gaba peter
Senior Member
- Jan 7, 2016
- 178
- 65
nunua LED ni mashine
Msaada mkuu hivi hizi flat za Samsung LED 4100 za Vietnam zina king'amuzi cha ndani maana kuna MTU nataka nimvue pia niliwahi on a kwa bnl electronic anaziuza ktk features zake king'amuzi inacho sema brand zake ni kutokea pakistan msaada tafadhaliNitakutafuta mkuu unipe msaada wako..
hiyo JVC laki tano unusu ilikuwa nchi ngapi?... kwa laki tano na ishirini!!
Nikazipenda nikajibebea, ilikuwa mwanzoni 2013!!
"ku play movies" hata TV set zenye migongo zina play movies, you don't need an operating system for that, so that's a little fuzzy what ur talking about heresmart tv inamaana tv yako inakuwa na operating system na kuweza kufanya task kama kuangalia video online, kuplay movies na interface nzuri nk.
"ku play movies" hata TV set zenye migongo zina play movies, you don't need an operating system for that, so that's a little fuzzy what ur talking about here
Kuhusu kuangalia video online nadhani Tanzania bado hatujafika huko, internet service providers wetu bado hawaja liberalize access za internet kiasi cha kuweza ku stream ma giga byte ya video online, the costs for that is just too prohibitive, I mean internet yetu bado tunapata kutoka kwenye vi kampuni vya simu...
Mkuu. Hebu naomba hapo kwenye Netflix uwaelezee kidogo maana me bado sijaelewa watanisaidia vipi yaani. Plz kakambona hujamalizia sentesi mpaka mwisho? nafahamu kama unaweza kuangalia movie kwa tv ila bila interface yoyote ya maana. ni vitu vingapi unaweza fanya kwenye vlc kwenye tv huwezi?
-je kama movie ina subtitle 6 unachaguaje?
-na zile movie zenye audio mbili je?
-jina subtitle halifanani na la movie
-format ya movie tv haiwezi kucheza
-subtitle zinachelewa unataka ku adjust
-nk nk nk
kuna vitu kibao tv ya kawaida haiwezi kufanya lakini smart tv/tv iliofanywa kuwa smart inafanya
ngoja nikuoneshe killer feature ya web os ya tv za lg ambazo ni smart
ukiwa na webos 3 kuendelea kuna feature inaitwa multi view ambapo tv yako inajisplit katikati na kuonesha chanell au vitu viwili tofauti kwa pamoja. chukulia mfano kuna mechi azam tv ya ligi kuu bara na kuna mechi dstv ligi ya uingereza zote mbili unataka kuangalia ukiwa na tv kama hii utaziona zote kwa pamoja.
kuhusu kuangalia video online
umesahau kama youtube pia ni kuangalia video online? watanzania wangapi wanaangalia youtube? zipo chanell za youtube za kitanzania zina views hadi 23,000,000, ukija kwenye mpira watu kibao wanaangalia kwa kutumia internet siku hizi. hizo porn ndio usiseme.
hizi ni data za youtube zikionesha quality na mb zinazokwenda ukiangalia video kwa muda wa lisaa 1
240p- 150mb
360p- 250mb
480p- 400mb
720p- 800-900mb
1080p- 1.2-1.4gb
mfano nanunua kifurushi cha airtel cha 600 nikapata 1.2gb nitaangalia
-masaa 8 ya 240p video
-masaa around 5 ya 360p video
-masaa 3 ya 480p video
-lisaa 1 na nusu la hd video (around movie 1)
-lisaa 1 la full hd.
hivyo kwa shilingi 600 tu naweza angalia HD movie online, au nikijibana na 480p au 360p naangalia movie 2 hadi 3.
by the way Netflix wamekuja hadi Tanzania,
zamani watu walikuwa wanaiba sana miziki na movie hata huko marekani ili kukomesha hii piracy kwa njia ambayo ni win-win ndio wakaanzisha vitu kama hivi netflix, hulu, google music, apple music nkMkuu. Hebu naomba hapo kwenye Netflix uwaelezee kidogo maana me bado sijaelewa watanisaidia vipi yaani. Plz kaka
Wakuu msaada ktk hiliMsaada mkuu hivi hizi flat za Samsung LED 4100 za Vietnam zina king'amuzi cha ndani maana kuna MTU nataka nimvue pia niliwahi on a kwa bnl electronic anaziuza ktk features zake king'amuzi inacho sema brand zake ni kutokea pakistan msaada tafadhali
Hahaha shikamoo hitachMi nina HITACH chogo nilinunua nikiwa chuo mwaka 2002...hadi leo linakamua....nina watoto watatu sasa linawazidi umri...huwa wanaliamkia asbh
Na philipse je?Umesahau Sharp
Audio output ebu nieleweshe hapo mkuuHapo nimeelewa kitu mkuu hilo ni tatizo kwa baadhi ya TV za Samsung.
Ilinikera sana pale nilipojua haina audio output mana niliitafuta mpaka nikatamani kuirudisha nikaambiwa kuwa zingine hua hazina. Inabidi kuwa makini sana kuangalia swala hilo pale unapotaka kununua TV.
Waya kama huo ambao unatumikaga kwenye subwoofr hiv. Kuna Samsung nyingne hazina hyo port kwaio unatumia zile waya 3 ila unapochomeka flash uplay music inabidi utumie speaker za Tv maana hazina hyo output.. cjui kama umenielewa mkuuAudio output ebu nieleweshe hapo mkuu
"ku play movies" hata TV set zenye migongo zina play movies, you don't need an operating system for that, so that's a little fuzzy what ur talking about here
Kuhusu kuangalia video online nadhani Tanzania bado hatujafika huko, internet service providers wetu bado hawaja liberalize access za internet kiasi cha kuweza ku stream ma giga byte ya video online, the costs for that is just too prohibitive, I mean internet yetu bado tunapata kutoka kwenye vi kampuni vya simu...
Mkuu kama hutojali waweza nielekeza kwa maduka ya Benson, nahitaj smart Lg 32"kwa arusha nenda maduka ya benson...pale wanauza brand zenyewe kbs za samsung...mm nilinunua yangu pale...
Benson duka la tv moja liko karibu na Arusha technical school na la pili liko karibu na postaMkuu kama hutojali waweza nielekeza kwa maduka ya Benson, nahitaj smart Lg 32"