Ushauri wa leo kwa kaka zangu

Ushauri wa leo kwa kaka zangu

Nimebahatika kumpata mmoja katika hao wachache waliopo.

Huwa najihisi ni mmoja ya Wanaume wachache waliobarikiwa kumpata Mwanamke wa aina hiyo.

Akija kubadirika basi itakuwa tayari tumeshaingia kwenye umri wetu wa Uzee, ila kwasasa wacha niendelee kufaidi uwepo wake.

Mungu ni mwema 🙏
 
Umenena vyema ila wengi wao hawa kaka zetu wakikaa vizuri kiuchumi ndio wanaanza kutafuta wale wanaita type zao ila wale waliohangaika nao kipindi wapo majalala wanawaona washamba.
Sa si unakuwa wa Mihangaiko mwenzio was Mapumziko.
Kuna ubaya gani ?
 
Nimebahatika kumpata mmoja katika hao wachache waliopo.

Huwa najihisi ni mmoja ya Wanaume wachache waliobarikiwa kumpata Mwanamke wa aina hiyo.

Akija kubadirika basi itakuwa tayari tumeshaingia kwenye umri wetu wa Uzee, ila kwasasa wacha niendelee kufaidi uwepo wake.

Mungu ni mwema 🙏
lakini pembeni unaangilia japo kidogo mara chache😂
 
Nadhani Vijana mtanielewa Kwa nini hampaswi kuwathamini na kuwachukulia Serious Wanawake(wengi wapo namna Hii ya aliyeandika comment Hii)

Yote aliyoyaandika hapa, basi wafanyieni hivyo hivyo.

Ingawaje wapo Wadada Wema ambao hawapo kama huyu. Mkiwapata wapeni heshima Yao na muwapende.

WA hivi wachezeeni kisha waacheni solemba
Wa hiv unakuta wamepigwa matukio hatari , kiufupi wamevurugwa .
 
Nadhani Vijana mtanielewa Kwa nini hampaswi kuwathamini na kuwachukulia Serious Wanawake(wengi wapo namna Hii ya aliyeandika comment Hii)

Yote aliyoyaandika hapa, basi wafanyieni hivyo hivyo.

Ingawaje wapo Wadada Wema ambao hawapo kama huyu. Mkiwapata wapeni heshima Yao na muwapende.

WA hivi wachezeeni kisha waacheni solemba
Ushindwe ulegee hatuwezi kuliwa ovyoo kwa sababu hatujajenga makao niwewe ujenge makao kwangu ili nikupe attention mwanaume ndio baba wa familia so kama haoni namfaa basi .
Mtu hawezi mdhamini mtu asiyemdhamini .
Sijali ukinipondea humu maana sina mpango wakuolewa na mtu humu so hilo ni wazo lako next
 
Tuliopo humu ndio tupo kitaa dada yangu humu sio sayari nyingne .
 
Sa si unakuwa wa Mihangaiko mwenzio was Mapumziko.
Kuna ubaya gani ?
Ona akili zenu wanaume Nimewanyooshea mikono juu

Ndio mana wadada wengi wameona cha mno hasa, hawataki kuanza na mwanaume chini hawataki mambo kama haya
 
Ona akili zanu wanaume Nimewanyooshea mikono juu

Ndio mana wadada wengi wameona cha mno hasa, hawataki kuanza na mwanaume chini hawataki mambo kama haya
Philipino na Hollywood zilishawavuruga kitambo siku hizi wanawake wanaamini TV kuliko akili zao.
 
Usikwepeshe mada baba Bear. Nyie wababa muwapende wadada waliohangaika na nyie kipindi mpo juu ya mawe. Mkiwa hamna hela mnakuaga vipofu ngoja sasa mzipate.
 
hivi mzee nataka kujua,

inawezekana mwanaume kua mwaminifu 100% mpaka anakufa??

we umekula chumvi, uzoefu wako ukoje, umewahi kuona hii kitu??
Kusema ukweli kabisa jambo hili huwa gumu kwa Wanaume wengi sana.

Ila ambacho kinafanyika ni kutomfanya mwenzi wako ahisi una msaliti hata kwa bahati mbaya.

Ndiyo maana wengine hufanyia mambo yao kilomita 1,000 kutoka familia yake ilipo.

=======
Mimi ni mmoja wao ambaye hadi umri huu wa Uzee nilionao sijawahi kuchepuka🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom