Ushauri wa bure kwa Waislam

Ushauri wa bure kwa Waislam

Status
Not open for further replies.
mbona wakenya wameitambua, acha ukibwengu wewe!

Kwa hiyo kwa kuwa:

1. Wakenya walipigana na sisi tupigane
2. Wakenya wanaume wakiamua kuvaa sketi na sisi tuvae sketi
3. Wakenya wakiamua kuukubali ushoga na sisi tuukubali ushoga...

Hebu tuwe na mawazo yetu wenyewe, tuache kuiga iga tu bila kuangalia wana mifumo na taratibu gani huko kwao....

Mahakama ya Kadhi ibaki kwenye taratibu za dini na si kwenye mfumo wa serikali.. Nchi hii haina dini na kwa mantiki hiyo hiyo haiwezi kutambua mahakama za kidini.... Imagine kila dini ije na takwa lake kwenye katiba, wakristo na baraza la maaskofu, mabudha na baraza au mahakama zao n.k. Hii nchi itakalika kweli.. Yaani badala ya kuangalia maswala ya kimaendeleo watu mnakalia mambo ya kidini dini tu... Dini ni imani binafsi na nchi hii imejengwa kwenye misingi hiyo, tusiiharibu.....
 
kahtaan

Bila kuanza kutukana watu, hebu nisaidie yafuatayo:

1. Wakati wa kutaifisha shule za dini, ni shule ngapi za waislamu zilitaifishwa..?
2. Wakati wa kutaifisha hospitali za dini, ni hospital ngapi za waislamu zilitaifishwa..?
3. Je, sera ya utaifishwaji wa shule za dini na hospitali za dini zilikuwa na lengo gani..?
4. Je ni miradi mingapi ya maendeleo imeletwa na dini kama dini ya waislamu..?
5. Je, pamoja na shule hizo kutaifishwa, ni shule ngapi za kila dini zilianzishwa na performance yake ilikuwaje..?

Kubwa kuliko yote... Una uhakika gani kuwa hii agenda ya mahakama ya kadhi haijaletwa tena ili kupoteza focus ya malalamiko ya wananchi juu ya mchakato wa katiba mpya kama ilivyofanyika kwenye uchaguzi..? Are we sure kwamba hatuwi used na wanasiasa kuendelea kubishana na kusahau agenda kuu ya katiba mpya..??
 
Last edited by a moderator:
Sisi tukienda haja kubwa tunanawa ila nyinyi mnajifuta na makaratas mkiulizwa mnasema maji yanaleta fangas na harufu mbaya teh teh teh kwel nyinyi majuha hiv maj na kinyes nini kinatoa harufu

Miss ngatara,
sababu ya Kutumia karatasi badala ya maji sio swala la ukristo kwasababu nauakika hata kwenye bibilia unaweza kulikuta. Kutumia karatasi ni swala la kisayansi zaid maana watu wa fya wanasema nihatari sana kusika kinyesi ukitawaza hata kama nichako mwenyewe.
 
kahtaan

kahtaan,
ujajibu hapo chini maswali ya Kishazi hapo chini

1. Wakati wa kutaifisha shule za dini, ni shule ngapi za waislamu zilitaifishwa..?
2. Wakati wa kutaifisha hospitali za dini, ni hospital ngapi za waislamu zilitaifishwa..?
3. Je, sera ya utaifishwaji wa shule za dini na hospitali za dini zilikuwa na lengo gani..?
4. Je ni miradi mingapi ya maendeleo imeletwa na dini kama dini ya waislamu..?
5. Je, pamoja na shule hizo kutaifishwa, ni shule ngapi za kila dini zilianzishwa na performance yake ilikuwaje..?
 
Last edited by a moderator:
Miss ngatara,
sababu ya Kutumia karatasi badala ya maji sio swala la ukristo kwasababu nauakika hata kwenye bibilia unaweza kulikuta. Kutumia karatasi ni swala la kisayansi zaid maana watu wa fya wanasema nihatari sana kusika kinyesi ukitawaza hata kama nichako mwenyewe.

So wewe inakuingia alikin hiyo, hiv ingekuwa kwel wale wamam wanaolea kila mwaka maana watoto wanakunya kwa siku Mara tatu na wanawanaisha na wengine wanajinyea nguo zinafuliwa .hiv hawa wa mama si wangekuwa na hayo maradh? Teh teh teh kwi kwi kwi tafakar chukua hatua
 
kahtaan

Haya matusi yako hatuwezi kuvumilia anayetenda dhambi dhidi ya amri ya pili ya Mungu ni yule anayemtukana Mungu kwa mambo dini sasa wewe endelea unaona kama sifa. ..
 
