Ushauri wakati unanunua flat screen Tv's

Ushauri wakati unanunua flat screen Tv's

zamani watu walikuwa wanaiba sana miziki na movie hata huko marekani ili kukomesha hii piracy kwa njia ambayo ni win-win ndio wakaanzisha vitu kama hivi netflix, hulu, google music, apple music nk

ukiwa na netflix unapata unlimited streaming ya movies na series kwa kiasi kidogo cha dola 8, na ukiongeza hadi dola 12 unaweza kustream hadi vifaa 4 kwa mpigo.

hio ya dola 12 ukinunua inamaana familia 4 zinaweza tumia plan 1, mfano familia yako, wazazi wako, ukweni nk

ila pia kama unajua kubana matumizi mnaweza changa hela watu wanne mkashare plan moja hivyo unakuwa unalipa dola 3 kwa mwezi.

netflix unaangalia popote iwe ni kwenye tv, dektop, laptop, tablet na hadi simu.

hizo bei ni za marekani, sijaipitia ya hapa kwetu bado. baadae nitaiangalia nione bei zake na ulaji wa data upoje then nita wa update
Bongo ni elfu 22
 
Mkuu niliinunua hiyo TV 2012 JULY pale mlimani city juzi imebuma...

ilianza kujigawa Kati yaani chini inaonesha rangi ya kijani juu blue Mara mda mwingine rangi yote inavurugika kabisa in short ni kero tu nimejaribu mafundi wee wapi nimeamua iweka kando tu...
2012 kote huko mzee. Si ununue tu ingine matoleo yanatoka mapya kila siku
 
Used Inauzwa Laki Mbili Mkuu
Nilitaka Kujua Ubora Wake Maana Wengine Tunaangalia Muhimu Inaonyesha Picha
hapo mkuu hakuna hata cha kuhadithia. ni tv ya kawaida tu. kioo cha TFT resolution karibia HD etc. kama unataka tu kuangalia sio mbaya ila kama unataka tv nzuri hio sio nzuri.
 
500k to 550k INCH 32 LED bajeti yake
zipo naziona jumia led LG za inch 32 kwa 540,000 pengine mtaani ukapata nafuu zaidi ya hapo.

0081259_lg-led-tv-32-32lh510b.jpeg

32
 
Na box gani zuri kwa ajili ya kufanya simu iwe ina support android yaani iwe kama smart Tv najua yapo mengi ila nataka ambalo zuri litakidhi
la bei nafuu ambalo linakidhi mahitaji basic ni fire stick la amazon. ni kama flash au modem ukubwa wake unachomeka tu kwenye port ya HDMI na umeme unatokea port ya usb. inatumia remote na inakubali voice command.

product_photo4_large.jpg

bei around $30 mpaka $40 hivi.

ambalo ni zuri kwa specs na bei si kubwa sana angalia la xiaomi around $50 mapaka $60

gsmarena_002.jpg

na best kabisa ambalo kuanzia games, emulation, movie kila kitu unachotupia linafanya ni nvidia shield unalipata hadi $150.

url]
 
Ko nikiwa na la xiaomu naweza cheza game je hili linahitaji msaada wa net au nikishaunga au chomeka tu linafanya kazi na tv inakuwa imewezeshwa ku install vitu mbalimbali na je vipi nikilitoa tv inakata system ya smart ebu nifumbulie hapo
 
yap ukilitoa na tv haiwi smart inabidi muda wote iwe imechomekwa.

internet utahitaji ukitaka kutumia internet, mfano unaingia youtube. ila ukiwa unafanya kitu ambacho sio cha internet kama game la offline na kuangalia video hutahitaji internet.
 
la bei nafuu ambalo linakidhi mahitaji basic ni fire stick la amazon. ni kama flash au modem ukubwa wake unachomeka tu kwenye port ya HDMI na umeme unatokea port ya usb. inatumia remote na inakubali voice command.

product_photo4_large.jpg

bei around $30 mpaka $40 hivi.

ambalo ni zuri kwa specs na bei si kubwa sana angalia la xiaomi around $50 mapaka $60

gsmarena_002.jpg

na best kabisa ambalo kuanzia games, emulation, movie kila kitu unachotupia linafanya ni nvidia shield unalipata hadi $150.

url]
Amazon tv box inatumia os gani?
 
kuwa makini na maduka ya pale stand na yale maduka madogomadogo.. wanauza samsung na LG. ambazo ni clone.

