Ushauri wa leo kwa kaka zangu

Ushauri wa leo kwa kaka zangu

Ukipata mwanamke anayeamini katika mihangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.

Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu.

Nimekaa pale nasubiri povu la wanawake wenzangu
Povu litatoka kwetu kweli, sio kwao?
 
Back
Top Bottom