Ushauri wakati unanunua flat screen Tv's

Nimeamua kuachana na TV-chogo.... nataka kununua flat screen... wadau wenye kuzijua vizuri... je! aina gani ni nzuri? kwa hapa Arusha zinapatikana duka gani? bei yake tafadhali?
Chukua LG mkuu 32 inch inauzwa 700,000/= ukiwa muongeaji hadi 680,000/= unapata nenda kwa benson kwa arusha ndo mtu.at least anaaminika because ni agent wa LG
 
Ivi VIP kuhusu aborder flat screen TV ziko poa
 
Asante mkuu!
Na je smart TV zote zinaanzia FHD hadi UHD? Na hizi 3D zikoje??

smart tv haihusuani na resolution ya tv, smart tv inamaana tv yako inakuwa na operating system na kuweza kufanya task kama kuangalia video online, kuplay movies na interface nzuri nk.

mfabo wa operating system za tv ni kama tizen ya samsung, web os ya lg, firefox os ya mozilla na android tv ya google.

ila kwa uzoefu wangu mimi smart tv zinauzwa bei ghali sana, unaweza nunua tv ya kawaida then ukanunua na tv box/cast na kuifanya tv iwe smart bila gharama kubwa.

ukisema HD, FHD na UHD hizi ni resolution au kwa lugha rahisi ni idadi ya pixel ambayo tv yako inayo
HD- 1280x720. hapo inamaana kiupana kuna pixel 1280 na kiurefu pixel 720 ukizidisha hapo inamaana jumla tv ina pixel milioni moja

FHD- 1920x1080 ambayo ni pixel milioni 2

UHD- 3840x2160 ambayo ni roughly pixel milioni 8

kwa majina mengine hd ni 1 megapixel, fhd ni 2 megapixel na Uhd ni 8 megapixel

3d au 3 dimension ni ngumu sana kuielezea kwa maneno ila kiufupi unaona vitu kama reality, mfano kwenye movie mtu karusha kisu upande wako unaweza kuinama sababu unafeel kabisa kinakupiga wewe, ili uone 3d kwa tv itabidi uwe na miwani ambayo mara nyingi inakuja na tv.
 
Asante kwa maelezo mazuri chief mkwawa.wewe ni mwalimu mzuri sana.

Nina swali,tuchukulie MTU kafata ushauri wako wa kununua TV box/cast akiwa anahitaji kupata 3D inakuaje?au ndo itabidi tu anunue screen ambayo ni 3D?
 
Last edited:

hutaweza kupata 3d kwa box, utapata tu smart features kwa kueka software kama plex au kodi

ukitaka 3d ni mpaka uwe na tv ya 3d.
 
smart tv haihusuani na resolution ya tv, smart tv inamaana tv yako inakuwa na operating system na kuweza kufanya task kama kuangalia video online, kuplay movies na interface nzuri nk.

mfabo wa operating system za tv ni kama tizen ya samsung, web os ya lg, firefox os ya mozilla na android tv ya google.

ila kwa uzoefu wangu mimi smart tv zinauzwa bei ghali sana, unaweza nunua tv ya kawaida then ukanunua na tv box/cast na kuifanya tv iwe smart bila gharama kubwa.

ukisema HD, FHD na UHD hizi ni resolution au kwa lugha rahisi ni idadi ya pixel ambayo tv yako inayo
HD- 1280x720. hapo inamaana kiupana kuna pixel 1280 na kiurefu pixel 720 ukizidisha hapo inamaana jumla tv ina pixel milioni moja

FHD- 1920x1080 ambayo ni pixel milioni 2

UHD- 3840x2160 ambayo ni roughly pixel milioni 8

kwa majina mengine hd ni 1 megapixel, fhd ni 2 megapixel na Uhd ni 8 megapixel

3d au 3 dimension ni ngumu sana kuielezea kwa maneno ila kiufupi unaona vitu kama reality, mfano kwenye movie mtu karusha kisu upande wako unaweza kuinama sababu unafeel kabisa kinakupiga wewe, ili uone 3d kwa tv itabidi uwe na miwani ambayo mara nyingi inakuja na tv.
Mkuu umenijibu vizuri sana!
Na maelezo yako ndiyo niliyoyahitaji!
Asante sana
 
Jamani wakuu nahitaji kununua flat tv iwe kati ya sony bravia sumsung au LG inchi 32 anaejua bei zake anisadie au anejua duka lolote linalouza original kwa hapa DSM.

Habari ya mjini ni smart TV ya LG ya "42" ambayo ina play hadi 3D, Blue rays na internet
 
smart tv haihusuani na resolution ya tv, smart tv inamaana tv yako inakuwa na operating system na kuweza kufanya task kama kuangalia video online, kuplay movies na interface nzuri nk.

mfabo wa operating system za tv ni kama tizen ya samsung, web os ya lg, firefox os ya mozilla na android tv ya google.

ila kwa uzoefu wangu mimi smart tv zinauzwa bei ghali sana, unaweza nunua tv ya kawaida then ukanunua na tv box/cast na kuifanya tv iwe smart bila gharama kubwa.

ukisema HD, FHD na UHD hizi ni resolution au kwa lugha rahisi ni idadi ya pixel ambayo tv yako inayo
HD- 1280x720. hapo inamaana kiupana kuna pixel 1280 na kiurefu pixel 720 ukizidisha hapo inamaana jumla tv ina pixel milioni moja

FHD- 1920x1080 ambayo ni pixel milioni 2

UHD- 3840x2160 ambayo ni roughly pixel milioni 8

kwa majina mengine hd ni 1 megapixel, fhd ni 2 megapixel na Uhd ni 8 megapixel

3d au 3 dimension ni ngumu sana kuielezea kwa maneno ila kiufupi unaona vitu kama reality, mfano kwenye movie mtu karusha kisu upande wako unaweza kuinama sababu unafeel kabisa kinakupiga wewe, ili uone 3d kwa tv itabidi uwe na miwani ambayo mara nyingi inakuja na tv.
Nitakutafuta mkuu unipe msaada wako..
 
Mi natumia Singsung Leo toka 2008 mpaka Leo haijawahi kwenda kwa FUNDI na iko on 12 hrs daily. Msidanganyike n a majina. Mbona hata techno c8 ni mtambo wa nguvu?
 
Naona kila mtu ni habari ya TV.. mie swala la TV nilishalisahau. Hizi flat ni bei na pia kila mda kna release mpya kiasi kwamba leo waeza kua na ya 1.2m kesho ukaiona kama vile ulipewa zawadi na huezi kusema bei uliyonunulia mbele za watu.
Hamia katika PROJECTOR.. unapata screen dimension upendayo ww, portability ktk kuhama hama na waeza safiri nayo na kufanyia projects zako zingine. Na uzuri zna features kibao kuzid hata hizo flat smart tv za mamillioni.
 
Maelezo mazr yameenda shule..mimi nina RISING -LED.32' naulizia iyo tv box/cast inauzwa shingap kw dar?

bei ni around 100,000 hadi 200,000 na mengi yanarun android,

ila pia unaweza badili desktop ikawa HTPC (kama hilo box) kwa kueka software kama kodi, plex nk hivyo kama una desktop inazagaa zagaa haina kazi unaweza kuibadili. sema kuwa tu makini na ulaji umeme wa hio desktop.

na vipo vidongle vidogo kama amazon fire tv, google chromecast, roku nk vyenyewe pia vinasaidia ila navyo vinahitaji sana internet muda wote uwe online. hizi ndio bei rahisi zaidi kuliko box hapo juu

fire tv na fire stick
FireFire-590x330.jpg
 
Last edited:
Naona kila mtu ni habari ya TV.. mie swala la TV nilishalisahau. Hizi flat ni bei na pia kila mda kna release mpya kiasi kwamba leo waeza kua na ya 1.2m kesho ukaiona kama vile ulipewa zawadi na huezi kusema bei uliyonunulia mbele za watu.
Hamia katika PROJECTOR.. unapata screen dimension upendayo ww, portability ktk kuhama hama na waeza safiri nayo na kufanyia projects zako zingine. Na uzuri zna features kibao kuzid hata hizo flat smart tv za mamillioni.
Tu naomba hizo features za projector ambazo ni Kali zaidi ya hizi TV za smart mkuu.
Unaweza kutupa unafuuu na pia ukatoa recommendation ya best projector.
 
Back
Top Bottom