Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Mkuu ndani ya ndege kuna kitu cha kubalance hata kama watu watalalia upande mmoja mfano case ya juzi kati dreamliner ilivyozungushwa kwenye mlima kilimanjaro abiria wengi mule nazani ndio walikua wanapanda ndege kwa mara ya kwanza wakakimbilia upande mmoja kushangaa mlima kwa juu ila badae pilot aliwaambia watulia akaizungusha tena kuilazia upande wao nao waone na hakuna hatari yoyote iliyotokea wataalam wa aviation waliisha fikilia yote ayo siku nyingi
Kifinga hii ni kweli kwa ndege kubwa ndogo haziwi stable mzigo ukilemea upande mmoja.
Ndege ndogo ilidondoka Bandundu Congo kisa mamba kapanikisha watu.angalia chini ilikuwa 2010
Screenshot_2019-03-11-18-14-02.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Parachutes huwa zipo katika kila seat ya abiria ila sema kuna ajali nyingine zinatokea ghafla muno kiasi kwamba huwezi hata kupata muda wa kujiandaa. Parachutes zinaweza kusaidia tu pale ambapo Rubani amebaini hitilafu kwenye ndege, halafu akapata muda wa kuwanaandaa abiria kwa kuwatangazia na wao pia wakapata muda wa kuvaa parachute hizo, tofauti na pale ambapo ajali inakuwa ni ya ghafla especially wakati wa kutua au wa kupaa.
Unachanganya parachute na life jacket

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege za abiria zina parachute kwa abiria wote.
Wazo jipya ulilotoa ni ndege kufunguka kwa juu na kununua abiria wote ilhali sehemu ya chini ndio ianguke, wazo zuri sana.
Pengine parachute zingevaliwa kama jacket hivi wakati wote wa safari, ili lolote likitokea na watu kuinuliwa, abiria abaki na wajibu wa kufungua na kupuliza upepo ili aelee angani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka life jacket au boya sio parachute mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilichogundua huyu jamaa anabisha tu ila hajui chochote kuhusu aviation na hizo case nimefanya kumwambia mimi ni mtu wa vijiwe vya kahawa
Kweli argumentation yake inaonesha hana uelewa sana ila analazimisha!
 
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..


Sent using Jamii Forums mobile app
Mara paaap! Umetua Serengeti au katikati ya mamba wenye njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usafiri Wa Ndege nao ni shida sana, ni Mungu tu ndo anaweza kuzuia hizi ajali aisee, just imaging Engine zikafel tu mko Ft kazaa juu, Jana nilikuwa natokea Mji Wa kitalii (Arusha) kuja kwa Makonda na Precision Air, ndege haitulii kabisa, it's the matter of Trusting only kwamba tutafika salama but no guarantee

Sent using Jamii Forums mobile app

Imagine mko fut 46,0000 sawa na km 15
 
Ni kweli zinafunguka.ndo maana nkapendekeza uundwe muundo mpya utaoziwezesha hizi za abiria nazo kufunguka kwa juu wakati wa dharura kupunguza uwezekano wa maafa


Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu u ajua ikitokea bahati mbaya mlango au kioo kikivunjika au mlango kufunguka ni sekunde tu ndege nzima inasambaratika

Sasa kufungua huko juu si mnakufa just in second!?
 
Mkuu ndani ya ndege kuna kitu cha kubalance hata kama watu watalalia upande mmoja mfano case ya juzi kati dreamliner ilivyozungushwa kwenye mlima kilimanjaro abiria wengi mule nazani ndio walikua wanapanda ndege kwa mara ya kwanza wakakimbilia upande mmoja kushangaa mlima kwa juu ila badae pilot aliwaambia watulia akaizungusha tena kuilazia upande wao nao waone na hakuna hatari yoyote iliyotokea wataalam wa aviation waliisha fikilia yote ayo siku nyingi
mkuu sijasikia hiyo case kean drmliner yetu siku hizi inaonesha mlima au??
 
