Ushauri wa bure kwa Waislam

Ushauri wa bure kwa Waislam

Status
Not open for further replies.
Nikiwa kama muislamu naunga mkono mahakama ya kadhi iwepo kwa mujibu wa sheria. Lakini suala la kuiendesha kwa kodi ya jumla ndio siungi mkono, naona itapelekea kuendeshwa na pesa chafu za wauza pombe na nguruwe.
Mimi mawazo yangu ni kuunda kitengo maalumu ndani ya TRA ambacho kazi yake itakuwa kukusanya kodi ya kuendeshea mahakama ya kadhi tu. Kitengo hiki kiwe na kitu kama fomu hivi ambayo walipa kodi wakiislamu wenye TIN wata declare kwa hiyari yao kuongezewa percent ndogo kwenye kodi wanazolipa kuendeshea mahakama ya kadhi. Naamini waislamu ni walipa kodi wazuri na wanaipenda dini yao, hawawezi kupinga utaratibu kama huu.

Siyo Pesa chafu tu za wauza nguruwe na wauza pombe pia ukitaka serikali igharamie kuna pesa za riba, pesa za waliozaliwa nje ya ndoa,wala nguruwe, wanywa pombe, wavuta sigara, wanaonunua vimini, viskin tight, rasta,wig. bado kodi kutoka kwa wale wa jamatin, singasinga na budha na wahindu. Itabidi mtafute watu wa kwenda kuchambua kodi huko TRA zinakotoka.
 
Ukiupenda chukua usipoupemda sepa.

Nawashauri waislam kwakuwa mahakama ya kadhi ni ibada waunde jumuiya ndogondogo za waislam ambazo watafanya ibada zao huko na watashitakiana ndoa zao huko na watapeana talaka huko. Ndoa zitasuluhishwa na Waislam wenyewe. Hii itakuwa rahisi kwakuwa waislam wote ktk jumuiya zao watakuwa wanafahamiana. Hii waendeshe kama idara fulani ndani ya jamii zao na hili ni jambo dogo sana ambalo halina sababu za msingi kuliweka kwenye katiba. Ni kama vile wakrisito walivyounda jumuiya zao wala hawakuomba ziandikwe kwenye katiba kwasababu walijua ni ibada yao sio jambo lakitaifa na hivyo halihitaji kuandikwa kwenye katiba.

Kuhusu mirathi tunazo mahakama za serikali iliyochaguliwa na wananchi wote ambazo zinafanya vizuri na zina utaratibu mzuri wakusimamia mirathi hivyo mirathi ya waislam itashughulikiwa huko. Sioni hoja wala sababu ya msingi waislam kutaka mahakama yao special kwa ajili ya mirathi wakati tayari kuna mahakama inasimamia mirathi hivyo hakuna ulazima wakuandika kwenye katiba.

Karibuni tujadili kwa hoja, matusi njoo PM tutukanane mpaka nikukomeshe.
Mkuu labda hujaelewa inabidi wewe ndio ufahamishwe. khakuna kitu Jumuiya zao ila sheria na waislaam wanafanya hivyo isipokuwa hukumu zao hazitambuliwi na serikali ya Jamhuri kutokana na kwamba mshtaki anaweza kwenda serikali na akaweka madai yake kinyume cha sheria za dini na zikapokelewa.

Hivyo wao wanasema, ili wao wafanye ibada zao kwa ufanisi wanataka serikali itambue haki hiyo na wasiingilie kabisa jambo ambalo haliwezekani kwa sababu serikali inawatambua Bakwata chama walichokianzisha wao wenyewe kusimamia mambo ya Waislaam. Na hiyo Bakwata imejaa mafisadi ambao kwao fedha kwanza hivyo hakuna ibada inayofanyika. Kwa nini serikali inakataa kuwaacha huru ama kutambua ibada zao? Licha ya hivyo hujiulizi mwenyewe kwa nini wewe usokuwa Muislaam unaingilia swala lao, ombi lao ambalo halikupunguzii usingizi hata kidogo. Je wao wakishauri ibada za kikristu utawaelewa!.
 
