BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,779
Hapo nimeelewa kitu mkuu hilo ni tatizo kwa baadhi ya TV za Samsung.kuwa makini na maduka ya pale stand na yale maduka madogomadogo.. wanauza samsung na LG. ambazo ni clone.
Bora ununue TCL au Singsung kwa bei poa sio mbaya. mimi nimetumia singsung Led haijaniangusha kabisa.
kuna TV za samsung clone huwezi kutambua kama ni feki tatizo lake kubwa hazina audio output.
Ilinikera sana pale nilipojua haina audio output mana niliitafuta mpaka nikatamani kuirudisha nikaambiwa kuwa zingine hua hazina. Inabidi kuwa makini sana kuangalia swala hilo pale unapotaka kununua TV.