joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,941
- 40,166
Ukweli mchungu, pisi kali karibia zote hazijui kuvumilia. Kama huna hela anakuweka pembeni.Dunia ya sasa hakuna mdada mzuri wa kuanza na mtu sifuri, then mje mtoboe miaka 20 badae.
Ukweli mchungu, pisi kali karibia zote hazijui kuvumilia. Kama huna hela anakuweka pembeni.Dunia ya sasa hakuna mdada mzuri wa kuanza na mtu sifuri, then mje mtoboe miaka 20 badae.
Ukweli mtupu juzi tu nilikuwa mtaa nilipo kulia daah kuna vibinti under 20 kama vinne,vimezalishwa na kuachwa tena na waume za watu.Age ya 18-25 imejaa single mom's sana sana!! Kuna tatizo mahali...
Anafanana namimi kwa kila kitu kasoro urefu , na nimwanaume😂😂
Ninaomba afanane na wewe ili ndoa yenu istawi.
Sometimes Huwa tunarogwa KweliSometimes mnajifanyisha kurogwa....kumbe mnafanya makusudi

Una akili ww, 🖐️🖐️❤️Kwakweli sijawah kuwaza aisee sijaona maajabu ndoa inajengwa na mapenz sio ma dj WA amapiano ukumbini
Na km ikitokea nitafanya ni ya kawaida sana ya nn kujichosha
Duuh,Ukweli mtupu juzi tu nilikuwa mtaa nilipo kulia daah kuna vibinti under 20 kama vinne,vimezalishwa na kuachwa tena na waume za watu.
😂😂😂 tunayoyapitia n MUNGU tu anajuaKula chuma hicho
kitaaalam hiyo inaitwa ngoma droooMwanamke mwenye mawazo kama hayo ujue naye kwake hauko peke yako
akizingua tu piga chini mimi nipoHuyo ni yeye. Mwanaume akiniletea ujinga kwa kweli tusijuane. Sitaki hekaheka.
😂😂😂😂 umenichekeshaWatulie. Na wao watakua na ndoa zao watayakuta. Kwani baba yao alivyosepa walikua hawaoni?
mnapenda ligi sana
😂😂me sikuachi kama vipi niueeniachee nimevurugwa
hayaishi leo ni kivumbi na jasho hadi mkubali yakuwa tunalogwaHaya basi tufanye yameisha![]()