Last edited by a moderator:
hizo jumuiya kama zitakuwa hazitambuliwi kisheria zitakuwa hazina maana.huwezi kuunda jumuiya inayo towa taraka kwa waislam pindi wakiachana kisha ukienda mahakamani unaambiwa taraka hiyo batili.

mahakama ya kadhi haiwahusu nyinyi wakristo,tunahusika sisi waislam.

Sheria ya mirathi kwa waislamu mtoto wa asie zaliwa ndani ya ndoa haruhusiwi kurisi mali ya marehem.je mahakama za serikali inalitambuwa hilo?

Wakristo kwanini mnapinga mahakama ya kadhi wakati haiwahusu?tukisema mna husda nyinyi wakristo mtabisha?

Uko sawa kabisa kuwa Mahakama ya Kadhi haiwahusu wakristo, lakini kumbuka nchi yetu inamchanganyiko wa madhebu mbalimbali na wasiokuwa na dini. Nauliza maswali haya ukinijibu vyema bila kumuumiza mtu, nita amini unachokisema:-

1: Je, Kadhi Mkuu na Makadhi wa kuendesha mahakama hizo watapatikanaje, nani atawateua/atawachagua?
2: Je, gharama za uendeshaji zitagharamiwa na nani?
3: Pesa za kodi za Wananchi yaani waislamu, wakristo na wasio na dini zitatumika kuendesha mahakama hizo?
4: Kwa vile kuna ndoa za watu wa imani tofauti, je mwanandoa asiye mwislamu naye atahukumiwa katika mahakama hizo iwapo kutatokea mtafaruku katika ndoa yao?
5: Je, kwa mwislamu mwenye shauri katika mirathi au ndoa, ni LAZIMA apeleke shauri hilo kwa mahakama ya kadhi au atapewa rukhsa achague sehemu ya kulipeleka?
6: Mnasema Mahakama ya Kadhi itashughulikia Mirathi na Ndoa, je makosa ya kijinai yanayohusu "jamii na rasilimali za waislamu" hayatapelekwa kwenye mahakama hizi?
7: Je, mtu (mwislamu au asiye mwislamu) akiudhalilisha uislamu kwa namna yeyote ile, hatatangaziwa fatwa (hukumu) na mhakama hizi za kadhi?
8: je, huu sio mwanzo tu wa kuendelea kuingiza mambo ya kiislamu kwenye taifa la kisekula? Mfano; mlianza na uvaaji wa hijabu mashuleni na maofisini mkakubaliwa, mnaingiza mahakama ya kadhi..., mtaendelea Ijumaa nayo iwe siku ya mapumziko..., nafasi za serikalini ziwe nusu kwa nusu bila kujali sifa za nafasi husika..., Mwezi wa ramadhani watu wote wafunge... nk!

Ni nayo mengi ila kwa kuanzia ni hayo tu!
 
Hawezi kujibu maswali haya, sana sana atakwambia umetumwa na wamarekani.
 
Teh teh teh teh!

Mkuu leo inatuambia kutembea na mavi matakoni ni SAYANSI!?

Dah! Hebu nionyeshe japo article moja la kisayansi Linalosema Kutwazia MAKARATI ni Bora Kuliko MAJI!

UKRISTO umeletwa na Wazungu! Na kila wakifanyacho wazungu basi WAKRISTO WOOTE wanaiga tu km Bendera kufuata Upepo.

We huoni WACHUNGAJI wanavaa SUTI na Tai wakati joto liko 38°centigrade? Halafu umkute hapo katawazia makaratasi! Unaweza kutapika kwa harufu.

Fungueni macho Watz. Wazungu ni Wachafu mno.
Tawazieni Maji kM WAISLAMU.

Muulize yeye mwenyewe angekuwa anafutia makaratas tangu utoton leo angekuwaje
 
MUSLIMS ARE NOT HAPPY!!!!
They're not happy in Gaza.
They're not happy in Egypt.
They're not happy in Libya.
They're noyt happy in Morocco.
They're not happy in Iran.
They're not happy in Iraq.
They're not happy in Yemen.
They're not happy in Afghanistan.
They're not happy in Pakistan.
They're not happy in Syria.
They're not happy iny Lebanon.
They're not happy in Indonesia.
So, where are they happy?
They're happy in Australia.
They're happy in England.
They're happy in France.
They're happy in Italy.
They're happy in Germany.
They're happy in Sweden.
They're happy in the USA.
They're happy in Norway.
They're happy in almost every country
that is not Islamic!
And who do they blame [for their
unhappiness]?
Not Islam...not their leadership...not
themselves...- They blame the
countries in which they are HAPPY!-
And they want to change the countries
in which they're happy, to be like the
countries they came from, where they
were unhappy.
Try to find logic in that.
 
