Ushauri wa bure kwa wanawake mabonge

Ushauri wa bure kwa wanawake mabonge

Real men don't discuss such aspects of sex. Not in privacy not in the public. If you have certain preferences you make your own choices, works on them and move on.
People doing this usually have the mindset of kids and are probably driven by titillation with a sense of vulgarity not to mention a low self esteem.
 
Mwanamke mwili, mwanamke nyama siyo unalala na kamtu hadi usiku unaanza kukatafuta kumbe kamepoteana kwenye blanket.
Mwanamke nyama unaoa kamtu hakaeleweki hadi nyumbani wanashindwa kujua mama wa nyumba ni nani sipendi.
Mwanamke mnene ni hazina ya dunia hata mke wa Ibrahim alikuwa pande la mama.
Bravo sana kwenu mabonge Mungu awabariki mno. Hata nyie mamiss mbarikiwe ila si kwa kiwango cha hao wanene.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bora utupe moyop mkuu dah
 
bora utupe moyop mkuu dah
Vingi vyembamba vina roho mbaya balaa hasa ukikute chembamba tena kifupi ujue mme anajuta vina roho mbaya mno. Wanawake wanaoongoza kwa roho nzuri duniani na mapenzi ya dhati ni wanene hasa warefu hutojutia kuwa naye.
Hivi vyembamba miili ya ovyo ndo utakuta vimejaa ustawi wa jamii.
Huwezi kumkuta mnene ustawi wa jamii akitishiwa kuachwa ndani ya nusu saa anaombwa msamaha na mme. Jamani wanene popote mlipo mikono juuu ya shangwe.

haahahhaha nimecheka sana lol !haya mkuu
 
967d35a78db620baa87907cfd44289e2.jpg

Mtt kama huyu huwezi kukuta hayo mambo.

Halaf masuala ya kunuka ni personal hygene
Peleka huko sitaki shida, kutumikishwa na lijidemu zigo km robota la pamba..! Kimbaombao hapana rudi nyuma..!
 
haahahhaha nimecheka sana lol !haya mkuu
Fanya utafiti usidhani utani hizi ni takwimu za dunia.
Angalia mtaani kwako sifa za wanawake wafupi wembamba na hali za ndoa zao na hivyo vyembamba then compare na mabonge.
Pia usidhani hao mbaumbau hawali wanakula wanashiba balaa hadi chupi zinahamia tako moja lakini hayanenepi kwa ajili ya roho mbaya na kuhitaji mteremko.

duh hii sasa kali !hahaa eti ta.k.o moja chupi inajaa hahahah
 
Back
Top Bottom