Ushauri wa bure kwa wanawake mabonge

Ushauri wa bure kwa wanawake mabonge

Mwanamke mwili, mwanamke nyama siyo unalala na kamtu hadi usiku unaanza kukatafuta kumbe kamepoteana kwenye blanket.
Mwanamke nyama unaoa kamtu hakaeleweki hadi nyumbani wanashindwa kujua mama wa nyumba ni nani sipendi.
Mwanamke mnene ni hazina ya dunia hata mke wa Ibrahim alikuwa pande la mama.
Bravo sana kwenu mabonge Mungu awabariki mno. Hata nyie mamiss mbarikiwe ila si kwa kiwango cha hao wanene.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke asiwe mnene wa mwembamba. Awe middle class. Sasa mwanamke akiwa mnene risk ya kupata magonjwa ni kubwa, cholesterol,obesity na pressure. Awe ni MTU anaueweza kumudu hata mazoezi. Wazungu + Asian wanawake wengi ni wembamba
 
Back
Top Bottom