Fact mwororo, yaani barafuuuuuuuMkuu Zitto hivi unashushaje "munkari" kwa mtu aina ya Gambo?RC mwenye kisasi na fitina kila wakati??
Ni bahati mbaya watu wengi wanaliona hili tukio ktk "clip" ya vipande vipande.Bwana mdogo Gambo hakufanya uungwana toka mwanzo;alialikwa lkn hakutaka kuja kwa sharti la Lema kutokutakiwa kuwepo yeye atakapokuwapo.Hata alipofika mesa kuu;alitoa mkono kwa watu lkn akamruka Lema.Hii ilikuwa "indicator" tosha kuwa RC kaja kwa shari.Mkuu wakati mwingine mbwai mbwai tu...kama mtu ana madaraka na jeshi la kukuweka ndani,basi wewe uwe na ujasiri na uthubutu wa kuukemea uonevu;hata kama huwezi kumpiga mtu;basi hata mchukie na kumkaripia tu...hii ndio silaha iliyobaki lwa Lema.
Jitihada zikafanyika kwa kumpigia katibu mkuu kiongozi;akiwa kama sehemu ya mamlaka ya juu ya RC atumie nafasi yake kumshawishi mkuu wa mkoa kufika ili pawepo na uwakilishi wa kiserikali katika jambo la heri kama lile;baada ya kutakiwa na "watu wa juu" kufika bado Gambo alichelewa sana eneo la tukio;na hata alipofika aliamuru MC asimpe Lema nafasi ya kuongea na akataka yeye ndio aanze kuongea ili kuuwa protocol,na kwa sabb ya itifaki,angeongea yeye kulikuwa hakuna "room" tena ya Lema kuongea na upotoshaji ule ungemea kama mmea kandokando ya kijito.
Ili kuweka historia sawa,Lema ilibidi aseme palepale,maana hata hao wafadhili huyo Gambo hawamjui,mkataba uliingiwa na Lema wakati Gambo akiwa Korogwe akimtukana Mwanasheria wa Wilaya ya Korogwe kuwa ana degree ya chupi.Hao Maternity hawamjui Gambo kwa sbb wakati wanaleta ramani ya hospitali ya Mama na Mtoto pale Arusha,Gambo alikuwa kwenye kizimba cha Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma akijibu mashitaka yake ya kukiuka taratibu za utumishi wa Umma.
Ukiwa hujawahi kukaa katikati ya siasa za Upinzani Afrika utamuona Lema "Chizi".Lkn ule ndio upinzani wa Afrika,lazima uwe chizi,lazima ujifyatue kudeal na watu aina ya Gambo.Vijana wasio na rekodi yoyote ya maana ktk utumishi wa umma,unatia aibu kwa kuanza kuelezea historia ya ujenzi na umiliki wa kiwanja kwa maneno ya vijiweni badala ya documents.Ile ni aibu,aibu kwa aliyemteua na anayemuacha Gambo kwenye nafasi ile mpaka sasa.
Nina milion 6.5,nikipata laki tano naweza kufunguka zaidi,kwa sasa ngoja niishie hapa,Nitafungwa;lkn Gambo aache uhuni,asijipendekeze kijinga jinga;historia itamuhukumu.Hakuna Ukuu wa Mkoa wa kudumu.
Watu tulio nje ya mkoa wa Arusha ni sahihi tusingeona jinsi Mh Lema alivyopuuzwa. Ila wale waliondani ya mkoa, ambao wamemchagua Mh Lema wanajua ukweli upo wapi. Malengo ni mawili.Jamii ingeelewa vipi kama gambo ameamua kuupotosha ukweli kwa makusudi?
Hebu vaa viatu vya Lema uone inauma kiasi gani
Mkuu Zitto hivi unashushaje "munkari" kwa mtu aina ya Gambo?RC mwenye kisasi na fitina kila wakati?? He is already out.
