Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Kwanini single maza lakini🤣🤣Mwanamke wa hivyo lazma awe above 30 yrs na ni single maza🤣
We utakua ushapigwa na kitu kizito si bure
Kwanini single maza lakini🤣🤣Mwanamke wa hivyo lazma awe above 30 yrs na ni single maza🤣
Yeah inabidi iwe hivyo ukubari matokeo tu ndio ishakua Ingawa inaumiza ndani kwa ndaniUkipigwa na kitu kizito unakung'uta mavumbi, unasonga mbele.
Ila watu wema na wenye mapenzi ya dhati wapo (waume kwa wake)❣️
Hahahah nadra sana kwa mtoto wa 21-23 yrs kuwa na adabu kiasi hicho🤣Kwanini single maza lakini🤣🤣
We utakua ushapigwa na kitu kizito si bure
Yenu hamsemi na mlivo wa kujihesabia haki .Ni kwa sababu wengi wana akili, kuwaheshimu wanaume wa kiafrika wenye mitazamo ya ajabu kama yenu, inahitaji usiwe na akili kabisa
Unaongelea mwanamke wa kuchonga, wa kubumba au waaje yan? I'm sure huongelei hawa tulionao mitaaniUkipata mwanamke anayeamini katika mihangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.
Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu.
Nimekaa pale nasubiri povu la wanawake wenzangu![]()
Tatizo hamjazoea kupendwa nyieHahahah nadra sana kwa mtoto wa 21-23 yrs kuwa na adabu kiasi hicho🤣
Hahahah sahio wahuni wanapishana na discovery zao kila mmoja analeta vizawadi ili atafune mzigo. Kijana mpambanaji lazma uwekwe kando kwanza 😀😀😀!!!Tatizo hamjazoea kupendwa nyie
Sasa mwanaume huna hela unatongoza ya niniHahahah sahio wahuni wanapishana na discovery zao kila mmoja analeta vizawadi ili atafune mzigo. Kijana mpambanaji lazma uwekwe kando kwanza 😀😀😀!!!
Achana na kitu kinaitwa "Prime time" ya mtoto wa kike akiwa na Options mia kidogo. Unaachwa leo kesho unamuona mwamba mwingine kwa status🤣🤣🤣
Sasa si tumekubaliana ni real love kama massari 😀 mtupende kwa shida na raha.Sasa mwanaume huna hela unatongoza ya nini
Kama venye mnapenda pisi kali zilizonona, nasi twapenda pochi zilizonona. Si kwa ubaya lakini🤣
Raha ya wote Ila shida ya kwako sio ya woteShida ni yako raha ni ya wote.
hili ni kweli kabisa ila kwa bahati mbaya siku hizi kumpata mwanamke wa sifa ulizozitaja ni ngumu sana wamebaki wachache sana. Wengi ukiwa unajitafuta na hujajipata wanakuona kama linumbu fulani hivi, ukishajipata ndio anaanza kukuona kama mtu.






CaseSasa mtu anakurogaje kama hujatembea naye acheni umalaya muone kama mtarogwa

Wakati wa shida wenzetu Hawa wanatukimbia asipokimbia manyanyaso Kama yote plus dharau,shida na Raha uishia mlango wa kanisa wanaondoka na Raha pekeeRaha ya wote Ila shida ya kwako sio ya wote
✍️
UmeanzaWanyakyusa wa Kyela wanadharau hao.
Hapo sasa, mbna hatariiiiMtu unamvumilia hlf akipata hela anaenda kudate na demu wa ndoto zake![]()





Ukipata mwanamke anayeamini katika mihangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.
Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu.
Nimekaa pale nasubiri povu la wanawake wenzangu![]()
Bana wee tutakula hiyo real love?Sasa si tumekubaliana ni real love kama massari 😀 mtupende kwa shida na raha.
Imeandikwa kila mtu atampata wa kufanana naye.Nashukuru kwa ushauri, ila are very hard to find, I wish ningepata wa namna hiyo