Asante sana Mkandara. Sasa Jukwaa limepata watu wenye akili huru katika kufikiria. Sasa ndugu yangu ulikuwa wapi siku zote hizi. Kama ungetokea mapema tusingetumia nguzu zote hizi. Hakika Mkandara, ulichosema ndio hasa madai yetu. Na tuna omba Marafiki zetu na Maadui zetu watuelewe hivyo.

Kamwe hata siku moja, Waislamu na Uislamu hauna uadui na Wakristo au wasikua na dini. Waislamu siku zote Mpaka Mwisho wa Dunia, watakua wanapambana na wale wanao wazuia kutekeleza matakwa ya dini yao na kufanya ibada zao.

Asante sana Mkandara Mimi MZIMU waKiwangwa, nimekuelewa sana. Na naomba Mejor General kahtaan, Field Mashal peri, Comandoo Ritz na Wanaharakati wengine wote tumpe heshima yake Huyu Bwana Mkandara. Bwana Mkandara, hizi sentensi chache ulizo ziandika hapa, tunaomba uzirudie rudie katika Bunge La Katiba kila upatapo nafasi.
 
HaHaaa HAKI imembainikia kaamua kukaa kimya.

Shukran sana mkuu kwa somo zuri, mwanafunzi kakuelewa inabidi Akawaite waalim wake nao waje tuwape darasa

umpe darasa nani wewe mtoto? tafkhiz imekuharibu, yaani lile tendo takatifu la mtume kusugua uume kwenye paja za mtoto mpaka mbegu zinatoka!

we mumeo alianza wakati una mwaka mmoja, angalia paja zako
 
Tatizo wamezoea vya kupewa, yaani wao wanataka kila kitu kisimammiwe na serikali, ifike hatua na imani nyingine zianze kudai ili wajue ni namna gani serikali inawapendelea, mfano serikali iliwapa chuo kikuu wakristo waka kaa kimya, hivi leo hii wanataka mahakama ya kwao iendeshwe na kodi za riba,jamani hapa imani iko wapi mbona wanasahau hata miiko ya imani yao,pili kama wanataka mahakama ya kadhi waanzishe na wajikite kuwafnya waimini wao wakubaliane na maamuzi ya mahakama hiyo, coz waislamu webyewe ndio wa kwanza kuipinga mahakama hiyo, mbona wakatoliki wana mahakama zao na hazipo kwenye katiba na waumini wake wanakubaliana na maamuzi.
 
Hapo kwenye red, umechemka
dogo!
Ndiyo maana watu wanapiga Mahakama ya Kadhi kuingizwa ktk Katiba. Ikiwa
mmeshindwa kuchanga hata sadaka kwa ajili ya mambo yenu ya maendeleo
hili la Mahakama ya Kadhi mtaweza?

Kweli mazee! Huoni wanafuturishwa na NSSF, TCC, DIAMOND, TBL?
 
Jamani mimi dada Nyakageni nampenda yethu thana.
Hata thiku moja mi thitukani.

Mtoto wa zinaa huwa hachelewi kula matapishi yakw mwenyewe.

Haya ndio matatizo ya kucheza na mbwa!
Kuanzia sasa mimi ntaongea na mwenye mbwa tu!

hahaaaa hao Ndio walokole wenye upako wa damu ya mwanakondooo .... hawatukani wala hawagombani, wanasema Mungu wao ni wa upendo na amani....
 
