Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,970
- 35,342
Subiri Kuna kontena la njemba linakuja kukupopoa. Me sinaga muda na kuhangaika hangaika Mnyaki.

imebidi tu nicheke.Subiri Kuna kontena la njemba linakuja kukupopoa. Me sinaga muda na kuhangaika hangaika Mnyaki.

imebidi tu nicheke.Hapo nani anayefaidiSa si unakuwa wa Mihangaiko mwenzio was Mapumziko.
Kuna ubaya gani ?
Kawaida yako kucheka mbona.imebidi tu nicheke.
Kula chuma hichohili ni kweli kabisa ila kwa bahati mbaya siku hizi kumpata mwanamke wa sifa ulizozitaja ni ngumu sana wamebaki wachache sana. Wengi ukiwa unajitafuta na hujajipata wanakuona kama linumbu fulani hivi, ukishajipata ndio anaanza kukuona kama mtu.
Any opinion before Quest. ?
Wee achana nao bwanaKawaida yako kucheka mbona.
Njoo upande wa Pili wapo wanawake waliowaamini wanaume sasa hivi wanauguza makovu ya maumivu ya mapenzi baada ya wanaume kutoboa wameachwa solemba, hii sijui inakuaje hii?Mtu unamvumilia hlf akipata hela anaenda kudate na demu wa ndoto zake😂
Bhasi sawa Afisa Kicheko.Wee achana nao bwana
Mnyaki 😃Subiri Kuna kontena la njemba linakuja kukupopoa. Me sinaga muda na kuhangaika hangaika Mnyaki.
And vice versa is trueWanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu.
✍️
Wanyakyusa wa Kyela wanadharau hao.Mnyaki 😃
I already said it ndio hivyo sasa itakuaje ?And vice versa is true
Aaah we unataka kuleta balaa .To yeye mmoja wapo au yeye hayupo kwenye list hio ? 😃
Ukipigwa na kitu kizito unakung'uta mavumbi, unasonga mbele.I already said it ndio hivyo sasa itakuaje ?
😃
Mwanamke wa hivyo lazma awe above 30 yrs na ni single maza🤣nashindwa kuamini mwanamke wa hivi yupo
Sawa basi hapo nimekuelewa mkuu kumbe wa Kyela na wa Tukuyu mnatofautiana ? 😃Mi wa tukuyu tunapiga wanaume siye
Ni kwa sababu wengi wana akili, kuwaheshimu wanaume wa kiafrika wenye mitazamo ya ajabu kama yenu, inahitaji usiwe na akili kabisaWanyakyusa wa Kyela wanadharau hao.
KabisaSawa basi hapo nimekuelewa mkuu kumbe wa Kyela na wa Tukuyu mnatofautiana ? 😃