Naomba ushauri wa Desktop kwa ajili ya video graphics and Photo Graphix

kadunga

Member
Joined
May 4, 2020
Posts
68
Reaction score
51
Hellow GT habari ya muda huu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnifahamishe Desktop kwa ajili ya kazi ya video graphics Inapaswa kuwa na sifa gani, pia bei zake za mwisho ni tzs ngapi.

Ila kama pia kuna muuzaji kwa bei nzuri anijuze.
 
Nunua yenye uwezo huu inaweza kuwa nzuri kwako kwa hizo kazi...

a) Memory/RAM: 8-32 GB RAM

b) Processor: Multi-core Intel i5/i7/i9 models (ila i9 ni nzuri zaidi.

c) Storage: Angalau 500GB HD, 7200 RPM, preferably SSD (Speed kubwa).

Bei kwa mpya, laptop inaweza kuanzia 900kl...
Na desktop 1.3m

NOTE: Kuhusu wauzaji ngoja waje me sitahusika muonane huko huko dm😁!.
 
Pia unaweza ukaongeza graphics card(2-4 GB) kama utakua unafanya randering
 
Hellow GT habari ya muda huu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnifahamishe Desktop kwa ajili ya kazi ya video graphics Inapaswa kuwa na sifa gani, pia bei zake za mwisho ni tzs ngapi.

Ila kama pia kuna muuzaji kwa bei nzuri anijuze.kama

Hellow GT habari ya muda huu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnifahamishe Desktop kwa ajili ya kazi ya video graphics Inapaswa kuwa na sifa gani, pia bei zake za mwisho ni tzs ngapi.

Ila kama pia kuna muuzaji kwa bei nzuri anijuze.
lak 5 unapata i5 ya ram 8gb disk 500gb gen 3/4/6 kioo nch 22 mimi ndio nacheza na ayo mavitu ndugu 0714689280

na kuhusu card unaweza ongeza ila ya 1gb ni 60000 nk
 
Me nina Desktop ipo tuu ni i5 2nd, Ram 8gb slot 4, 64GB SSD na 1TB HDD (Need fix) Nvidia GT 730 2GB na Extra RGB Fan, Kioo HP Elite display inch 22....Napiga mizigo mizito yote, ukiwa content nichek nikuzawadie
 
Hellow GT habari ya muda huu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnifahamishe Desktop kwa ajili ya kazi ya video graphics Inapaswa kuwa na sifa gani, pia bei zake za mwisho ni tzs ngapi.

Ila kama pia kuna muuzaji kwa bei nzuri anijuze.
sifa ya desktop ya video graphics ni kuwa na core nyingi kadri inavyowezekana, pitia huu uzi watu walishazungumzia

Na core nyingi zinatokana na level ya generation pamoja na level ya core i series kama vile core i3,core i5,core i7 na kadhalika.Kuna factor nyingine inayo-determine number of cores mkuu?
 
Xenon Mkuu na Hedt cpu types.

Hedt ni kifupi cha high end desktop computing, hii ni niche market kwa ajili ya power users. Mfano i7 za Hedt za Gen ya 4 tayari zilikua ni core 8 na thread 16 mfano i7 5960x ambayo inachuana vizuri tu na gen ya 8 ya kawaida ya consumer.

Pia Kuna Xenon za kutosha zenye core za kutosha ambazo zinaweza patikana kirahisi. Mfano Google, ama Facebook ama kampuni yoyote Kubwa walibadili server zao hizi xenon unazipata bei za kutupa eBay.
 
Shukrani mkuu!
 
Generation ya 8 naweza kupata kwa sh ngapi?
almost sisi huwa atuangalii gen tunaangalia corei ngap tu mana zote bei ni sawa ata kuchukua ila sema za gen kubwa zinawah kuisha na pia refurbished mashine nyingi zinakuja ni gen ya 3 mpka 6 otherwise niwe nimejumulia kwa mtu alietoka dubai direct ila sio wa zenji tunakojumuliua mana dsm hakuna soko lajumla la computer kila mmja anajua kwa kuzitoa km ni dubai au laa na ndio maana mpaka sasa soko la computer bado alina watu, tofauti na redio apa kariakoo sehemu za kuchukua zinajulikana endapo tu ni unaijua kariakoo vizuri nadhani nimeeleweka mkuu
 
Back
Top Bottom