mbona hujamalizia sentesi mpaka mwisho? nafahamu kama unaweza kuangalia movie kwa tv ila bila interface yoyote ya maana. ni vitu vingapi unaweza fanya kwenye vlc kwenye tv huwezi?
-je kama movie ina subtitle 6 unachaguaje?
-na zile movie zenye audio mbili je?
-jina subtitle halifanani na la movie
-format ya movie tv haiwezi kucheza
-subtitle zinachelewa unataka ku adjust
-nk nk nk
kuna vitu kibao tv ya kawaida haiwezi kufanya lakini smart tv/tv iliofanywa kuwa smart inafanya
ngoja nikuoneshe killer feature ya web os ya tv za lg ambazo ni smart
ukiwa na webos 3 kuendelea kuna feature inaitwa multi view ambapo tv yako inajisplit katikati na kuonesha chanell au vitu viwili tofauti kwa pamoja. chukulia mfano kuna mechi azam tv ya ligi kuu bara na kuna mechi dstv ligi ya uingereza zote mbili unataka kuangalia ukiwa na tv kama hii utaziona zote kwa pamoja.
kuhusu kuangalia video online
umesahau kama youtube pia ni kuangalia video online? watanzania wangapi wanaangalia youtube? zipo chanell za youtube za kitanzania zina views hadi 23,000,000, ukija kwenye mpira watu kibao wanaangalia kwa kutumia internet siku hizi. hizo porn ndio usiseme.
hizi ni data za youtube zikionesha quality na mb zinazokwenda ukiangalia video kwa muda wa lisaa 1
240p- 150mb
360p- 250mb
480p- 400mb
720p- 800-900mb
1080p- 1.2-1.4gb
mfano nanunua kifurushi cha airtel cha 600 nikapata 1.2gb nitaangalia
-masaa 8 ya 240p video
-masaa around 5 ya 360p video
-masaa 3 ya 480p video
-lisaa 1 na nusu la hd video (around movie 1)
-lisaa 1 la full hd.
hivyo kwa shilingi 600 tu naweza angalia HD movie online, au nikijibana na 480p au 360p naangalia movie 2 hadi 3.
by the way Netflix wamekuja hadi Tanzania,