Ushauri wa leo kwa kaka zangu

Ushauri wa leo kwa kaka zangu

Ila wanaume acha tuitwe wanaume kuna sister yangu mmoja alikua anampelekesha jamaa yake kipindi jamaa kashatoa posa mahari kalipa mipango ya ndoa inaendelea sasa masuala ya sherehe ndio akaanza kumpelekesha yaan hadi nikasema wanawake hawa basi tu sijui wanawazaga nini,
✍️
Ningekuwa jamaa ningewaacha na masikitiko sana, nisingeangalia nimetoa posa au la, ningetokomea tu pasipojulikana.

Kuendeshwa ni kitu noma sana
 
Kama enzi za kutokuwa nayo uliendeshwa na kuteswa ukizipata ndo muda wako.

Mfano, mwananke anasema anasafiri kwenda mkoani kikazi na boss wake, ukijitahidi kuuliza unaambiwa tulia bana ndo hii kazi inaleta mchango mezani, ukija kupata nawe usisafiri?

Aliyekuwa anaheshimiana inavyostahili huwezi kuwakuta huko

Nilimaanisha wanawake waliokaa vyema na wapenzi wao kipindi hawana kitu. Lkn ghafla mwanaume akipata pesa anabadilika.
 
Ukipata mwanamke anayeamini katika mihangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.

Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu.

Nimekaa pale nasubiri povu la wanawake wenzangu
Tatiyo wanawake kama hao tunawapata kwa sababu tunawambato sana. Mozoni unajua anapenda shoo lakini unaona haweyi kuwa mlezi au mwalimu wa watoto wangu. Na kama mwanaume unajua kuwa kinachotuunganisha ni kitu cha kijinga.
 
Hahahah mtihani sheikh
 
Imeandikwa kila mtu atampata wa kufanana naye.
Kama wewe ni good boy then utampata aliye mwema

Kwa Hiyo Uria (aliyeporwa mke na Daud), akiwa vitani, na kuishia kufa kwa kutokutaka kuacha vitu kuja kulala na mkewe kuna Mabaya alifanya mpaka hayo yote yakamkuta?
 
Kwa Hiyo Uria (aliyeporwa mke na Daud), akiwa vitani, na kuishia kufa kwa kutokutaka kuacha vitu kuja kulala na mkewe kuna Mabaya alifanya mpaka hayo yote yakamkuta?
Sometimes life is not fair
 
Ukipata mwanamke anayeamini katika mihangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.

Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu.

Nimekaa pale nasubiri povu la wanawake wenzangu
Sibiri waje
 
Back
Top Bottom