Last edited by a moderator:
IN THE MATTER OF THE KADHIS’ COURT, OTHER COURTS
AND

IN THE MATTER OF CONSTITUTIONAL REVIEW
AND

IN THE MATTER OF ENFORCEMENT OF FUNDAMENTAL RIGHTS
AND FREEDOMS OF THE INDIVIDUAL UNDER SECTIONS OF THE CONSTITUTION OF TANZANIA

The Grounds of the Summons and Supporting Affidavits:

A. Tanzania is a multi-religious and multi-cultural state and the Constitution defends this position;
B. The separation of the state and religion must be respected and promoted but allowing Kadhi Courts in Tanzania's Constitution will contradicts this cardinal principle;
C. There is no valid basis whatsoever for the inclusion of the Kadhis' Courts in the Constitution;
D. The entire process of the Constitutional Review has been skewed, biased against Christians and other Tanzanians and bereft of any iota of Constitutionalism;

1. Who appoints Chief Kadhi and Kadhis?
2. What are the qualification for appointment to the office of a Kadhi (including a Chief Kadhi)?
3. Since the Kadhis are not trained lawyers who understand the Evidence Act and the Civil Procedure Act, how and/or what will they use to administer their Courts?
4. Muslims are mainly of two sects in Tanzania - the Sunni and Shia. Majority of the Muslims in Tanzania are Sunni Muslims but there is a significant population of Shia Muslims too and consideration ought to be given to the appointment of Kadhis of the Shia Sect to cater the interest of the Shia Muslims. Will they have two different Courts? For Sunni and Shia?
5. How will Muslim Women be protected since: Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution.

Islamic "Kadhi" courtsis illegal and discriminatory. The Kadhi court system will elevates Islam over the country's other religions, and should be deemed unconstitutional because it does not coincide with Tanzania's secular mandate and should not be included in the nation's new constitution.

MY CONCERNS
(a) There is no valid basis whatsoever for the inclusion of the Kadhis' Courts in the Constitution;
(b) If Muslims alone get preferential treatment for setting religious Courts, then other communities and faiths would come forward to have separate courts
(c) Provision such as Kadhis' Courts is normally covered under the general law. It should not be part of the main body of the Constitution,
(d) Due to different school of interpretation of the Holy Koran and Hadith which figh will the Kadhis' Courts follow? Will there be Kadhis' Court as per separate jurisdiction of Shias and Sunis? What would be the views of Ismaili or Bohra Communities on the issue?
(e) Even in Pakistan, no universal Islamic courts could be established due to confusion and conflicts between the figh Jaferia of Shias and the figh of Sunis
(f) Several sects of Muslims community do not follow Kadhis' Courts but have their own jurisprudence.
(g) The awards of the Kadhis' Courts are based on the sole discretion of the Kadhi. What view do the Muslim Women have on this system? Do the majority of the Muslim Women concerned get a fair trial in Kadhis' Courts? Are they convinced that their welfare and fundamental rights are protected at the hearings?

MY RECOMMENDATIONS
(1) All people should be given options to go to independent or higher courts. The High Court and Court of Appeal should be above religious courts, if such courts are part of the Constitutional provision either directly or indirectly;
(2) There should be an open door policy to change the laws which cannot be challenged,
(3) Courts should be authorized to employ scholars who would enlighten judges on the interpretation of religious doctrines;
(4) The draft recommends setting up Village Councils to deal with minor problems in rural areas, which can take care of local religious sentiments to protect national unity and religious harmony. Expand the role of Village Councils to deal with social disputes;

Respectfully submitted,

August 24, 2014

CC: Eiyer FaizaFoxy Lisa Valentine Mkuu wa chuo Gavana Buchanan MziziMkavu

Muslims are not contributing in this, any reasons?
 
Ukiupenda chukua usipoupemda sepa.

Nawashauri waislam kwakuwa mahakama ya kadhi ni ibada waunde jumuiya ndogondogo za waislam ambazo watafanya ibada zao huko na watashitakiana ndoa zao huko na watapeana talaka huko. Ndoa zitasuluhishwa na Waislam wenyewe. Hii itakuwa rahisi kwakuwa waislam wote ktk jumuiya zao watakuwa wanafahamiana. Hii waendeshe kama idara fulani ndani ya jamii zao na hili ni jambo dogo sana ambalo halina sababu za msingi kuliweka kwenye katiba. Ni kama vile wakrisito walivyounda jumuiya zao wala hawakuomba ziandikwe kwenye katiba kwasababu walijua ni ibada yao sio jambo lakitaifa na hivyo halihitaji kuandikwa kwenye katiba.

