the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Kwa tv hizo brand sijui codtec,singsung achana nazo kabisa ,nilinunua kodtec imekaa mwaka vizur baada ya hapo ikaanza kuzima nikaita fundi akanifungia kichuma kinasaidia kupoza nikauza nikanunua LG ,sasa hivi niliemuuzia amekaa nayo six months imeanza tena kuzima hapo ni fundi anahitajika ,bora utoe pesa nzuri ila ununue tv ya kueleweka