Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,077
- 34,848
Unanichekesha wewe maneno yako hii nchi ina sheria zake ukitaka kuanzisha kitu itabidi mpaka upitie Serikalini uombe ruhusa ili wakuruhusu ndipo utakapo anza kazi yako pasipo na ruhusa huwezi kufanya unayoyataka utakuwa umevunja sheria ukijiamulia mwenyewe kivyako. Kama kitu hujuwi uliza sio kupenda kulaumu Mahakam ya kadhi ni ya waislam peke yake Kama ni wewe ni mkristo haikuhusu Mahakama ya Kadhi. waachie wenyewe Waislam na Mahakama yao ya Kadhi wewe tulia nyamaza waone watafanya kitu gani kwenye hiyo mahakam yao ya Kadhi. Mambo ya Ngoswe Muachie mwenyewe Ngoswe wewe hayakuhusu.tuwaache kwani nani kawashika mikono? wao ndio watuache na nchi yetu isiyo na dini. Kwani waislamu wakiwa na mahakama ya kadhi kama Uingereza inakuwaje? kwa nini wao walazimishe iwe kwenye serikali? ikikaa huko huko misikitini inakuwaje?
Unanichekesha wewe maneno yako hii nchi ina sheria zake ukitaka kuanzisha kitu itabidi mpaka upitie Serikalini uombe ruhusa ili wakuruhusu ndipo utakapo anza kazi yako pasipo na ruhusa huwezi kufanya unayoyataka utakuwa umevunja sheria ukijiamulia mwenyewe kivyako. Kama kitu hujuwi uliza sio kupenda kulaumu Mahakam ya kadhi ni ya waislam peke yake Kama ni wewe ni mkristo haikuhusu Mahakama ya Kadhi. waachie wenyewe Waislam na Mahakama yao ya Kadhi wewe tulia nyamaza waone watafanya kitu gani kwenye hiyo mahakam yao ya Kadhi. Mambo ya Ngoswe Muachie mwenyewe Ngoswe wewe hayakuhusu.

Hiv we mzimaa kweli?
Asalaam Aleykum!! Quran haiwezi kubadilishwa ingawa kuna watu wamejaribu kuichakachua na watashindwa. Quran ni hii hii dunia nzima, herufi kwa herufi, neno kwa neno, leo na kesho. Hivyo basi swala la urithi limeandikwa kwenye Quran halitabadilika kwa matakwa binafsi. Na huyo mtoto ajitambue kuwa ni wa mama kwa mujibu wa Quran na kama amepata mafunzo ya dini ya Kiislam vizuri hatajisikia vibaya. Na kama huyo anayejiita baba (kwa fikra za kibinadamu) basi naona amgawie chake mapema kama zawadi tu kabla hajafa, ila huyo hana urithi (wengi wanafanya hivyo). M/Mungu aliamua hivyo akiwa na maana yake. Nakushauri umtafute Shehe aliyekaribu nawe upate ufafanuzi mzuri au akuelimishe.Unaposema hazitatambuliwa kisheria, je ndoa mnazofungishana msikitini nazo ni batili? Mbona vyeti mnapeana huko miskitini a si ahakamani? Kuhusu watoto nje ya ndoa mnapowazaa mnataka wao warithi wapi? Au mnataka wawe wezi mitaani? Kuna mambo mengine yanahitaji busara kuyatatua na si kukaririshana kwa sharia. Je ungekuwa wewe ndo umezaliwa nje ya ndoa ungejisikiaje. Makosa wafanye wazazi wahukumiwe watoto... Tuweni na huruma inaniuma sana.
kwani ikiwa kwenye katiba hata wakristu watalazimishwa kwenda huko? mf. umezinguana na muislamu au itakuwaje?.... Hivi kuna wanawake wanaweza kwenda kwa kadhi kuamua mirathi....maana sheria zao huko mwanamke hapati kitu
hivi mnaelewa mnachokidai??? Hivi tanzania kuna waislam kweli???
Wenzenu wanatamani maisha tunayoishi tanzania na kukimbilia kwetu huku,, kuwa imani hiari yako wether you are muslim or christian,, no one bother.. Hebu basi muwe na shukrani na maisha haya tuliyonayo..
Hivi mnajua huko wenzenu wakizini ni wanauwawa,, ukiiba wanakatwa mikono..
Mi nadhani ifike kipindi mjue hii nchi ni ya dini zote haina dini moja tuuu..
Ndio nini unaandika?
Laanakum Llah!
Hata nilichoandika ujakielewa? Kwel we zombi
Sio zombi, Zombe!!!!!....Bull shit
Nikiwa kama muislamu naunga mkono mahakama ya kadhi iwepo kwa mujibu wa sheria. Lakini suala la kuiendesha kwa kodi ya jumla ndio siungi mkono, naona itapelekea kuendeshwa na pesa chafu za wauza pombe na nguruwe.
Mimi mawazo yangu ni kuunda kitengo maalumu ndani ya TRA ambacho kazi yake itakuwa kukusanya kodi ya kuendeshea mahakama ya kadhi tu. Kitengo hiki kiwe na kitu kama fomu hivi ambayo walipa kodi wakiislamu wenye TIN wata declare kwa hiyari yao kuongezewa percent ndogo kwenye kodi wanazolipa kuendeshea mahakama ya kadhi. Naamini waislamu ni walipa kodi wazuri na wanaipenda dini yao, hawawezi kupinga utaratibu kama huu.
tuwaache kwani nani kawashika mikono? wao ndio watuache na nchi yetu isiyo na dini. Kwani waislamu wakiwa na mahakama ya kadhi kama Uingereza inakuwaje? kwa nini wao walazimishe iwe kwenye serikali? ikikaa huko huko misikitini inakuwaje?
Unanichekesha wewe maneno yako hii nchi ina sheria zake ukitaka kuanzisha kitu itabidi mpaka upitie Serikalini uombe ruhusa ili wakuruhusu ndipo utakapo anza kazi yako pasipo na ruhusa huwezi kufanya unayoyataka utakuwa umevunja sheria ukijiamulia mwenyewe kivyako. Kama kitu hujuwi uliza sio kupenda kulaumu Mahakam ya kadhi ni ya waislam peke yake Kama ni wewe ni mkristo haikuhusu Mahakama ya Kadhi. waachie wenyewe Waislam na Mahakama yao ya Kadhi wewe tulia nyamaza waone watafanya kitu gani kwenye hiyo mahakam yao ya Kadhi. Mambo ya Ngoswe Muachie mwenyewe Ngoswe wewe hayakuhusu.
Kwa hiyo unaukumbatia na kuufurahia uzinifu na wizi?
Hata kama Serikali haitoweza kugharamia hiyo Mahakama ya kadhi wafadhili wapo na wataweza kutoa misaada ya Mahakama ya kazi.waislamu wanataka wagharamiwe na hilo haliwezekani hio serikali mnayotaka iwaanzishie, imeshawaruhusu muanzishe wenyewe.