Kuhusu mirathi tunazo mahakama za serikali iliyochaguliwa na wananchi wote ambazo zinafanya vizuri na zina utaratibu mzuri wakusimamia mirathi hivyo mirathi ya waislam itashughulikiwa huko. Sioni hoja wala sababu ya msingi waislam kutaka mahakama yao special kwa ajili ya mirathi wakati tayari kuna mahakama inasimamia mirathi hivyo hakuna ulazima wakuandika kwenye katiba.

Karibuni tujadili kwa hoja, matusi njoo PM tutukanane mpaka nikukomeshe.

Pagan.jpg
 
uko 100% sahihi kasoro hapo kwenye bold umetia doa kidogo.

u dont need to, unamshauri mtu akikataa akaleta matusi huyo ni mpumbavu unaachana naye....ni vigumu lakini ndiyo maturity inavyotaka.
 
Mkuu labda hujaelewa inabidi wewe ndio ufahamishwe. khakuna kitu Jumuiya zao ila sheria na waislaam wanafanya hivyo isipokuwa hukumu zao hazitambuliwi na serikali ya Jamhuri kutokana na kwamba mshtaki anaweza kwenda serikali na akaweka madai yake kinyume cha sheria za dini na zikapokelewa.

Hivyo wao wanasema, ili wao wafanye ibada zao kwa ufanisi wanataka serikali itambue haki hiyo na wasiingilie kabisa jambo ambalo haliwezekani kwa sababu serikali inawatambua Bakwata chama walichokianzisha wao wenyewe kusimamia mambo ya Waislaam. Na hiyo Bakwata imejaa mafisadi ambao kwao fedha kwanza hivyo hakuna ibada inayofanyika. Kwa nini serikali inakataa kuwaacha huru ama kutambua ibada zao? Licha ya hivyo hujiulizi mwenyewe kwa nini wewe usokuwa Muislaam unaingilia swala lao, ombi lao ambalo halikupunguzii usingizi hata kidogo. Je wao wakishauri ibada za kikristu utawaelewa!.

Mkandara, inaelekea hata mnachokiomba/kipigania hamkifahamu kwasababu mnaji contradict.

Kama BAKWATA hamuikubali kwasababu ILIANZISHWA na serikali, kwanini basi mnataka tena serikali hiyo hiyo iwaanzishie mahakama ya kadhi?!

Kumbuka serikali haiwezi kutoa pesa zake kuendesha mahakama ya kadhi, halafu isiwe na say yoyote kuhusu uendeshaji wa mahakama hizo.

Majuzi serikali imekataa uteuzi wa mkurungezi wa Bugando aliyekuwa ameteuliwa na TEC, kwasababu serikali ina share na Bugando hospital. Ninvyowafahamu nyinyi Waislamu kama Serikali ikakitaa uteuzi wa Kadhi mkuu kwasababu yeyote ile kama ilivyofanya Bugando mtapiga mayowe hadi Palestine to Vatican!
 
Kidumee Sheikh Farid akisalisha . Nyuma walo maamuma Karume na Shein Leo watanganyika wamemlawiti.... uhaini mkubwa na shari kubwa kwa uislam
 
Attachments

  • 1409083672995.jpg
    1409083672995.jpg
    57.4 KB · Views: 105
waislamu wenyewe mnaowatafutia mahakama ni kina diamond!! kazi mnayo aisee
 
Mkandara, inaelekea hata mnachokiomba/kipigania hamkifahamu kwasababu mnaji contradict.

Kama BAKWATA hamuikubali kwasababu ILIANZISHWA na serikali, kwanini basi mnataka tena serikali hiyo hiyo iwaanzishie mahakama ya kadhi?!

