Ushauri wa bure kwa wanawake walio kwenye Ndoa

Matanga

JF-Expert Member
Nov 13, 2019
1,850
2,000
Leo nipo na wanawake, kwanini mwanamke uachike au usalitiwe, zingatia vitu hivi:

*USAFI
*EPUKA GUBU
*TENDO LA NDOWA/DEKEZA

Nikianza na Usafi hakuna asiye juwa mwanaume anataka mkewe awe msafi.

Gubu: Hii ni hatari sana wanawake wengi hapa mna bugi mdomo, Sikh zote mwanaume hapendi kubishana tumeumbwa kutawala kwahiyo ukitaka uwe juu ni mbaya, mfano Mumeo kachelewa kurudi nyumbani usimfokee ingawa unatumia, Mpokee vizuri mpe pole ya kazi mvuwe shati, mvutie chumbani mpige na busu, muulize maswali matatu: kila kitu mume wangu tayari nimeandaa utaa:
  • Utaanza kula chakula
  • Kuoga
  • Au utaanza na mimi pia nipo tayari.

Hakika hapo hakuna limbwata ni utundu.

Alafu kesi yakuchelewa unaimalizia kitandani, yaani hakika hata kama anamchepuko lazima atabadilika.

Fanyia kazi mwanaume kama mtoto anapenda kudekezwa kupetiwa petiwa, halima utaifurahia mahusiano yako.
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,221
2,000
KWA UPANDE WANGU NAMPENDA MWANAMKE MSAFI,MTUNDU KITANDANI PIA.HAYO MENGINE NITAMREKEBISHA MWENYEWE
 

adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,794
2,000
Natural behaviour of creation for male under normal circumstances always not contented.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom