Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,970
- 35,342
Sasa umeanza kuharibu. Mkirogwa mpotelee huko huko msirudi.hayaishi leo ni kivumbi na jasho hadi mkubali yakuwa tunalogwa
Sasa umeanza kuharibu. Mkirogwa mpotelee huko huko msirudi.hayaishi leo ni kivumbi na jasho hadi mkubali yakuwa tunalogwa
bora turudi maana mtaumia sanaSasa umeanza kuharibu. Mkirogwa mpotelee huko huko msirudi.
Mimi sipokei mtu wa hivyo. Mtapokelewa labda na watoto wenu. Huwa naangalia maisha aliyoishi bi mkubwa wangu haki sitaki kabisa hayo mambo. Ukihama hama mazima.bora turudi maana mtaumia sana
Kero za ndoa is real mzeeSikuhiz hakuna wanawake kuna OmbaOmba pesa, walevi na madanga... Kiukweli nyie mnaotaka kuoa nawaonea huruma sana maana karibia wanawake wote hawafai... Ndio maana singo maza wanaongezeka kwa kasi... Wanaume wameamua kuishi bila ndoa ili kukwepa kero za ndoa
na hata hawapo hao WANAOAMINI HUSTLE,wacha tupambane kubatilisha mambo za ndoa mpk ikifika 2030 hivi jamii iwe imeshatuelewa mustakabali wetu vijana juu ya ndoaUkipata mwanamke anayeamini katika mihangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.
Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu.
Nimekaa pale nasubiri povu la wanawake wenzangu![]()
Awe na tako sura haijalishi,tunaweka kambi mileleUkipata mwanamke anayeamini katika mihangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.
Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu.
Nimekaa pale nasubiri povu la wanawake wenzangu![]()
And vice versa is also trueUmenena vyema ila wengi wao hawa kaka zetu wakikaa vizuri kiuchumi ndio wanaanza kutafuta wale wanaita type zao ila wale waliohangaika nao kipindi wapo majalala wanawaona washamba.