Ni bahati mbaya watu wengi wanaliona hili tukio ktk "clip" ya vipande vipande.Bwana mdogo Gambo hakufanya uungwana toka mwanzo;alialikwa lkn hakutaka kuja kwa sharti la Lema kutokutakiwa kuwepo yeye atakapokuwapo.Hata alipofika mesa kuu;alitoa mkono kwa watu lkn akamruka Lema.Hii ilikuwa "indicator" tosha kuwa RC kaja kwa shari.Mkuu wakati mwingine mbwai mbwai tu...kama mtu ana madaraka na jeshi la kukuweka ndani,basi wewe uwe na ujasiri na uthubutu wa kuukemea uonevu;hata kama huwezi kumpiga mtu;basi hata mchukie na kumkaripia tu...hii ndio silaha iliyobaki lwa Lema.
Jitihada zikafanyika kwa kumpigia katibu mkuu kiongozi;akiwa kama sehemu ya mamlaka ya juu ya RC atumie nafasi yake kumshawishi mkuu wa mkoa kufika ili pawepo na uwakilishi wa kiserikali katika jambo la heri kama lile;baada ya kutakiwa na "watu wa juu" kufika bado Gambo alichelewa sana eneo la tukio;na hata alipofika aliamuru MC asimpe Lema nafasi ya kuongea na akataka yeye ndio aanze kuongea ili kuuwa protocol,na kwa sabb ya itifaki,angeongea yeye kulikuwa hakuna "room" tena ya Lema kuongea na upotoshaji ule ungemea kama mmea kandokando ya kijito.
Ili kuweka historia sawa,Lema ilibidi aseme palepale,maana hata hao wafadhili huyo Gambo hawamjui,mkataba uliingiwa na Lema wakati Gambo akiwa Korogwe akimtukana Mwanasheria wa Wilaya ya Korogwe kuwa ana degree ya chupi.Hao Maternity hawamjui Gambo kwa sbb wakati wanaleta ramani ya hospitali ya Mama na Mtoto pale Arusha,Gambo alikuwa kwenye kizimba cha Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma akijibu mashitaka yake ya kukiuka taratibu za utumishi wa Umma.
Ukiwa hujawahi kukaa katikati ya siasa za Upinzani Afrika utamuona Lema "Chizi".Lkn ule ndio upinzani wa Afrika,lazima uwe chizi,lazima ujifyatue kudeal na watu aina ya Gambo.Vijana wasio na rekodi yoyote ya maana ktk utumishi wa umma,unatia aibu kwa kuanza kuelezea historia ya ujenzi na umiliki wa kiwanja kwa maneno ya vijiweni badala ya documents.Ile ni aibu,aibu kwa aliyemteua na anayemuacha Gambo kwenye nafasi ile mpaka sasa.
Nina milion 6.5,nikipata laki tano naweza kufunguka zaidi,kwa sasa ngoja niishie hapa,Nitafungwa;lkn Gambo aache uhuni,asijipendekeze kijinga jinga;historia itamuhukumu.Hakuna Ukuu wa Mkoa wa kudumu.
Umeongea makubwa sana sasa gambo anaenda kua mgambo maana mkulu tayari katumbua hiki kitumbuaMkuu Zitto hivi unashushaje "munkari" kwa mtu aina ya Gambo?RC mwenye kisasi na fitina kila wakati??

Ni vizuri kutibu source ya kituko kuliko kukemea hicho kitukoHili lisipite bila mimi kutoa mawazo yangu.
reaction ya Lema haikubaliki kabisa, alichofanya Lema ni too medieval. Angesubiri jamaa amalize yake kwa heshima ya wale wageni waliokaa pale, then angewaeleza privately mustakabali wa kisiasa ulivyo.
Sioni tofauti ya mtu kufanya kituko cha ajabu mbele ya wakwe zako. say kuvua nguo
Hapa umemaliza mkuuMkuu Zitto hivi unashushaje "munkari" kwa mtu aina ya Gambo?RC mwenye kisasi na fitina kila wakati??
Ni bahati mbaya watu wengi wanaliona hili tukio ktk "clip" ya vipande vipande.Bwana mdogo Gambo hakufanya uungwana toka mwanzo;alialikwa lkn hakutaka kuja kwa sharti la Lema kutokutakiwa kuwepo yeye atakapokuwapo.Hata alipofika mesa kuu;alitoa mkono kwa watu lkn akamruka Lema.Hii ilikuwa "indicator" tosha kuwa RC kaja kwa shari.Mkuu wakati mwingine mbwai mbwai tu...kama mtu ana madaraka na jeshi la kukuweka ndani,basi wewe uwe na ujasiri na uthubutu wa kuukemea uonevu;hata kama huwezi kumpiga mtu;basi hata mchukie na kumkaripia tu...hii ndio silaha iliyobaki lwa Lema.
Jitihada zikafanyika kwa kumpigia katibu mkuu kiongozi;akiwa kama sehemu ya mamlaka ya juu ya RC atumie nafasi yake kumshawishi mkuu wa mkoa kufika ili pawepo na uwakilishi wa kiserikali katika jambo la heri kama lile;baada ya kutakiwa na "watu wa juu" kufika bado Gambo alichelewa sana eneo la tukio;na hata alipofika aliamuru MC asimpe Lema nafasi ya kuongea na akataka yeye ndio aanze kuongea ili kuuwa protocol,na kwa sabb ya itifaki,angeongea yeye kulikuwa hakuna "room" tena ya Lema kuongea na upotoshaji ule ungemea kama mmea kandokando ya kijito.
Ili kuweka historia sawa,Lema ilibidi aseme palepale,maana hata hao wafadhili huyo Gambo hawamjui,mkataba uliingiwa na Lema wakati Gambo akiwa Korogwe akimtukana Mwanasheria wa Wilaya ya Korogwe kuwa ana degree ya chupi.Hao Maternity hawamjui Gambo kwa sbb wakati wanaleta ramani ya hospitali ya Mama na Mtoto pale Arusha,Gambo alikuwa kwenye kizimba cha Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma akijibu mashitaka yake ya kukiuka taratibu za utumishi wa Umma.
Ukiwa hujawahi kukaa katikati ya siasa za Upinzani Afrika utamuona Lema "Chizi".Lkn ule ndio upinzani wa Afrika,lazima uwe chizi,lazima ujifyatue kudeal na watu aina ya Gambo.Vijana wasio na rekodi yoyote ya maana ktk utumishi wa umma,unatia aibu kwa kuanza kuelezea historia ya ujenzi na umiliki wa kiwanja kwa maneno ya vijiweni badala ya documents.Ile ni aibu,aibu kwa aliyemteua na anayemuacha Gambo kwenye nafasi ile mpaka sasa.
Nina milion 6.5,nikipata laki tano naweza kufunguka zaidi,kwa sasa ngoja niishie hapa,Nitafungwa;lkn Gambo aache uhuni,asijipendekeze kijinga jinga;historia itamuhukumu.Hakuna Ukuu wa Mkoa wa kudumu.
siwezi kutetea ujinga
Lema na Mkuu wa Mkoa wote wana makosa
Lema angejaribu kutumia busara sio ugomvi
Lema angetulia Gambo amalize kuongea na yeye aeleze ukweli hata wafadhili wangeelewa, haya ni matunda ya ule upuuzi wa bungeni kuzomea hovyo wakati mwingine anaongea, matokeo yake ndio hayo, hadi mbele ya wafadhili yanafanyika hayo hayo, ni aibu, Mimi binafsi sikufaurahishwa na tabia ile halafu anageuka kumkumbatia mfadhili kwa Kipi? Hao wote wawili walipaniana lakini sio sehemu kama ile. Jamani tusitetee upuuzi kwenye vitu vya maana kama hivyo. Kama ni laana walaaniwe wote.Busara ya aina gani, kwa mfano?
Huyo zitto aliwahi kutokwa na povu hadharani akisema hamuogopi magufuli wala hatofuata amri zakeNakasirishwa sana kuona viongozi vijana wanafanya mambo ya hovyo. Mkuu wa mkoa wa Arusha mdogo wangu Mrisho Gambo una dhamana zaidi kwa vijana. Mnapofanya mambo ya kijinga mnaharibu nafasi ya vijana kuaminiwa zaidi. Kaa na Mbunge Godbless Lema mnywe kahawa pale New Arusha na muanze upya. Ndugu yangu Lema nashauri punguza munkari. Juhudi zako Arusha haziwezi kufutika kirahisi. Nakushauri kaa chini na Mkuu wa Mkoa wako mpige mstari muanze Kazi upya kwa pamoja. Viongozi jiepusheni kuonyesha hasira zenu hadharani. Sio hekima.