Teh teh teh! Labda rangi ya makalio yake ingekuwa HUZURUNGI!

Ha ha ha ha ahsanta Maalim wangu naona mpaka kuna KAFIRI kurusha kitaulo anasema hawezi kuvumilia Matusi

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
MUSLIMS ARE NOT HAPPY!!!!
They're not happy in Gaza.
They're not happy in Egypt.
They're not happy in Libya.
They're noyt happy in Morocco.
They're not happy in Iran.
They're not happy in Iraq.
They're not happy in Yemen.
They're not happy in Afghanistan.
They're not happy in Pakistan.
They're not happy in Syria.
They're not happy iny Lebanon.
They're not happy in Indonesia.
So, where are they happy?
They're happy in Australia.
They're happy in England.
They're happy in France.
They're happy in Italy.
They're happy in Germany.
They're happy in Sweden.
They're happy in the USA.
They're happy in Norway.
They're happy in almost every country
that is not Islamic!
And who do they blame [for their
unhappiness]?
Not Islam...not their leadership...not
themselves...- They blame the
countries in which they are HAPPY!-
And they want to change the countries
in which they're happy, to be like the
countries they came from, where they
were unhappy.
Try to find logic in that.

Hiz huzun zinaletwa na nani kama sio nyie makafir au mnafikir hatujui ?mkiona nchi ya kiislam ina mafuta na kiongoz ana msimamo na din yake mtatafuta chokochoko mpaka wagombane na wakigombana tu mnaingia kwenda kuwapiga tena mtaungana makafir ili mumtoe huyo kidume tena mtamuita katili, mnyanyasaj,gaid na majina kibao lakin mwisho mkishaishika nchi nyinyi mnaojiita wapenda aman ndio ukatili unaanza mnaiba mafuta, mnabaka wakinamama nk ila hayo hamyaon na kama mnabisha nitajie nchi ya kislaam iliyookolewa na nyinyi na Leo iko vizur mpaka inawashukur
 
kahtaan

Bila kuanza kutukana watu, hebu nisaidie yafuatayo:

1. Wakati wa kutaifisha shule za dini, ni shule ngapi za waislamu zilitaifishwa..?
2. Wakati wa kutaifisha hospitali za dini, ni hospital ngapi za waislamu zilitaifishwa..?
3. Je, sera ya utaifishwaji wa shule za dini na hospitali za dini zilikuwa na lengo gani..?
4. Je ni miradi mingapi ya maendeleo imeletwa na dini kama dini ya waislamu..?
5. Je, pamoja na shule hizo kutaifishwa, ni shule ngapi za kila dini zilianzishwa na performance yake ilikuwaje..?

Kubwa kuliko yote... Una uhakika gani kuwa hii agenda ya mahakama ya kadhi haijaletwa tena ili kupoteza focus ya malalamiko ya wananchi juu ya mchakato wa katiba mpya kama ilivyofanyika kwenye uchaguzi..? Are we sure kwamba hatuwi used na wanasiasa kuendelea kubishana na kusahau agenda kuu ya katiba mpya..??
Wewee hicho kilikua kiini macho, kuzifanya ni shule za serekali lakini mkakati ulikua kuhakisha wanafunzi wa kiisalamu wanapungua kadri wanavyo zidi kupanda madarasa. Mwisho wasiku, wakati wanafunzi wote walianza darasa la kwanza almost 50- 50, Watoto wa Kislamu waliokua wanafanikiwa kupenya hadi chuo kikuuu, walikua chini ya 12%.

Matokoe yake Ngazi zote muhimu za serekali na Mashirika ya Umma zilishikwa na Wakristo huku waislamu wakiambiwa hawaja soma. Nawaliosoma pia, walihakikisha hawashiki nafasi nyeti serekalini. Halii ilikua Mbaya hadi Rais Ali Hasan Mwinyi alipoingia Madarakani na kuanza kufuta baadhi ya hizo athari. Kama unakumbuka vizuri na huna akili za kushikiwa, Raisi Ali Hassani Mwinyi hakuwa na Maelewano Mazuri na Nyerere hadi ikafikia hatua ya kupigana vijembe hadharani.

Kama unakumbuka, Nyerere aliwahi kunukuliwa akisema nchi inaongozwa na Mwanamke katika hatua zake za Kumprovoke Ali hassani Mwinyi.

