Ushauri wa leo kwa kaka zangu

Ushauri wa leo kwa kaka zangu

Nadhani Vijana mtanielewa Kwa nini hampaswi kuwathamini na kuwachukulia Serious Wanawake(wengi wapo namna Hii ya aliyeandika comment Hii)

Yote aliyoyaandika hapa, basi wafanyieni hivyo hivyo.

Ingawaje wapo Wadada Wema ambao hawapo kama huyu. Mkiwapata wapeni heshima Yao na muwapende.

WA hivi wachezeeni kisha waacheni solemba

Mkuu tuendelee tu kumkumbusha Kama ni mwamini akasome Mithali 31: 10-29 Kama sio mkristu apotezee aendelee na maisha yake.
 
Ukipata mwanamke anayeamini katika mihangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.

Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu.

Nimekaa pale nasubiri povu la wanawake wenzangu
wengi wa hivo ni pisi mbovu, sasa tunakosa namna tunawaacha tu
 
Mwanamke wa type hiyo ni wanawake watafutaji,wapambanaji ndio huwa hivyo.

Unajua wanaume inatakiwa tuelewe wanawake wapo katika makundi binafsi mimi nimewagawa ktk makundi mawili tu.

1.Mwanamke Mwanamke

Huyu ni pure woman,sio fighter yeye ana behave kama mwanamke na heshima zake,anafanya kazi kawaida, sio mvivu lakini sio mchapakazi, Ule msemo wa Mwanamke huwezi mlinganisha na mwanaume, Wanawake wa kundi hili ndio ambao husemewa.

Wanawake flani Rojo Rojo sio rojo kwa maana ya uzembe au udhaifu la hasha ila ni wana ule ukike kike as how God Creates them.

70% ya wanawake chini ya Jua wapo kundi hili, na ndio wengi wengi wengi, wanahtaji mwanaume ili wafike sehemu hawawezi wao kama wao bila kuwezeshwa katika kila kitu. Pure Women.

2.Mwanamke Mwanaume

Huyu ni mwanamke aliekamilika ila ana kikwazo cha Jinsia,She is a fighter haswaa, anawaza positivity kwa mwanaume wake ktika mapambano yake, hawa ndio wale haoni shida kumpa mwanaume wake mshahara wake wote anaopokea ili huyo mwanaume afanikishe jambo Flani, anaamini mwanaume anaweza hivyo anafanya kila awezalo mwanaume wake afikie paleee.

Sio tu kumsapoti na kumpambania mumewe/mpenzi wake ila hata wanawake wa kundi hili sio Poa wanapush mno, wana ma idea ya biashara akikuomba hela afungue biashara ni kweli anaenda kufungulia biashara, hana matumizi ya hovyo na luxury kama wanawake wa pale juu.

Wana bajeti ya maisha hawa, kama ndio mama ako yupo kundi hili utakua shahidi ni mama ambae haoni shida kuwalisha ugali wiki nzima ila sio kwamba nyie n maskini ila n mama Saving, mna pesa na watu wanawakua hivyo huko nnje ila ndani ya nyumba ni bajeti sio kidogo. Strictly women wana kiu ya mafanikio.

Wanapenda wanaume wachakarikaji hawanaga time na mahandsome sijui six pack wao wanataka mwanaume mtafutaji anae ijua shilingi mambo ya muonekano wao wana deal nayo kwa uchache sana kwasababu wamefocus katka mafanikio Zaidi yake na Familia.

Wana ndoto za kufikia mbaliii wawe watu flani katika level zote kibiashara zao,familia zao,nk nk.

Huuu UZI umewaongelea wanawake Kundi no.2 ambao kwanza ni wachache (picha linaanzia hapo)

Kuwapata sio rahisi na ili uwapate hawa huwezi tu kukaa ukamuotea njiani umpate,hawa unawapata mkiwa ktk majukumu.

Either wewe upo na majukumu yako au yeye au wote mkaelewana.

Tofaut na kundi no 1 wale wapo kila kona,hata mdada anaetembea pembeni hapo ni no 1.

Balaaa la Kundi no 2 hawa bana wengi sio wazuri kimuonekano, ndio mana wanaume wengi wanao date na wanawake wa kundi hili Hufanikiwa na mwishowe huwaacha na kutafuta kundi no 1.

Ki ukweli kwenye mahusiano wanawake wa kundi hili wanaongoza kwa kuachiwa maumivu makali sana na wengi huachiwa maumivu kule mwishoni kwenye NDOA.

Shida kuu ya sisi wanaume tunashindwa waweka hawa wanawake wa kundi no 2 wawe kama wa kundi no 1, na badala yake tunawaacha na kurudi kule juu kundi no 1.

WANAUME

Ukiotea Pisi kali ile kali haswaa ipo kundi no 2 usi iache,ni chache sanaaaa, yani katika 100 unaweza otea hapo wawili au watatu.

Pata picha upate Chombooo Chombooo halafu ipo kundi no. 2 dunia yote utaiona yako, mziki ni kundi no 2 sura zao maumbo yao tunafanana nao kwa namna flani (natania bana)

Mapenzi ni kama Karata za kulamba huwezi Jua utalamba Nini, unaweza ukalamba weeee Mwisho ndio ukalamba JOKER.

Muhimu tuendeleee kuishi maisha yetu mtu sahihi atakuja tu,ila usikae unaanzisha mahusiano tofaut kisa kuna aina flani ya mtu unamtafuta,will cost you.
 
Nadhani Vijana mtanielewa Kwa nini hampaswi kuwathamini na kuwachukulia Serious Wanawake(wengi wapo namna Hii ya aliyeandika comment Hii)

Yote aliyoyaandika hapa, basi wafanyieni hivyo hivyo.

Ingawaje wapo Wadada Wema ambao hawapo kama huyu. Mkiwapata wapeni heshima Yao na muwapende.

WA hivi wachezeeni kisha waacheni solemba
Nakazia🔧
 
Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu.
✍️
 
Mwanamke wa type hiyo ni wanawake watafutaji,wapambanaji ndio huwa hivyo.

Unajua wanaume inatakiwa tuelewe wanawake wapo katika makundi binafsi mimi nimewagawa ktk makundi mawili tu.

1.Mwanamke Mwanamke

Huyu ni pure woman,sio fighter yeye ana behave kama mwanamke na heshima zake,anafanya kazi kawaida, sio mvivu lakini sio mchapakazi, Ule msemo wa Mwanamke huwezi mlinganisha na mwanaume, Wanawake wa kundi hili ndio ambao husemewa.

Wanawake flani Rojo Rojo sio rojo kwa maana ya uzembe au udhaifu la hasha ila ni wana ule ukike kike as how God Creates them.

70% ya wanawake chini ya Jua wapo kundi hili, na ndio wengi wengi wengi, wanahtaji mwanaume ili wafike sehemu hawawezi wao kama wao bila kuwezeshwa katika kila kitu. Pure Women.

2.Mwanamke Mwanaume

Huyu ni mwanamke aliekamilika ila ana kikwazo cha Jinsia,She is a fighter haswaa, anawaza positivity kwa mwanaume wake ktika mapambano yake, hawa ndio wale haoni shida kumpa mwanaume wake mshahara wake wote anaopokea ili huyo mwanaume afanikishe jambo Flani, anaamini mwanaume anaweza hivyo anafanya kila awezalo mwanaume wake afikie paleee.

Sio tu kumsapoti na kumpambania mumewe/mpenzi wake ila hata wanawake wa kundi hili sio Poa wanapush mno, wana ma idea ya biashara akikuomba hela afungue biashara ni kweli anaenda kufungulia biashara, hana matumizi ya hovyo na luxury kama wanawake wa pale juu.

Wana bajeti ya maisha hawa, kama ndio mama ako yupo kundi hili utakua shahidi ni mama ambae haoni shida kuwalisha ugali wiki nzima ila sio kwamba nyie n maskini ila n mama Saving, mna pesa na watu wanawakua hivyo huko nnje ila ndani ya nyumba ni bajeti sio kidogo. Strictly women wana kiu ya mafanikio.

Wanapenda wanaume wachakarikaji hawanaga time na mahandsome sijui six pack wao wanataka mwanaume mtafutaji anae ijua shilingi mambo ya muonekano wao wana deal nayo kwa uchache sana kwasababu wamefocus katka mafanikio Zaidi yake na Familia.

Wana ndoto za kufikia mbaliii wawe watu flani katika level zote kibiashara zao,familia zao,nk nk.

Huuu UZI umewaongelea wanawake Kundi no.2 ambao kwanza ni wachache (picha linaanzia hapo)

Kuwapata sio rahisi na ili uwapate hawa huwezi tu kukaa ukamuotea njiani umpate,hawa unawapata mkiwa ktk majukumu.

Either wewe upo na majukumu yako au yeye au wote mkaelewana.

Tofaut na kundi no 1 wale wapo kila kona,hata mdada anaetembea pembeni hapo ni no 1.

Balaaa la Kundi no 2 hawa bana wengi sio wazuri kimuonekano, ndio mana wanaume wengi wanao date na wanawake wa kundi hili Hufanikiwa na mwishowe huwaacha na kutafuta kundi no 1.

Ki ukweli kwenye mahusiano wanawake wa kundi hili wanaongoza kwa kuachiwa maumivu makali sana na wengi huachiwa maumivu kule mwishoni kwenye NDOA.

Shida kuu ya sisi wanaume tunashindwa waweka hawa wanawake wa kundi no 2 wawe kama wa kundi no 1, na badala yake tunawaacha na kurudi kule juu kundi no 1.

WANAUME

Ukiotea Pisi kali ile kali haswaa ipo kundi no 2 usi iache,ni chache sanaaaa, yani katika 100 unaweza otea hapo wawili au watatu.

Pata picha upate Chombooo Chombooo halafu ipo kundi no. 2 dunia yote utaiona yako, mziki ni kundi no 2 sura zao maumbo yao tunafanana nao kwa namna flani (natania bana)

Mapenzi ni kama Karata za kulamba huwezi Jua utalamba Nini, unaweza ukalamba weeee Mwisho ndio ukalamba JOKER.

Muhimu tuendeleee kuishi maisha yetu mtu sahihi atakuja tu,ila usikae unaanzisha mahusiano tofaut kisa kuna aina flani ya mtu unamtafuta,will cost you.

Umemaliza kila kitu masta
 
Kwenye maisha ya kua zaidi ya mtu mmoja namkiwa very good bonding hua kuna kidudu mchonganishi atatumwa tu either mmojawapo abadilike or atumiwe mtu ajekuharibu. ..always like that..misimamo yenu ndio nguzo pekee. ..ingawa wakina mama wanaendeshwa na hisia zaidi
 
Back
Top Bottom