Ushauri wa bure kwa wanawake mabonge

Ushauri wa bure kwa wanawake mabonge

a7c2620f6acf11f4cae52a7be84d3ac9.jpg
cc18c6374b2573768fcf7e42612c7595.jpg


Kama hupendi vitu za namna hii utakuwa na tatizo
Mkuu kuna tafauti kati ya kujazia (thickness) na ubonge/minyama uzembe,hao uliowaweka hapo juu ni thick sio mitukunyema.
 
Ishu sio mazoezi,kwanza wapunguze kulakula hovyo na bila kuwa na ratiba maalumu.elimu ya lishemlo ni changamoto kwa wengi.pa wajizoeshe kula vitu vya asili,machipsichipsi,minyama myekundu,vyakula vya mafuta,pamoja na vinywaji vya kusindika(soda,bia) ni vitu vya kuepuka ama kutumia kwa kiasi kidogo sana,sio lazima kila wiki ule kiepe au masoda.Na usiku hutakiwi kushindilia menyu ukashiba.ni hayo tu
Mkuu unene sio kula hawa vimbaumbau wanashindilia hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom