Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,330
....
.....njaa mbaya sana
.....njaa mbaya sana
Futa hii comment yaishee mkuu hapo una dharau sana tufanye umshinda.Nilipokutukana ni wapi ? Shauri zako ulimi uliponza kichwa
Asante pia kwa matusi ya mama yangu japo ana miaka 90
Ubaya unatoka wapi wakati wote wanatumikia wananci?Alipoalikwa kwenye uzinduzi, alijua fika atakutana na mbaya wake hivyo alipaswa kujiandaa kisaikolojia, asingepata aibu zote zile. Hana sifa za kuwa kiongozi kwa kukosa uvumilivu.
Nakasirishwa sana kuona viongozi vijana wanafanya mambo ya hovyo. Mkuu wa mkoa wa Arusha mdogo wangu Mrisho Gambo una dhamana zaidi kwa vijana. Mnapofanya mambo ya kijinga mnaharibu nafasi ya vijana kuaminiwa zaidi. Kaa na Mbunge Godbless Lema mnywe kahawa pale New Arusha na muanze upya. Ndugu yangu Lema nashauri punguza munkari. Juhudi zako Arusha haziwezi kufutika kirahisi. Nakushauri kaa chini na Mkuu wa Mkoa wako mpige mstari muanze Kazi upya kwa pamoja. Viongozi jiepusheni kuonyesha hasira zenu hadharani. Sio hekima.
Huzijui siasa za Arusha, wala hujui mkakati wa CCM dhidi ya Arusha. Una hekima lakini huwezi kutumia hekima hiyo kwa kinachofanywa na Gambo! Na ukweli reaction ya Lema iko pouwa, na ndio pekee itakayoisaidia nchi katika mazingira ya sasa. Hekima hupelekwa kwa wenye hekima!
Sisi CHADEMA tuko hivyo: kama hakuna haki na amani haitakuwepo pia. Lema kaonesha wazi kuwa anafaa kuwa mwana CHADEMA.Alipoalikwa kwenye uzinduzi, alijua fika atakutana na mbaya wake hivyo alipaswa kujiandaa kisaikolojia, asingepata aibu zote zile. Hana sifa za kuwa kiongozi kwa kukosa uvumilivu.
Hii ni sawa na kichaa amekukuta unaoga akachukua nguo zako nawe ukatoka uchi wa mnyama kumfukuza huyo kichaa ili umnyang'anye nguo zako. Lazima wewe ndiye utaonekana ni kichaa. Kwa muungwana chuchumaa tafuta mbinu mbadala.Hili lisipite bila mimi kutoa mawazo yangu.
reaction ya Lema haikubaliki kabisa, alichofanya Lema ni too medieval. Angesubiri jamaa amalize yake kwa heshima ya wale wageni waliokaa pale, then angewaeleza privately mustakabali wa kisiasa ulivyo.
Sioni tofauti ya mtu kufanya kituko cha ajabu mbele ya wakwe zako. say kuvua nguo
Mkuu wa mkoa anakitumikia chama na aliyemteua, na Mbunge yeye anawatumikia wananchi waliomchagua ..Ubaya unatoka wapi wakati wote wanatumikia wananchi?
Hili lisipite bila mimi kutoa mawazo yangu.
reaction ya Lema haikubaliki kabisa, alichofanya Lema ni too medieval. Angesubiri jamaa amalize yake kwa heshima ya wale wageni waliokaa pale, then angewaeleza privately mustakabali wa kisiasa ulivyo.
Sioni tofauti ya mtu kufanya kituko cha ajabu mbele ya wakwe zako. say kuvua nguo
Hili lisipite bila mimi kutoa mawazo yangu.
reaction ya Lema haikubaliki kabisa, alichofanya Lema ni too medieval. Angesubiri jamaa amalize yake kwa heshima ya wale wageni waliokaa pale, then angewaeleza privately mustakabali wa kisiasa ulivyo.
Sioni tofauti ya mtu kufanya kituko cha ajabu mbele ya wakwe zako. say kuvua nguo
Hahahaa kwanini mnakazana Gambo atenguliwe au ahamishwe?Well said.
Ni dhahiri shahiri huu ugomvi wa Mbunge Lema na RC Gambo unaelekea kubaya. Wakti wowote tunaweza kushuhudia kilichotokea Mwanza hivi karibuni kati ya RC na RAS kurushiana chupa za maji kwenye kikao! RC Gambo anaonekana hana maadili na hikima za kuongoza watu! Sijui hata JPM alipomteua kuwa RC alitumia vigezo gani!!!!
Mimi nimshauri Rais Magufuli kama anataka kazi zifanyike kwa ajili ya Maendeleo ya Arusha na Tanzania kwa ujumla,afanye 1 kati ya mambo 2. Moja, ni wakti wa kumtumbua na kutengua u-RC wa GAMBO. Kama hilo haliwezekani kwa maana kwamba Gambo bado ni lulu kwa Serikali ya CCM basi Gambo ahamishiwe Makao makuu ya TAMISEMI au IKULU na awekwe ofisi ambako hawezi kuwa anakutana na watu kila siku kama RC!
JPM amekuwa akijinasibu kuwa MAENDELEO HAYANA VYAMA, sasa kama Mkuu wa mkoa anataka kuzuia maendeleo ya kujengwa Hospitali tena ya kuhudumia kina Mama na Watoto hafai kuwa Kiongozi hata kidogo!!!!!!!!