Ushauri: Wanaume na ulimbukeni wa michezo ya 'tigo'

Ushauri: Wanaume na ulimbukeni wa michezo ya 'tigo'

Mungu atunusuru kwa kweli na hili janga,na kwa nyakati za leo wamama wengi wanaojifungua kwa operation 80%wanatoa nyuma,na wachache tu wanafanyiwa operation kwa ushauri wa dactari,Hongera sana wanawake wote mnaojifungua kwa njia ya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila anayejifungua akiachia kinyesi basi anatoa tigo, hii ni fikra mbaya sana. Uchungu na kupush huja na mambo mengi.

Kama mwanamke amewahi kujifungua kwa kupush atakubaliana na mimi kuwa huwa kuna hisia nyingi unapata mojawapo ni ku-Puu.

Mungu mbariki kila mwanamke.

Wanawake hu puu wakizaa, inaitwa first twin. Inaanza hiyo then anafuata mtoto. Ni kitu cha kawaida na haihusiani na ufirauni wowote


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni tabia mbaya yenye kudhalilisha utu na haiba ya mwanamke. Hongera dada kwa kulileta hili hapa kwa mjadala mpana.

Sio jambo jema hata kidogo. Haiwezekani ukawa na akili timamu halafu ukawa na hii michezo ya kuingia mlango wa pili.
Ni jambo gani linalovutia kwenye ule mlango? Ni kujitafutia maradhi na madhira mengine ya kimaisha.

Wanawake, kama mnajielewa na una utu, kataa kabisa huu mchezo. Utapewa ahadi lakini kumbuka kuwa mwanaume mwenye michezo ya tigo; ataendelea kutafuta mwanamke mwingine ili apate kutimiza haja yake.

Wanaume na Vijana wa kiume; tuepuke hii tamaa na ubaradhuli wa kutaka kuingia mahali pasipostahili.
 
Naona wahuni wamefukua kaburi la tigolization.
 
Back
Top Bottom