviringo!

Na ninyi Wanawake kuna mada zenu huwaziletwa hapa,huwa mnabaki kimyaaaa! Km vile Mtu anayesutwa.
 
We mwamba huo muendelezo upo kweli, Au umesusa ushauri??
 
Na yeye si ameoa, angeanza kuiheshimu ndoa yake kwanza.
Naona umesahau kuwa amekaa nje au mbali na mkewe kwa mwaka. Usisahahu kuwa mwili wa mwanaume Hauna reshuffle, upo active 24/7 na kila siku mbegu zinatengenezwa. Lazima atafute njia ya kuzitoa.
 
Angesafiri kwa mama watoto au mama watoto angemfuata huko alipo wapoozane engines. Hizi hela za kuzitafuta at the expense of your family; madhara yake tunakujaga kuyaona ikiwa too late
Naona umesahau kuwa amekaa nje au mbali na mkewe kwa mwaka. Usisahahu kuwa mwili wa mwanaume Hauna reshuffle, upo active 24/7 na kila siku mbegu zinatengenezwa. Lazima atafute njia ya kuzitoa.
 
Angesafiri kwa mama watoto au mama watoyo angemfuat huko alipo wapoozane engines. Hizi hela za kuzitafuta at the expense of your family; madhara yake tunakujaga kuyaona ikiwa too late
Majukumu dada yanabana. Mke anaangalia watoto hamna wa kumwachia. Najaribu kujiweka kwenye viatu vya mleta mada, hili jambo nalielewa.
 

Sasa hujajua tu, wagongaji wakubwa wa wake za watu ni waume za watu, na kinyume chake...

Hiyo ndio trend ya sasa...
 
Amekwambia amekosea njia? Na kama alikosea njia, basi angempa mkewe talaka kisha akaoe huyo ambaye yupo kwenye njia sahihi naye.

Ukitaka kuishi maisha ya ufuska kwa uhuru: usioe wala kuolewa. Ndoa ni Agano linalofaa kuheshimiwa
Ngoja tuone sehemu zilizo bakia.
 
Na vifungu vya biblia vya kukataza dhambi huwa wanavikumbuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila sasa ije iloegemea upande wao sasaaaaaa[emoji2297][emoji2297][emoji2297] Suleiman na mitume wake mbona wanakoma[emoji1787]
 
Na vifungu vya biblia vya kukataza dhambi huwa wanavikumbuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila sasa ije ikoegemea upande wao sasaaaaaa[emoji2297][emoji2297][emoji2297] Suleiman na mitume wake mbona wanakoma[emoji1787]
Kila mtu abaki na necha zake.... wanawake necha zetu nyingi ni siri make pale bustanini rol modo wetu aliongea mengi na baby nyoka
 
Wanajifanya watakatifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…