Ushauri wakati unanunua flat screen Tv's

Sikieni humu mtaumiza vichwa angalieni tv mnazotaka sawasawa mtu anakwwnda kununua smart phone.anakuambia samsung iko juu sana.ukimuuliza anakuambia muonekano wake na uwezo wake.hivi kuna samsung inayofikia tecno phantom.au black berry z30 nk.au lumia 1030 nk.tatizo samsung matangazo.tuu.hakuna tv tanzania hii na umeme wetu kama SONY BRAVIA.tatizo humu kila mtu anajua sony ziko juu ndio maana humu wote wanaishia kupromo samsung.maana ndio walio nazo tafuta sony bravia.kama mlala hoi atanunua 24 inch tsh 500000.na hakuna sony bravia copy.maana zina system zote za media.picha kali

Watu wengi wanasifia vile walivyo navyo. Mtu anasema LG ni nzuri kuliko samsung wakati hata hiyo samsung hajawahi kuitumia, au tu ameiona kwa jirani. Na hata hizo wanazosema ni nzuri bado mtu akenda dukani akiona aina nyingine anaanza kuisifia hapo hapo.

Uzuri wa TV 📺 ninini?
1. Picha angavu?
2. Functionalities
3. Interfaces?
4. Overcoming power problems?
5. Sound?
6. Size?
7. Power consumption?

Nasema Tv ikikosa hata moja ya sifa hizo haiyakuwa bora. TV hata iwe na picha angavu kiasi gani, lakini kama haina Audio out, USB port etc etc basi sio bora.
 
Mi natumia hisense - led ni sana, ina miaka miwili haijawahi nisumbua na si ghari sana unaweza kuimudu
 
Dvb T2/C yaani unaweza kutumia antena na kupata FTA tv channels zilizopo ktk ukanda wetu, ama ukaunga tv yako na huduma ya cable moja kwa moja bila kuhitaji set box. SERIES 4 ZOTE NI HD READY, NA SERIES 5 ZOTE NI FULL HD.

HATA KING'AMUZI CHAKE NI FULL HD. KUMBUKA PIA KTK HIZI SERIES KUNA SMART NA AMBAZO SI SMART, SERIES 5 INCHI 32 SMART NI TSH 1.2M.

Ooh yangu ni boss kuna jamaa alitoka nayo south,ina direct king'amuzi,picha clear,had chanel z kulipia inashik free,kama citizen n.k
 
Tafuta HISENCE kaka utaenjoy sana..hizo ndo tv za kisasa
 
Nunua Samsung ila nenda kwa maagent wa Samsung sio wale wanaouza mojamoja kuna feki nyingi kwao utapa original
 
Ndo maeneo gani hayo mzee?

Mza kuna duka linaitwa Mambo ya Mamba rain I kuna mzee pale dukani anaitwa Korokocho huwa anauza kwa kuridhika sana huwa anawatupia wateja pesa zao hasa wenye usumbufu bei zao ni nzuri sana.

Mzigo ukiingia ukichelewa siku moja hupati kitu wana branch Musoma mjini panaitwa Kwa Husein Sokoni.
 
Sikieni humu mtaumiza vichwa angalieni tv mnazotaka sawasawa mtu anakwwnda kununua smart phone.anakuambia samsung iko juu sana.ukimuuliza anakuambia muonekano wake na uwezo wake.hivi kuna samsung inayofikia tecno phantom.au black berry z30 nk.au lumia 1030 nk.tatizo samsung matangazo.tuu.hakuna tv tanzania hii na umeme wetu kama SONY BRAVIA.tatizo humu kila mtu anajua sony ziko juu ndio maana humu wote wanaishia kupromo samsung.maana ndio walio nazo tafuta sony bravia.kama mlala hoi atanunua 24 inch tsh 500000.na hakuna sony bravia copy.maana zina system zote za media.picha kali

Nahisi umenena vema. Wacha nilifanyie kazi hili. Dealers wake wanapatikana wapi hawa jamaa?
 
Watu wengi wanasifia vile walivyo navyo. Mtu anasema LG ni nzuri kuliko samsung wakati hata hiyo samsung hajawahi kuitumia, au tu ameiona kwa jirani. Na hata hizo wanazosema ni nzuri bado mtu akenda dukani akiona aina nyingine anaanza kuisifia hapo hapo.

Uzuri wa TV 📺 ninini?
1. Picha angavu?
2. Functionalities
3. Interfaces?
4. Overcoming power problems?
5. Sound?
6. Size?
7. Power consumption?

Nasema Tv ikikosa hata moja ya sifa hizo haiyakuwa bora. TV hata iwe na picha angavu kiasi gani, lakini kama haina Audio out, USB port etc etc basi sio bora.
mkuu unatumia brand gani kwani wewe? Tusaidie tusaidike
 
Teknolojia ya LED ipo mbele na ni bora zaidi ya LCD na hii ni kuwa TV yenye LED muonekano unakuwa bora zaidi.
Ningekushauri utafute LED na kuwa makini na brand unazotafuta.
 
Ooh yangu ni boss kuna jamaa alitoka nayo south,ina direct king'amuzi,picha clear,had chanel z kulipia inashik free,kama citizen n.k

Mkuu hebu tuandikie model ya hiyo Samsung hapa tuione tuitafute.
 
Teknolojia ya LED ipo mbele na ni bora zaidi ya LCD na hii ni kuwa TV yenye LED muonekano unakuwa bora zaidi.
Ningekushauri utafute LED na kuwa makini na brand unazotafuta.
Mkuu umesahau kuwa TV brands zote sasa hivi wanatengeneza LED TVs na isitoshe dunia sasa hivi inaelekea kwenye tecnolojia ya Ultra High Definition. Sijui kama unayo habari. Come mid this year Ultra HD ndo itakuwa talk ya dunia so you need to update zaidi mzee coz hata movie zinazokuja itabidi waproduce katika hiyo tech ili watumie hiyo technology zaidi.
 
ultra HD ni resolution tu so tv inaweza kuwa UHD na vile vile ikawa LED
 
Kwa hapa bongo naweza pata tv ambayo ni UHD??
Mkuu umesahau kuwa TV brands zote sasa hivi wanatengeneza LED TVs na isitoshe dunia sasa hivi inaelekea kwenye tecnolojia ya Ultra High Definition. Sijui kama unayo habari. Come mid this year Ultra HD ndo itakuwa talk ya dunia so you need to update zaidi mzee coz hata movie zinazokuja itabidi waproduce katika hiyo tech ili watumie hiyo technology zaidi.
aa
 
Back
Top Bottom