1. Parachute zipo kwenye kila seat...
2. Ni jukumu la Air Hostess kabla ya kuondoka kuonyesha milango exit doors na jinsi ya kuvaa parachute.
3. Kwenye zile ndege zenye videos pia kunakuwa kuna clip ya mafundisho iwapo janga likitokea.
4. Pia kumuacha mtu ajichukulie tu parachute bila kuambiwa au kuwa alerted kunaweza kukaleta mtafaruku wa watu kupanic wakati hakuna tatizo ikaleteleza kuleta tatizo
Mmmh dege ya abiria haina parachute usidanganye watu apa tusha panda mara nyingi tuuu kuna maboya ya kuogelea labda ulidhani ndo parachute yale ya kwenye meli na pantoni chini ya seat ya kila mtu, ndo maelekezwa jinsi ya kulijaza upepo, kuvaa na filimbi yake ilipo na milango ya emergency ikisha dumbukia majini tuuu.


Movies wanaekit kuna parachute kwenye action movies za kivita, ila sio kwa abiria kuanzia 100+


Parachute zipo kwenye dege za kivita na za maraisi tuuuu,


ghost rider
 
Ndege ya abiria inaruka futi 30,000 au zaidi juu. Huko kuna baridi hadi -50c pia hakuna Oxygen ya binadamu ku-survive. Kwahio hata ukiruka utakufa huko huko juu. Pia ndege haiwezi kufungua mlango huko juu kwasababu abiria wote mtakuwa-sucked outside.

Ili uweze kupata Oxygen inabidi ndege iwe chini ya 10,000ft sasa kama ndege iko 35,000ft ikapata hitilafu na kuweza kushuka hadi 10,000ft ni dhahiri rubani anaweza kufanya kitu mingine kuonoa abiria zaidi ya kuruka. Ila kama ndege iko 40,000ft inapata tatizo kama bawa moja kukatika inaanguka kama jiwe hamna nafasi ya kuruka na parachute hata ikiwepo.

Tune kwenye ndege ya kivita
1.hairuki juu Sana kama ndege za abiria
2.rubani anaweza ku-eject baada ya kuona hatari hata akiwa kashalengwa na adui ndege inamwambia ushalengwa
3.kiti chake kinakibomu AMBACHO kinamrusha nje na kufungua parachute

Ndege ya abiria kuiwekea vifaa hivi kila kitu nafikiri itakuwa na uzito mkubwa Sana na inabidi iwe na roof kama y ndege za kivita kitu AMBACHO si rahisi Kwa compressed cabin.
Nilitegemea majibu haya maana sidhani kama Mzungu hakuwaza hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usafiri Wa Ndege nao ni shida sana, ni Mungu tu ndo anaweza kuzuia hizi ajali aisee, just imaging Engine zikafel tu mko Ft kazaa juu, Jana nilikuwa natokea Mji Wa kitalii (Arusha) kuja kwa Makonda na Precision Air, ndege haitulii kabisa, it's the matter of Trusting only kwamba tutafika salama but no guarantee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndege ilikuwa inafanyaje mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu injini zikizima zote mnatua salama tu ma pilot wameishafundishwa kutua na injini zikiwa zimezimika hata yale mataili kama system ya automatic ikigoma kuna mfumo wa manual ya kuyafungua yakafunguka vitu vyote wataalam waliisha vifikiria ndio mana wanasema ndege ndio usafili salama zaidi
Punguza kuangalia Hollywood's movie hamna uhalisia na tukio la angani ndege ikipata shida uko juuu ft 34,000,

Wewe unaweza kwenda chini kufungua matairi manual kwa mikono ? Dege ikiwa haina balance kwa sbb engine zimezimika haitakuwa na mwelekeo tayari inayumba yumba tuu,

Ata kuhama kitu hutoweza kulingana na kuyumba yumba kwake juuu.

Ndege inaweza kutua endapo imepata hitalafu ya engine moja nyingine ikamsaidia rubani kuongoza ndege itue ila sio zote maana ake huna access na dege inajipeleka yenyewe inapo taka

ghost rider
 
Back
Top Bottom