Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

very rare cases, nazijua mbili tu zilizoofanikiwa US Airways flight no. 1549 na nyingine moja kwenye tambarare
Pia ni rare case ndege kupoteza engine power zote mbili!Fuatilia ni ndege ngapi zilipoteza injini power na kucrash killing people on board,pia ondoa factor kama moto,maana hii ni case tofauti!Pia angalia zilitua wapi!
 
Ndege mbili za aina hiyo hiyo zimepata ajali mara tu baada ya kuruka katika kipindi cha chini ya miezi sita. Sasa ni wazi waundaji wa ndege hizo ambazo ni toleo jipya kabisa hawana budi kurejea kwenye "drawing board" ili kurekebisha muundo wao na hasa kule kupaa nyuzi 90 moja kwa moja kuelekea juu angani.
Hakuna ndege ya kiraia inapaa nyuzi 90 wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Landing yake yakupasa kuwa na skills...la sivyo utatua kama mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa ni sawa na kuruka gari likienda mwendo mdogo ukasimamia miguu miwili. Lazima kisogo kigonge chini unakufa.Kinachotakiwa unaruka unakuwa unakimbia mbele kulifuata gari kisha unaliacha gari linaendelea Ulizeni makonda wa Mbagala Posta au Arusha Kisongo.Anyway last sentence jokes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Newton's third law of motion

... kaka kufumba na kufumbua ajali inakuwa imetokea muda wa kutafuta sijui parachute hautakuwepo. Ok, unaweza kusema sometimes rubani anakuwa ameona dalili sio njema hivyo awatangazie abiria kuvaa hayo maparachute; tatizo ni kwamba watu 150+ wanapotangaziwa taarifa ya vifo vyao at per nadhani huo mshike mshike unaweza kupata picha utakuwaje.

Yaani badala ya kuokolewa ndio vifo vyao vitakuwa vimeharakishwa; yaani hiyo ndege itabinuka ghafla and within no time itakuwa imepasuka vipande vipande huko angani. Naona ibaki tu kama ilivyo; tumtegemee Mungu. Hali kama hiyo ikitokea na ukahisi sio salama, the best option ni kujikabidhi tu mikononi mwa BWANA YESU awe mwenyeji wako kuanzia siku hiyo.
Kuna ndege nchi moja nimesahau ilipata ajali kisa abiria kulundikana upande mmoja sababu kumbe kwenye bag abiria mmoja alikuwa na mamba akatoka kwenye bag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ndege nchi moja nimesahau ilipata ajali kisa abiria kulundikana upande mmoja sababu kumbe kwenye bag abiria mmoja alikuwa na mamba akatoka kwenye bag

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndani ya ndege kuna kitu cha kubalance hata kama watu watalalia upande mmoja mfano case ya juzi kati dreamliner ilivyozungushwa kwenye mlima kilimanjaro abiria wengi mule nazani ndio walikua wanapanda ndege kwa mara ya kwanza wakakimbilia upande mmoja kushangaa mlima kwa juu ila badae pilot aliwaambia watulia akaizungusha tena kuilazia upande wao nao waone na hakuna hatari yoyote iliyotokea wataalam wa aviation waliisha fikilia yote ayo siku nyingi
 
Pia ni rare case ndege kupoteza engine power zote mbili!Fuatilia ni ndege ngapi zilipoteza injini power na kucrash killing people on board,pia ondoa factor kama moto,maana hii ni case tofauti!Pia angalia zilitua wapi!
Mkuu nilichogundua huyu jamaa anabisha tu ila hajui chochote kuhusu aviation na hizo case nimefanya kumwambia mimi ni mtu wa vijiwe vya kahawa
 
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuruka na parachuti kunahitaji mafunzo na ujasili, kwa sababu likiwa hewani lazima uliendeshe kama chombo kingine kinavyoendeshwa, vinginevyo hata kama utapewa parachuti na huna mafunzo lazima utakufa tu, unless kama wapanda ndege wote watatakiwa kuchukua mafunzo ya kuruka na parachuti

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom