Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
nadhani pale utatuzi haukufikiwaKuna nyakati katika maisha, you do not need begging....take it.
na si kila jambo huenda kwa kutatuliwa na busara tu.

Hili lisipite bila mimi kutoa mawazo yangu.
reaction ya Lema haikubaliki kabisa, alichofanya Lema ni too medieval. Angesubiri jamaa amalize yake kwa heshima ya wale wageni waliokaa pale, then angewaeleza privately mustakabali wa kisiasa ulivyo.
Sioni tofauti ya mtu kufanya kituko cha ajabu mbele ya wakwe zako. say kuvua nguo
kupandisha mori mbele ya wafadhili kama alivyofanya unaona ni sawa? si wafadhili wataona wanadeal na mtu ambaye weledi wake wa diplomasia ni hafifusasa hata wewe umepoteza dila ya mawazo kabisaaa na nyumbani kwangu usikanyage !!!!!!!!!!!!!!.
umkaribishe mtu kwako halafu yeye awe ndiyo kidume , walahi haiwezekani.
I second you,kwangu wote wana makosa,Mkuu wa mkoa kwa kutokurecognize efforts za mbunge na kw Mbunge kutokuweza kujicontrol emotions zake,kulikua na shida gani asubiri mpaka Gambo amalize then aongee na kueleza ukweli?Kuwa kiongozi inahitajika hekima ya hali ya juu,Ni vizuri viongozi wakawa na skill ya "Intellectual emotions".Hili lisipite bila mimi kutoa mawazo yangu.
reaction ya Lema haikubaliki kabisa, alichofanya Lema ni too medieval. Angesubiri jamaa amalize yake kwa heshima ya wale wageni waliokaa pale, then angewaeleza privately mustakabali wa kisiasa ulivyo.
Sioni tofauti ya mtu kufanya kituko cha ajabu mbele ya wakwe zako. say kuvua nguo
I thought you would be objective. Hivi RC alifanya kitu sahihi? Simtetei Lema, nilitarajia ungewachambua wote wawili.Hili lisipite bila mimi kutoa mawazo yangu.
reaction ya Lema haikubaliki kabisa, alichofanya Lema ni too medieval. Angesubiri jamaa amalize yake kwa heshima ya wale wageni waliokaa pale, then angewaeleza privately mustakabali wa kisiasa ulivyo.
Sioni tofauti ya mtu kufanya kituko cha ajabu mbele ya wakwe zako. say kuvua nguo
Busara gani, fafanua mkuu.siwezi kutetea ujinga
Lema na Mkuu wa Mkoa wote wana makosa
Lema angejaribu kutumia busara sio ugomvi
kivyovyote vile,ila ule ulikuwa ni ugomvi.Busara gani, fafanua mkuu.
kwa Gambo siwezi kumchambua...ni sawa na mtu alikuwa anaendelea kuongea ili tujue atamaliza vipi. Mara nyingi siwezi kumhukumu mtu kwa sentensi mbili na hata kama alikuwa tayari amekwishakosea kwa kusema ardhi imetolewa ma mawala advocates, tungesubiri amalize halafu Lema atoe masahihisho,I thought you would be objective. Hivi RC alifanya kitu sahihi? Simtetei Lema, nilitarajia ungewachambua wote wawili.
Alichokifanya Lema ndiyo sahihi kwa watu wote ambao wanajifanya Miungu hapa duniani. Kama hata mkono alimruka ya nini asubiri B aadaye. Malizia yote hapo hapo kila mtu akiona na kusikia,B aadaye yatakuwa majungu.Hili lisipite bila mimi kutoa mawazo yangu.
reaction ya Lema haikubaliki kabisa, alichofanya Lema ni too medieval. Angesubiri jamaa amalize yake kwa heshima ya wale wageni waliokaa pale, then angewaeleza privately mustakabali wa kisiasa ulivyo.
Sioni tofauti ya mtu kufanya kituko cha ajabu mbele ya wakwe zako. say kuvua nguo
Upo sahihi mkuu!!Hakukuwa na mbadala!!Alichokifanya Lema ndiyo sahihi kwa watu wote ambao wanajifanya Miungu hapa duniani. Kama hata mkono alimruka ya nini asubiri B aadaye. Malizia yote hapo hapo kila mtu akiona na kusikia,B aadaye yatakuwa majungu.
Hili lisipite bila mimi kutoa mawazo yangu.
reaction ya Lema haikubaliki kabisa, alichofanya Lema ni too medieval. Angesubiri jamaa amalize yake kwa heshima ya wale wageni waliokaa pale, then angewaeleza privately mustakabali wa kisiasa ulivyo.
Sioni tofauti ya mtu kufanya kituko cha ajabu mbele ya wakwe zako. say kuvua nguo
Siasa nzuri zilete maendeleo. Siasa chafu/za maji taka zisiruhusiwe katika kukwaza fursa za maendeleo.
Ukizingatia kuwa huo ni mradi wa afya. Anayemkataa mwingine, anakataa huduma kuwagikia wananchi/wanufaika.
Swali. Kulikuwa na haja gani ya kuibuka mvutano?
Bila kupepesa macho, RC wa Arusha ni tatizo sana.kivyovyote vile,ila ule ulikuwa ni ugomvi.
Mkuu wa Mkoa na Lema wameonesha kuwa hawana adabu.