Kumbuka serikali haiwezi kutoa pesa zake kuendesha mahakama ya kadhi, halafu isiwe na say yoyote kuhusu uendeshaji wa mahakama hizo.

Majuzi serikali imekataa uteuzi wa mkurungezi wa Bugando aliyekuwa ameteuliwa na TEC, kwasababu serikali ina share na Bugando hospital. Ninvyowafahamu nyinyi Waislamu kama Serikali ikakitaa uteuzi wa Kadhi mkuu kwasababu yeyote ile kama ilivyofanya Bugando mtapiga mayowe hadi Palestine to Vatican!

Bobuk, sio serekali ituanzishie Mahakama ya Kadhi. Mahakama za Kadhi zitambuliwe kwa Mujibu wa Katiba ili ziwe na nguvu kisheria maamuzi yake yasiingiliwe wala kubatilishwa na Mahakama nyingine nje ya utaratibu wa kimahakama.

CC. Wakristo wote
 
Nikiwa kama muislamu naunga mkono mahakama ya kadhi iwepo kwa mujibu wa sheria. Lakini suala la kuiendesha kwa kodi ya jumla ndio siungi mkono, naona itapelekea kuendeshwa na pesa chafu za wauza pombe na nguruwe.
Mimi mawazo yangu ni kuunda kitengo maalumu ndani ya TRA ambacho kazi yake itakuwa kukusanya kodi ya kuendeshea mahakama ya kadhi tu. Kitengo hiki kiwe na kitu kama fomu hivi ambayo walipa kodi wakiislamu wenye TIN wata declare kwa hiyari yao kuongezewa percent ndogo kwenye kodi wanazolipa kuendeshea mahakama ya kadhi. Naamini waislamu ni walipa kodi wazuri na wanaipenda dini yao, hawawezi kupinga utaratibu kama huu.

Bado hoja za msingi za uanzishwaji na uendeshaji hazijabainishwa vizuri au ndo mwanzo wa kuleta habari za dola la kiislamu hapa nchini? Hii ni nchi yenye mchanganyiko wa madhehebu haiitaji kuingiza ishara zozote za udini .Nikupe mfano ebu fikiria kama dini nyingine nao wakidai mahakama zao na ziendeshwe na serikali itakuwaje na je kama wanandoa ni wa dini mbili tofauti mashitaka yao tatahukumiwa vipi? Cha msingi tutumie akili na tuwe watu wa kusoma alama za nyakati pia tuendane na mabadiliko katika jamii.ni muda wa kuachana na ukale
 
Bobuk, sio serekali ituanzishie Mahakama ya Kadhi. Mahakama za Kadhi zitambuliwe kwa Mujibu wa Katiba ili ziwe na nguvu kisheria maamuzi yake yasiingiliwe wala kubatilishwa na Mahakama nyingine nje ya utaratibu wa kimahakama.

CC. Wakristo wote

Ndo mnataka mtaka mlete hukumu zenu za kukatana VIBAIOLOGIA vya KiUmE kisa kufumaniwa?
 
Sasa kwani utakua unahukumiwa wewe?. Sisi tunao hukumiwa ndio tunaotaka Mahakama ya Kadhi. Nyie mnapambana hamataki. Kwani unafikiri sisi hatuna akili. Jiulize basi, kwanini uingereza Wakiristo wanapeleka shida zao katika Mahakama za kadhi kupatiwa ufumbuzi??.

Hivi kwanini hamzinduki?
 
sisi waislamu tuna matatizo sana,badala ya kudai mambo ya msingi sie tunadai mahakama ya kadhi sijui itatusaidia nini ndio wenzetu wanatuacha kila siku.
 
Kinachotafutwa hapo ni pesa na ajira kwa waislamu na wala si chochote,maana mahakama hiyo mpaka mhudumu watakuwepo walewale,waswahili bwana hujuana kwa vilemba

Back
Top Bottom