Ushauri wakati unanunua flat screen Tv's

Ushauri wakati unanunua flat screen Tv's

Jamani wakuu nahitaji kununua flat tv iwe kati ya sony bravia sumsung au LG inchi 32 anaejua bei zake anisadie au anejua duka lolote linalouza original kwa hapa dsm.

Nenda kariakoo kabla hujafika round about pale kuna duka la Samsung ,

Authorised dealer.
 
Nenda kariakoo kabla hujafika round about pale kuna duka la Samsung ,

Authorised dealer.

Sai distributors, wapo stendi ya daladala za kwenda Mbagala, mtaa wa Msimbazi,. ni Authorised dealers/services wa SAMSUNG, .... TV 32'' SERIES 4 YENYE KING'AMUZI NI TSH.750,000, BILA KING'AMUZI NI TSH 700,000....

HIZI NI BEI WANAZOANZIA HUWA WANASHUKA KWA MNUNUAJI WA KWELI. SERIES 5 KAMA HIVYO NI TSH 950,000 NA TSH.900,000. NA MODEL WALIZO NAZO NI UA32H4100AK; NA UA32H5100AK. KAZI KWAKO KAKA.
 
Na ukifanikiwa mahali pengine tafadhali tujulishe na sisi tujue tofauti zipo wapi.
 
Sai distributors, wapo stendi ya daladala za kwenda Mbagala, mtaa wa Msimbazi,. ni Authorised dealers/services wa SAMSUNG, .... TV 32'' SERIES 4 YENYE KING'AMUZI NI TSH.750,000, BILA KING'AMUZI NI TSH 700,000.... HIZI NI BEI WANAZOANZIA HUWA WANASHUKA KWA MNUNUAJI WA KWELI. SERIES 5 KAMA HIVYO NI TSH 950,000 NA TSH.900,000. NA MODEL WALIZO NAZO NI UA32H4100AK; NA UA32H5100AK. KAZI KWAKO KAKA.

Sijakuelewa mkuu zinakua na king'amuzi gani? Halafu series 4 ndo inakuaje na 5 inakuaje mkuu?
 
Sony Bravia ni habari nyingine.

Mkuu niliinunua hiyo TV 2012 JULY pale mlimani city juzi imebuma...

ilianza kujigawa Kati yaani chini inaonesha rangi ya kijani juu blue Mara mda mwingine rangi yote inavurugika kabisa in short ni kero tu nimejaribu mafundi wee wapi nimeamua iweka kando tu...
 
Sijakuelewa mkuu zinakua na king'amuzi gani? Halafu series 4 ndo inakuaje na 5 inakuaje mkuu?

Dvb T2/C yaani unaweza kutumia antena na kupata FTA tv channels zilizopo ktk ukanda wetu, ama ukaunga tv yako na huduma ya cable moja kwa moja bila kuhitaji set box. SERIES 4 ZOTE NI HD READY, NA SERIES 5 ZOTE NI FULL HD.

HATA KING'AMUZI CHAKE NI FULL HD. KUMBUKA PIA KTK HIZI SERIES KUNA SMART NA AMBAZO SI SMART, SERIES 5 INCHI 32 SMART NI TSH 1.2M.
 
Mkuu niliinunua hiyo TV 2012 JULY pale mlimani city juzi imebuma...

ilianza kujigawa Kati yaani chini inaonesha rangi ya kijani juu blue Mara mda mwingine rangi yote inavurugika kabisa in short ni kero tu nimejaribu mafundi wee wapi nimeamua iweka kando tu...

Nikiangalia ung'aavu wake upoje?
 
Jamani wakuu nahitaji kununua flat tv iwe kati ya sony bravia sumsung au LG inchi 32 anaejua bei zake anisadie au anejua duka lolote linalouza original kwa hapa DSM.

Mi natumia Samsung LED TV Series 4 ya inchi 32 na series 5 ya inchi 22.. ni TV kali sana hizi TV, zote ni full HD 1080p, zina single USB port ila ile ya series 4 haina uwezo wa kusoma External Hard Drive ya zaidi ya 500GB ila ile ya series 5 mpaka 1TB inasoma fresh na pia inakubali kusoma usb devives zinazokonektiwa kwenye USB hub up to 5 USB devices..

Kuna jamaa anajiita amazing_lifestyle15 on instagram (now ana duka Sinza) anauza TV original kwa bei rahisi kama una akaunti instagram mfollow umcheki, series 4 inchi 32 anauza TZS 599,000/- na anaweza kukutumia kwa basi kama upo mkoani.. mcheki hapa https://instagram.com/amazing_lifestyle15/
 
Au chukua zile monitor za AVI zina port za decoder na deck na ni ngumu kuharibika hlf ni bei nafuu.
 
sajo

Mbona bado bei yake iko juu TV kama hiyohiyo inauzwa sh 490000/ inch 42 inauzwa sh laki tisa na sitini elfu inch52 inauzwa sh milioni moja na laki mbili.
 
Last edited by a moderator:
Smart TV ndo kitu cha ukweli nilikwenda sehemu fulani hivi kunga dish nikaipata nilitamani niendelee kukaa pale niliiungia wireles internet kutoka kwenye kasmartphone kangu nikaanza kukimbizana nayo JF.

Kwanza mwenye nayo alikuwa hajui kama ina mambo makubwa kama hayo asikwambie mtu yaani umekaa kwenye sofa lako na rimot yake iko kama mouse ya wireles mambo ya youtube na mengineyo mengi ni wewe tu na bando la kutosha.
 
sajo

Mbona bado bei yake iko juu TV kama hiyohiyo inauzwa sh 490000/ inch 42 inauzwa sh laki tisa na sitini elfu inch52 inauzwa sh milioni moja na laki mbili.
Aisee, mi niliona jamaa ndo anauza bei cheap, kumbe zipo cheap zaidi ya hiyo, 490000 kwa samsung LEd series 4 zinauzwa wapi kiongozi? Nielekeze nami niwaelekeze wengine
 
Smart TV ndo kitu cha ukweli nilikwenda sehemu fulani hivi kunga dish nikaipata nilitamani niendelee kukaa pale niliiungia wireles internet kutoka kwenye kasmartphone kangu nikaanza kukimbizana nayo JF.

Kwanza mwenye nayo alikuwa hajui kama ina mambo makubwa kama hayo asikwambie mtu yaani umekaa kwenye sofa lako na rimot yake iko kama mouse ya wireles mambo ya youtube na mengineyo mengi ni wewe tu na bando la kutosha.
kiukweli sijawahi kutumia smart tv but nikisoma kwenye mitandao features zake huwa naona kuwa hizo ni Tv classic sana, very smart
 
Aisee, mi niliona jamaa ndo anauza bei cheap, kumbe zipo cheap zaidi ya hiyo, 490000 kwa samsung LEd series 4 zinauzwa wapi kiongozi? Nielekeze nami niwaelekeze wengine

Mza kuna duka linaitwa Mambo ya Mamba rain I kuna mzee pale dukani anaitwa Korokocho huwa anauza kwa kuridhika sana huwa anawatupia wateja pesa zao hasa wenye usumbufu bei zao ni nzuri sana.

Mzigo ukiingia ukichelewa siku moja hupati kitu wana branch Musoma mjini panaitwa Kwa Husein Sokoni.
 
kiukweli sijawahi kutumia smart tv but nikisoma kwenye mitandao features zake huwa naona kuwa hizo ni Tv classic sana, very smart

Tena Lg ni nzuri kuliko Samsung kwa sababu samsung ni nzito kwenye keyboard.
 
Back
Top Bottom