Bora ununue TCL au Singsung kwa bei poa sio mbaya. mimi nimetumia singsung Led haijaniangusha kabisa.

kuna TV za samsung clone huwezi kutambua kama ni feki tatizo lake kubwa hazina audio output.
hizo sticker hubandikwa dukani ukisema nataka sumsung wanakubandikia cha sumsung, ukitaka cha LG wanakubandikia ukitaka cha sony pia wanabandika
 
smart tv haihusuani na resolution ya tv, smart tv inamaana tv yako inakuwa na operating system na kuweza kufanya task kama kuangalia video online, kuplay movies na interface nzuri nk.

mfabo wa operating system za tv ni kama tizen ya samsung, web os ya lg, firefox os ya mozilla na android tv ya google.

ila kwa uzoefu wangu mimi smart tv zinauzwa bei ghali sana, unaweza nunua tv ya kawaida then ukanunua na tv box/cast na kuifanya tv iwe smart bila gharama kubwa.

ukisema HD, FHD na UHD hizi ni resolution au kwa lugha rahisi ni idadi ya pixel ambayo tv yako inayo
HD- 1280x720. hapo inamaana kiupana kuna pixel 1280 na kiurefu pixel 720 ukizidisha hapo inamaana jumla tv ina pixel milioni moja

FHD- 1920x1080 ambayo ni pixel milioni 2

UHD- 3840x2160 ambayo ni roughly pixel milioni 8

kwa majina mengine hd ni 1 megapixel, fhd ni 2 megapixel na Uhd ni 8 megapixel

3d au 3 dimension ni ngumu sana kuielezea kwa maneno ila kiufupi unaona vitu kama reality, mfano kwenye movie mtu karusha kisu upande wako unaweza kuinama sababu unafeel kabisa kinakupiga wewe, ili uone 3d kwa tv itabidi uwe na miwani ambayo mara nyingi inakuja na tv.
Umemaliza kabisa.. umetumia hadi mifano na inaeleweka.. tujifunze kutoka kwa huyu jamaa namna ya kuelekeza, sio unataja tu sijui 3d, mara sijui hd.. sio wote tupo familia na.hivyo vitu
 
Dvb T2/C yaani unaweza kutumia antena na kupata FTA tv channels zilizopo ktk ukanda wetu, ama ukaunga tv yako na huduma ya cable moja kwa moja bila kuhitaji set box. SERIES 4 ZOTE NI HD READY, NA SERIES 5 ZOTE NI FULL HD.

HATA KING'AMUZI CHAKE NI FULL HD. KUMBUKA PIA KTK HIZI SERIES KUNA SMART NA AMBAZO SI SMART, SERIES 5 INCHI 32 SMART NI TSH 1.2M.
Asante kwa comment hii nitaifanyia kazi sina mpango wa kutumia startimes nitabaki na DSTV yangu miaka100
 
Msaada wa magic remote ya LG 32LJ550B 32 naweza pata wapi mkuu na je zinaingiliana au lah na je mtandao gani ntazipata uliachana na amazon na ebay!
Chief-Mkwawa
Chief-Mkwawa
Chief-Mkwawa

Mkuu nimeangalia online zinaingiliana ila ki series na wanaandika tu selected smart tv hawa specify.

Alternative nenda playstore na smartphone yako search LG TV PLUS, hio ni app official toka lg ambayo inaweza ku act kama remote.

Kuhusu pa kununulia zipo pia aliexpress mpaka around 20,000
Online Shop for lg magic remote control Wholesale with Best Price
 
Back
Top Bottom