mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,315
- 72,083
nyie ndo mnaumia😂Hatudanyanyiki tena.
Saivi tumeamka na sisi so tutaenda bampa to bampa hadi kieleweke🤣
sisi tunapiga kisha tunasepa
nyie ndo mnaumia😂Hatudanyanyiki tena.
Saivi tumeamka na sisi so tutaenda bampa to bampa hadi kieleweke🤣
Ushindwe ulegee hatuwezi kuliwa ovyoo kwa sababu hatujajenga makao niwewe ujenge makao kwangu ili nikupe attention mwanaume ndio baba wa familia so kama haoni namfaa basi .
Mtu hawezi mdhamini mtu asiyemdhamini .
Sijali ukinipondea humu maana sina mpango wakuolewa na mtu humu so hilo ni wazo lako next
Hahahah mapenz ya kweli yapo ila mapenzi ya kileo hela ndio superglue. 😀😀😀Kupata soulmate yaani ubavu wako ni ngumu sana wengi ni pretender amini hili kwa kufulia ndo utaiona rangi halisi.
Jipange kwanza ndipo uoe Kama unataka mpenzi wa kwel.
Shida ni yako raha ni ya wote.
Ila wanaume acha tuitwe wanaume kuna sister yangu mmoja alikua anampelekesha jamaa yake kipindi jamaa kashatoa posa mahari kalipa mipango ya ndoa inaendelea sasa masuala ya sherehe ndio akaanza kumpelekesha yaan hadi nikasema wanawake hawa basi tu sijui wanawazaga nini,Matapeli hawa 😀 muuza cheni bandia akipewa hela bandia analia balaa 🤣🤣🤣
Alikuwa anafosi kingi au 😀Ila wanaume acha tuitwe wanaume kuna sister yangu mmoja alikua anampelekesha jamaa yake kipindi jamaa kashatoa posa mahari kalipa mipango ya ndoa inaendelea sasa masuala ya sherehe ndio akaanza kumpelekesha yaan hadi nikasema wanawake hawa basi tu sijui wanawazaga nini,
✍️
coco na Bagamoyo zote bahari.Sasa kaharibu mmoja sio wote tuko hivyo bwana.
Mie sipati waaina hiyo mie ninapata wanaonijali na wakinijali na wajali wewe inaelekea unataka mtu kama mtoa mada akunyenyekee . Akupe attention, akusikilize akujali halafu wewe uwe unaringa ringa ila sisi sio mabinti so hatubembelezi utakacho offer ndio tunareplyMimi niliandika kuwa yote uliyoyasema atakayekuwa na wewe akufanyie vivyohivyo sasa kinachokukasirisha ni nini?
Yote uliyoyaandika naamini utapata wa Aina hiyohiyo
Nakagua tu mafaili.😀😀Nini sasa
Anawaza sherehe tu muda wote sio ndoa yeye anawaza ukumbini sijui kufanyaje kutafanyika nini matukio wapiga picha wachukua video makolokolo mengine na yote jamaa ajue namna ya kufanikisha ukiondoa Mambo ya kamati na hapo ukicheck mda umeisha akaanza kumburuza lazima agharamie kila kitu 😃Alikuwa anafosi kingi au 😀
kama unaweza ishi bila wanawakeIla wanaume acha tuitwe wanaume kuna sister yangu mmoja alikua anampelekesha jamaa yake kipindi jamaa kashatoa posa mahari kalipa mipango ya ndoa inaendelea sasa masuala ya sherehe ndio akaanza kumpelekesha yaan hadi nikasema wanawake hawa basi tu sijui wanawazaga nini,
✍️
Hivi huko ukumbinj Kuna maajabu gani yaani watu wanapenda kweliAnawaza sherehe tu muda wote sio ndoa yeye anawaza ukumbini sijui kufanyaje kutafanyika nini matukio wapiga picha wachukua video makolokolo mengine na yote jamaa ajue namna ya kufanikisha ukiondoa Mambo ya kamati na hapo ukicheck mda umeisha akaanza kumburuza lazima agharamie kila kitu 😃
Basi na aendelee kukunyoosha huko alipococo na Bagamoyo zote bahari.


Kwamba mnatuachia kovu usoni hadi tuumie?nyie ndo mnaumia😂
sisi tunapiga kisha tunasepa
Hahahahahah shemeji yako alikoma kuringa 😀Anawaza sherehe tu muda wote sio ndoa yeye anawaza ukumbini sijui kufanyaje kutafanyika nini matukio wapiga picha wachukua video makolokolo mengine na yote jamaa ajue namna ya kufanikisha ukiondoa Mambo ya kamati na hapo ukicheck mda umeisha akaanza kumburuza lazima agharamie kila kitu 😃
Hivi ndoa ilifungwa kweli ama kuna mtu alipigwa chini??Anawaza sherehe tu muda wote sio ndoa yeye anawaza ukumbini sijui kufanyaje kutafanyika nini matukio wapiga picha wachukua video makolokolo mengine na yote jamaa ajue namna ya kufanikisha ukiondoa Mambo ya kamati na hapo ukicheck mda umeisha akaanza kumburuza lazima agharamie kila kitu![]()
Ndio nikuulize wewe au wewe sio mwanamke lazima upende kwenda ukumbini ukaonekane tausiHivi huko ukumbinj Kuna maajabu gani yaani watu wanapenda kweli
Jamaa alitandaza vibunda achukue jiko fanya mchezo na kupenda 😃Hahahahahah shemeji yako alikoma kuringa 😀