Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,970
- 35,342
Wapo ijapokua naamini ni kwa uchache. Sasa hivi hakuna tena upendo wa dhati ndio mana hata wadada wengi wapo after money upendo pelekea wazazi.nashindwa kuamini mwanamke wa hivi yupo
Wapo ijapokua naamini ni kwa uchache. Sasa hivi hakuna tena upendo wa dhati ndio mana hata wadada wengi wapo after money upendo pelekea wazazi.nashindwa kuamini mwanamke wa hivi yupo
ndio uhalisia wanawake wanapenda wanaume fulani wenye status iwe ya fame au fedha ndio maana tunawindwa sana tukishazipata.mimi siamini katika hilo
wapo mkuu ila wachache sananashindwa kuamini mwanamke wa hivi yupo
Kweli, kuna wengine inawezekana wanatekwa kama hivyo ulivyosema ila sasa sio wote. Wengine ni kile kiburi cha pesa anaanza kufanya vitu ambavyo alishindwa kuvifanya wakati hana kitu.Wakati wa kuvumilia unatakaiwa uwe na macho ya rohoni. kuona nipo na mtu sahihi au la ?
Dunia ya sasa imechafuka sana, Adui wa mtu ni yule wa Nyumbani kwake.
Maisha ni Mashindano, pengine hata haikua wazo lake kukuacha, ila ndio hivo akakutana na wazee wa kazi wakamteka.
Sasa mtu anakurogaje kama hujatembea naye acheni umalaya muone kama mtarogwakuna kurogwa tunawindwa sana si unajua ukishazipata ni wengi wanataka kukuiba
Kelsea, vyote vipo, kurogwa na kukengeuka..!!Hakuna cha kurogwa wala nini wengi huwa mnakengeuka mnasahau mlipotoka.
ndio kurogwa kwenyewe kwahiyo muongeze maombi ukifika mda wa kustaafu mbona huwa tunajirudiHakuna cha kurogwa wala nini wengi huwa mnakengeuka mnasahau mlipotoka.
Wapo sema uwe mjanja Sasa! 😁😁nashindwa kuamini mwanamke wa hivi yupo
Nimecheka sana🤣🤣🤣🤣🤣Watakuja kukuambia kikubwa awe na tako .
mjanja kivipiWapo sema uwe mjanja Sasa! 😁😁
we bado hujajua hii vita sio ndogo mambo ni mengi sio lazima utembee nae ndio dawa iingieSasa mtu anakurogaje kama hujatembea naye acheni umalaya muone kama mtarogwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ya sasa hakuna mdada mzuri wa kuanza na mtu sifuri, then mje mtoboe miaka 20 badae.Umenena vyema ila wengi wao hawa kaka zetu wakikaa vizuri kiuchumi ndio wanaanza kutafuta wale wanaita type zao ila wale waliohangaika nao kipindi wapo majalala wanawaona washamba.
Na lipo jitu litajichanganya ndipo litakapojua Kuna watu na majitu...😅Watakwambia huyo sio mwanamke, atakua Malaika 🤣🤣🤣
hawapo.wapo mkuu ila wachache sana
Timing afu punguza vigezo,mjanja kivipi
Sometimes mnajifanyisha kurogwa....kumbe mnafanya makusudikuna kurogwa tunawindwa sana si unajua ukishazipata ni wengi wanataka kukuiba
hiyo ya timing sijaelewa,Timing afu punguza vigezo,
Yaan unajirudi baada ya kustaafu ukute na pesa zote ulikula na vimada. Kwangu hamna nafasi kwa mwanaume wa aina hiyo arudi huko huko alikokua anapiga starehe.ndio kurogwa kwenyewe kwahiyo muongeze maombi ukifika mda wa kustaafu mbona huwa tunajirudi