Ushauri wa bure kwa Waislam

Status
Not open for further replies.

duh sijaelewa kumbe muislam ndo alifanya tupate mahindi na simu za kuchati kumbe kaleta yeye uslam oyee
 
Kuna kitu kimoja wengi wetu hatukijui kwamba mkristo hawezi kumshauri kitu muislam na muislam akakubali na muislam vile vile hawezi kumshauri kitu mkristo na mkristo akakubali lambda hilo lifanyike nje ya dini na bila kutumia jina la dini yeyote

Mimi ninavyodhana mambo ya din tunafanya kama ubishan wa simba na yanga. Mf hili la waislam haliwahusu kabisa wakristo lakin wanalishadadia hata ukiwaeleza pia wanajifanya hawaelew lakin ukiliangalia kwa makin vyombo vya habar vinapotosha ikisaidiana na bakwata kiufup sisi wabaya wetu si wakristo ni serikali ila kwa sababu wakristo wanajiingiza ndio hivyo, nawahakikishien waislam hswashindwi kuiendesha mahakama ya kadh ila kwa shart isiwe chin ya bakwata na wanaotaka serikali isimamie hizo mahakama ni bakwata coz tuisuasa hiyo taasisi ya serikali ,nadhan nimeelewaka
 
Sina hakika kama ninatumia muda wangu vizuri kukujibu kwa sababu nina wasiwasi na halmashauri yako kama ina akidi sahihi.

Ng'ombe gani kwanza unaosema? Hivi kumbe ni kweli shetani anapofusha. Ni sehemu gani iliyokaliwa na uislam yenye maendeleo? Ujiji, Kigoma, Tabora, pangani, rufjiji, wapi? Kwa nini kama uislam ni maendeleo kila walikokaa waarabu na uislam ukakolea ndiyo maeneo yanayoongoza kwa ufukara?

Sehemu zote walizokaa Wa Missionary wa Kikristo ndizo zenye maendeleo na ustaarabu.

Uliwapokea wapi babu zangu wewe?

Lakini si ajabu sababu dunia yote inawafahamu kwa uwongo na ubishi. Na hii gana yote inaungana na machukizo makuu mnayoyafanya duniani bila haya kwa jina la dini kwa kuwa dini yenu haina dhambi. Kuua, kuongopa, kusingizia, kutukana, kubaka, kuiba, vyote kwenu ni halali. Sishangai hat hapa ukisema eti uislam ulileta mendeleo. Mwehu kweli kweli.


 

Unaowasemea kwa kuwaita wao ni akina nani? Wa TZ au hapana?

Naomba nikwambie wazi kwamba mawazo kama haya yakidekezwa tutakuwa tunarudi walikoanzia watu wa Ulaya. Mambo ya kuchanganya serikali na kanisa. Sasa hapa tunataka kuchanganya serikali na uislamu na kanisa. Hii itakuwa siyo nchi.

Kuna mambo mengi ambayo yanastahili kukataliwa kabisa! sitapenda kuabiwa kwamba ktk sheria za uislamu eti ni mambo ya ndoa tu ndo nataka yaamuliwe kwa kutumia mahakama nyengine! kumbuka nchi hii msajili wa ndoa na vifo ni mmoja tu. Serikali gani yenye upuu kiasi hicho cha kuruhusu mchanganiko wa sheria kiasi hicho. Baadaye ukisikia katoliki wakikataa mitaala ya biolojia ya evolution, utasemaje? Sipendi kufurahisha kundi lolote, kwa ujumla madai ya mahakama ya kadhi ni upuuzi usiostahili hata jadiliwa hapa. Ukiona mtu anahangaika na hili, muulize elimu yake ikoje.

Wote hawa wanaoshabikia wanastahili tuwaburuze tu ili tufike tutakako maana hawataelewa na hatuna faida na mawazo yao. Anayetaka mbingu, hiyo ni kazi yake, siyo serikali!
 
Huo ndo upuuzi wa karne ya zamani kutaka utumike hadi leo. Huyo mtoto wa nje ya ndoa yukoje ktk dunia hii ya sasa? Yaani kwa upuuzi wa huyo anayeitwa marehemu,mndi iwe sababu ya yeye kukosa haki ya babanyake?

Utakuwa mtoto wa mchepuko mbona povu linakutoka yakhe?
 
Utakuwa mtoto wa mchepuko mbona povu linakutoka yakhe?

Kuwa na adabu we mtoto wa zinaa!

Unapewa maneno ya hekma we unaleta Nyodo.

We siku ukija mjua babako labda utakuwa na nidhamu.

Sasa huyo mdau kipi alichoandika kilichokusababisha uandike huo uharo hapo juu.!
Mfnssssssssssss. Nyambafff.
 
Kuwa na adabu we mtoto wa zinaa!

Unapewa maneno ya hekma we unaleta Nyodo.

We siku ukija mjua babako labda utakuwa na nidhamu.

Sasa huyo mdau kipi alichoandika kilichokusababisha uandike huo uharo hapo juu.!
Mfnssssssssssss. Nyambafff.

View attachment 183287

Allah wakibaruuuuu
 
Sisi waislamu tumesha wekewa taratibu za kugawa mali ktk urithi sasa sijui hiyo mahakama unayosema inautaratibu mzuri wa kugawa mali, inatumia utaratibu gani. Kwani hata hiyo mirathi sisi kwetu ni ibada.
 

Mwongo kabisaaaa;maka je? Wewe acha kutuongopea sisi wakristu, sisi sio vilaza km ninyi tunaaakili, mlikoamkia sisi tumeamka siku nyingi mnooo.
 

Okkk, hatutaki kuisikia mahakama ya kadhi hpa tanzania au bungeni, iwe yenu ianzisheni ninyi mnataka kutuletea boko haramu hapa tz. Ishieni huko huko
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…