mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,173
huyu gambo ni mgambo duni kifikra.
Acha wamshushie kwa kuwa ameyataka, Lakini naamini yeye anaona wanafanya poa!Viongozi aina ya Gambo watamshushia sana hadhi Raisi wetu.
Mkuu Zitto hivi unashushaje "munkari" kwa mtu aina ya Gambo?RC mwenye kisasi na fitina kila wakati??
Ni bahati mbaya watu wengi wanaliona hili tukio ktk "clip" ya vipande vipande.Bwana mdogo Gambo hakufanya uungwana toka mwanzo;alialikwa lkn hakutaka kuja kwa sharti la Lema kutokutakiwa kuwepo yeye atakapokuwapo.Hata alipofika mesa kuu;alitoa mkono kwa watu lkn akamruka Lema.Hii ilikuwa "indicator" tosha kuwa RC kaja kwa shari.Mkuu wakati mwingine mbwai mbwai tu...kama mtu ana madaraka na jeshi la kukuweka ndani,basi wewe uwe na ujasiri na uthubutu wa kuukemea uonevu;hata kama huwezi kumpiga mtu;basi hata mchukie na kumkaripia tu...hii ndio silaha iliyobaki lwa Lema.
Jitihada zikafanyika kwa kumpigia katibu mkuu kiongozi;akiwa kama sehemu ya mamlaka ya juu ya RC atumie nafasi yake kumshawishi mkuu wa mkoa kufika ili pawepo na uwakilishi wa kiserikali katika jambo la heri kama lile;baada ya kutakiwa na "watu wa juu" kufika bado Gambo alichelewa sana eneo la tukio;na hata alipofika aliamuru MC asimpe Lema nafasi ya kuongea na akataka yeye ndio aanze kuongea ili kuuwa protocol,na kwa sabb ya itifaki,angeongea yeye kulikuwa hakuna "room" tena ya Lema kuongea na upotoshaji ule ungemea kama mmea kandokando ya kijito.
Ili kuweka historia sawa,Lema ilibidi aseme palepale,maana hata hao wafadhili huyo Gambo hawamjui,mkataba uliingiwa na Lema wakati Gambo akiwa Korogwe akimtukana Mwanasheria wa Wilaya ya Korogwe kuwa ana degree ya chupi.Hao Maternity hawamjui Gambo kwa sbb wakati wanaleta ramani ya hospitali ya Mama na Mtoto pale Arusha,Gambo alikuwa kwenye kizimba cha Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma akijibu mashitaka yake ya kukiuka taratibu za utumishi wa Umma.
Ukiwa hujawahi kukaa katikati ya siasa za Upinzani Afrika utamuona Lema "Chizi".Lkn ule ndio upinzani wa Afrika,lazima uwe chizi,lazima ujifyatue kudeal na watu aina ya Gambo.Vijana wasio na rekodi yoyote ya maana ktk utumishi wa umma,unatia aibu kwa kuanza kuelezea historia ya ujenzi na umiliki wa kiwanja kwa maneno ya vijiweni badala ya documents.Ile ni aibu,aibu kwa aliyemteua na anayemuacha Gambo kwenye nafasi ile mpaka sasa.
Nina milion 6.5,nikipata laki tano naweza kufunguka zaidi,kwa sasa ngoja niishie hapa,Nitafungwa;lkn Gambo aache uhuni,asijipendekeze kijinga jinga;historia itamuhukumu.Hakuna Ukuu wa Mkoa wa kudumu.
Sitaki kusema Magufuli was right or wrong. Busara, ukitaka kuchambua lazima kuwe kwa pande mbili, vinginevyo objectivity inakosa.Je ulikuwepo kwenye tukio?kwa Gambo siwezi kumchambua...ni sawa na mtu alikuwa anaendelea kuongea ili tujue atamaliza vipi. Mara nyingi siwezi kumhukumu mtu kwa sentensi mbili na hata kama alikuwa tayari amekwishakosea kwa kusema ardhi imetolewa ma mawala advocates, tungesubiri amalize halafu Lema atoe masahihisho,
mbona magufuli kwenye msiba wa masaburi alitoa masahihisho mwishoni even if alikuwa ameshapewa fursa ya kuongea awali? sisi wapinzani tunahitaji kujifunza siasa safi
Yeye asemwe vibaya hadharani alafu akajitetee privately, hauwez ukawahujawaza, je huku nje nani atajaweka sawa upotoshwaji wa gamba?Hili lisipite bila mimi kutoa mawazo yangu.
reaction ya Lema haikubaliki kabisa, alichofanya Lema ni too medieval. Angesubiri jamaa amalize yake kwa heshima ya wale wageni waliokaa pale, then angewaeleza privately mustakabali wa kisiasa ulivyo.
Sioni tofauti ya mtu kufanya kituko cha ajabu mbele ya wakwe zako. say kuvua nguo
Umeongea PumbaaaaHili lisipite bila mimi kutoa mawazo yangu.
reaction ya Lema haikubaliki kabisa, alichofanya Lema ni too medieval. Angesubiri jamaa amalize yake kwa heshima ya wale wageni waliokaa pale, then angewaeleza privately mustakabali wa kisiasa ulivyo.
Sioni tofauti ya mtu kufanya kituko cha ajabu mbele ya wakwe zako. say kuvua nguo
Wewe naee, chengaaa kwelisiwezi kutetea ujinga
Lema na Mkuu wa Mkoa wote wana makosa
Lema angejaribu kutumia busara sio ugomvi
HIVI MUNGU HAJUI NANI KAFANYA NINI MPAKA TUTUMIE NGUVU ZOTE HIZI KUONYESHA NANI KAFANYA NINI? HIVI HUU MRADI NDIO UTAMFANYA LEMA ADUMU KUWA MBUGE? MBONA AMEKUWA MBUNGE BILA YA HUO MRADI KUWEPO?Mkuu Zitto hivi unashushaje "munkari" kwa mtu aina ya Gambo?RC mwenye kisasi na fitina kila wakati??
Ni bahati mbaya watu wengi wanaliona hili tukio ktk "clip" ya vipande vipande.Bwana mdogo Gambo hakufanya uungwana toka mwanzo;alialikwa lkn hakutaka kuja kwa sharti la Lema kutokutakiwa kuwepo yeye atakapokuwapo.Hata alipofika mesa kuu;alitoa mkono kwa watu lkn akamruka Lema.Hii ilikuwa "indicator" tosha kuwa RC kaja kwa shari.Mkuu wakati mwingine mbwai mbwai tu...kama mtu ana madaraka na jeshi la kukuweka ndani,basi wewe uwe na ujasiri na uthubutu wa kuukemea uonevu;hata kama huwezi kumpiga mtu;basi hata mchukie na kumkaripia tu...hii ndio silaha iliyobaki lwa Lema.
Jitihada zikafanyika kwa kumpigia katibu mkuu kiongozi;akiwa kama sehemu ya mamlaka ya juu ya RC atumie nafasi yake kumshawishi mkuu wa mkoa kufika ili pawepo na uwakilishi wa kiserikali katika jambo la heri kama lile;baada ya kutakiwa na "watu wa juu" kufika bado Gambo alichelewa sana eneo la tukio;na hata alipofika aliamuru MC asimpe Lema nafasi ya kuongea na akataka yeye ndio aanze kuongea ili kuuwa protocol,na kwa sabb ya itifaki,angeongea yeye kulikuwa hakuna "room" tena ya Lema kuongea na upotoshaji ule ungemea kama mmea kandokando ya kijito.
Ili kuweka historia sawa,Lema ilibidi aseme palepale,maana hata hao wafadhili huyo Gambo hawamjui,mkataba uliingiwa na Lema wakati Gambo akiwa Korogwe akimtukana Mwanasheria wa Wilaya ya Korogwe kuwa ana degree ya chupi.Hao Maternity hawamjui Gambo kwa sbb wakati wanaleta ramani ya hospitali ya Mama na Mtoto pale Arusha,Gambo alikuwa kwenye kizimba cha Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma akijibu mashitaka yake ya kukiuka taratibu za utumishi wa Umma.
Ukiwa hujawahi kukaa katikati ya siasa za Upinzani Afrika utamuona Lema "Chizi".Lkn ule ndio upinzani wa Afrika,lazima uwe chizi,lazima ujifyatue kudeal na watu aina ya Gambo.Vijana wasio na rekodi yoyote ya maana ktk utumishi wa umma,unatia aibu kwa kuanza kuelezea historia ya ujenzi na umiliki wa kiwanja kwa maneno ya vijiweni badala ya documents.Ile ni aibu,aibu kwa aliyemteua na anayemuacha Gambo kwenye nafasi ile mpaka sasa.
Nina milion 6.5,nikipata laki tano naweza kufunguka zaidi,kwa sasa ngoja niishie hapa,Nitafungwa;lkn Gambo aache uhuni,asijipendekeze kijinga jinga;historia itamuhukumu.Hakuna Ukuu wa Mkoa wa kudumu.
Je mkuu wa mkoa hakupaswa kutumia busara?siwezi kutetea ujinga
Lema na Mkuu wa Mkoa wote wana makosa
Lema angejaribu kutumia busara sio ugomvi
Alivyosema mchangiaji wa kwanza... kama umeangalia tu ile clip na kutoa hukumu basi umekosea sana. Huyu RC ni mtu controversial sana. Kile ulichoona kwenye ile clip (Lema akifoka) ni just climax ya mambo mambo mengi yanayoendelea chini kwa chini kati ya mkuu wa mkoa na upinzani pale Arusha. Tatizo kubwa lipo kwa mkuu wa mkoa kufikiri yeye amepelekwa pale kukomoa wapinzani na kumkomesha Lema na si kufanya kazi. Rais Magufuli amenifanya nirudishe imani kwenye taasisi ya urais lakini kusema kweli kuna teuzi zake nyingine anakosea sana sana, na huu wa RC ni mojawapo!Hili lisipite bila mimi kutoa mawazo yangu.
reaction ya Lema haikubaliki kabisa, alichofanya Lema ni too medieval. Angesubiri jamaa amalize yake kwa heshima ya wale wageni waliokaa pale, then angewaeleza privately mustakabali wa kisiasa ulivyo.
Sioni tofauti ya mtu kufanya kituko cha ajabu mbele ya wakwe zako. say kuvua nguo
Utasubiri sana!Well said.
Ni dhahiri shahiri huu ugomvi wa Mbunge Lema na RC Gambo unaelekea kubaya. Wakti wowote tunaweza kushuhudia kilichotokea Mwanza hivi karibuni kati ya RC na RAS kurushiana chupa za maji kwenye kikao! RC Gambo anaonekana hana maadili na hikima za kuongoza watu! Sijui hata JPM alipomteua kuwa RC alitumia vigezo gani!!!!
Mimi nimshauri Rais Magufuli kama anataka kazi zifanyike kwa ajili ya Maendeleo ya Arusha na Tanzania kwa ujumla,afanye 1 kati ya mambo 2. Moja, ni wakti wa kumtumbua na kutengua u-RC wa GAMBO. Kama hilo haliwezekani kwa maana kwamba Gambo bado ni lulu kwa Serikali ya CCM basi Gambo ahamishiwe Makao makuu ya TAMISEMI au IKULU na awekwe ofisi ambako hawezi kuwa anakutana na watu kila siku kama RC!
JPM amekuwa akijinasibu kuwa MAENDELEO HAYANA VYAMA, sasa kama Mkuu wa mkoa anataka kuzuia maendeleo ya kujengwa Hospitali tena ya kuhudumia kina Mama na Watoto hafai kuwa Kiongozi hata kidogo!!!!!!!!
Yeye na ww nani anayemfahamu vizuri huyo RC?!Alivyosema mchangiaji wa kwanza... kama umeangalia tu ile clip na kutoa hukumu basi umekosea sana. Huyu RC ni mtu controversial sana. Kile ulichoona kwenye ile clip (Lema akifoka) ni just climax ya mambo mambo mengi yanayoendelea chini kwa chini kati ya mkuu wa mkoa na upinzani pale Arusha. Tatizo kubwa lipo kwa mkuu wa mkoa kufikiri yeye amepelekwa pale kukomoa wapinzani na kumkomesha Lema na si kufanya kazi. Rais Magufuli amenifanya nirudishe imani kwenye taasisi ya urais lakini kusema kweli kuna teuzi zake nyingine anakosea sana sana, na huu wa RC ni mojawapo!
Mimi! (with confidence)Yeye na ww nani anayemfahamu vizuri huyo RC?!
sawa kabisa
Muda wa Lema kuongea tena, kwa muktadha wa tukio hilo, haukuwepo tena. Umefuatilia na kuelewa kilichotokea lakini?Lema angetulia Gambo amalize kuongea na yeye aeleze ukweli hata wafadhili wangeelewa, haya ni matunda ya ule upuuzi wa bungeni kuzomea hovyo wakati mwingine anaongea, matokeo yake ndio hayo, hadi mbele ya wafadhili yanafanyika hayo hayo, ni aibu, Mimi binafsi sikufaurahishwa na tabia ile halafu anageuka kumkumbatia mfadhili kwa Kipi? Hao wote wawili walipaniana lakini sio sehemu kama ile. Jamani tusitetee upuuzi kwenye vitu vya maana kama hivyo. Kama ni laana walaaniwe wote.
Umuheshimu mtu asiyekuheshimu??!!Hili lisipite bila mimi kutoa mawazo yangu.