Ushauri wa leo kwa kaka zangu

Ushauri wa leo kwa kaka zangu

Basi na aendelee kukunyoosha huko alipo [emoji23][emoji23]
Aliahribu uwekezaji Mmoja huo ambao nilitumia nguvu zote kupata mkataba kwa kupeleka ushahidi na mikwara juu.
Na rorho yake ya Pasta Makenzie Shetani lile.
 
Umenena vyema ila wengi wao hawa kaka zetu wakikaa vizuri kiuchumi ndio wanaanza kutafuta wale wanaita type zao ila wale waliohangaika nao kipindi wapo majalala wanawaona washamba.
Mnatusingizia bure..., hata wale wanawake wanaotukubali leo ni kwa sababu hawajapendwa na someone better than us..!
 
Umenena vyema ila wengi wao hawa kaka zetu wakikaa vizuri kiuchumi ndio wanaanza kutafuta wale wanaita type zao ila wale waliohangaika nao kipindi wapo majalala wanawaona washamba.
Maisha hayatabiriki, mabadiliko ya binadamu ndiyo maisha. Kuna ndoa zinachanganywa na wababa na nyingine ni akinamama. Jambo la muhimu ni mtu binafsi kujitahidi kuilinda ndoa yake bila kutegemea mwenzake ailinde! Kulipiza kisasi ndiyo Kifo cha kwanza cha ndoa nyingi
 
Sawa rafiki.
 
Cases za aina hiyo zipo nyingi tu. Hatuwasingizii hii kitu ipo.
Kama enzi za kutokuwa nayo uliendeshwa na kuteswa ukizipata ndo muda wako.

Mfano, mwananke anasema anasafiri kwenda mkoani kikazi na boss wake, ukijitahidi kuuliza unaambiwa tulia bana ndo hii kazi inaleta mchango mezani, ukija kupata nawe usisafiri?

Aliyekuwa anaheshimiana inavyostahili huwezi kuwakuta huko
 
Sikuhiz hakuna wanawake kuna OmbaOmba pesa, walevi na madanga... Kiukweli nyie mnaotaka kuoa nawaonea huruma sana maana karibia wanawake wote hawafai... Ndio maana singo maza wanaongezeka kwa kasi... Wanaume wameamua kuishi bila ndoa ili kukwepa kero za ndoa
Age ya 18-25 imejaa single mom's sana sana!! Kuna tatizo mahali...
 
Back
Top Bottom