Kwaupande wake yeye Mwinyi aliwahi kumjibu huyu Mheshimiwa sana, katika Sherehe zilizofanyika Uwanja wa Taifa kwa Kusema, '' Ukiwa Mtoni unaoga, akaja kichaa akachukua Nguo zako, Usimfukuze. Nyote Mtaonekana Vichaa''.

Dogo upo?. Kwa taarifa yako hali unayo iona sasa katika Serekali iliyopo sio Bahati mbaya. Yote hiyo ni Mikakati ya Waisilamu kuvunja adhari za Makanisa na ukiristo katika Mifumo ya Serekali na Utendaji, kama inavyo julikana kwa sasa MFUMO KRISTO.

Baada ya kibao kimeguaka, Makanisa na Wafuasi wake wakanza kugeukia katika Propaganda mbalimbali zikiwemo za vyombo vya Habari kuweka vijana wao walio brainwashed kua Yesu ni Mungu, na kueneza chuki dhidi ya Uisalamu na Waislamu na kujaribu kumchafua Ali Hassani Mwinyi kua haja fanya lolote katika nchi hii, wakati aliichukua nchi ipo kwenye njaa, watu wanapanga foleni kutafuta bidhaa muhimu, kama vile unga, sukari, mafuta ya taa n.k.

Wakati Ali Hassani Mwinyi anachukua nchi, bidhaa kama Sabuni za kuogea na dawa za meno zilikua ni bidhaa za anasa mtu wa kawaida alikua hawezi kua nazo.

Nakumbuka hata sabuni za kufulia kulikua hakuna. Tulikua tunafulia Majani ya Migomba. Daftari za kuandikia iliku hakuna, tulikua tunaandikia makaratasi ya Mifuko ya cement.

Rais Ali Hassani Mwinyi alipoingi Madarakani, akaiondoa hali hiyo mara moja. Akaruhusu kuanziswa kwa vituo vya Television.

Hali ya nchi ilikua imeanza kubadilika na kua nchi yenye neema. Kama Mgonjwa alieanza kupata nafuu.

Kuona hivyo, Baraza la Maaskofu KKKT, wakachapisha waraka kua nchi imejaa Rushwa, nchi inanuka.

Hilo hakika lilimuuzi sana Rais Ali Hassani Mwinyi. Akaamua kuwaondelea uvivu Maaskofu na Wakristo wote. Aliitisha Mkutano wa Wazee wa Dar- es -salaam Pale katika Hotel ya STAR LIGHT jioni saa kumi. Rais Ali Hassani Mwinyi aliongea kwa Masaa mawili bila kukaa kwa hasira. Aka wauliza Maaskofu, Nchi hii inanuka, imejaa rushwa mmeiona leo. Wakati watu wanapanga foleni za mawe kutafuta bidhaa Muhimu, nyinyi mlikua wapi?. Wakati Colgate ni bidhaa ya anasa, Nyinyi mlikua wapi?.

Akawaambia, Ndugu zangu Maaskofu, Ya Kaizari mpeni Kaizari na ya Musa mpeni Musa.

Mpaka hapo unaelewa hilo?. Sio mnakuja humu na kuropoka tu. Hamjui tumetoka wapi wala tunaenda wapi?.
 
Mkuu Umesoma Vizuri hizo AMRI ZA MUNGU?

Manake naona Kimya. Au hapo pia nimetukana!

HaHaaa HAKI imembainikia kaamua kukaa kimya.

Shukran sana mkuu kwa somo zuri, mwanafunzi kakuelewa inabidi Akawaite waalim wake nao waje tuwape darasa
 
Chaos and abbys to christians . Are christians ruled by Kadhi Court in Kenya ??

When you will learn from Zanzibar Qadhi Courts ?
There is nothing good to learn from Zanzibar.
 
There is nothing good to learn from Zanzibar.

Who asked you to learn good in Zanzibar ???

umekunywa damu ya yesu galoni ngapi ??

HUKUJIBU KITU HAPA , ni bora hata ukae kimya au damu ya yesu ikikutoka jibu masuali haya

MASUALI NI HAYA

Chaos and abbys to christians . Are christians ruled by Kadhi Court in Kenya ??

When you will learn from Zanzibar Qadhi Courts ?
 
Teh teh teh teh!

Mkuu leo inatuambia kutembea na mavi matakoni ni SAYANSI!?

Dah! Hebu nionyeshe japo article moja la kisayansi Linalosema Kutwazia MAKARATI ni Bora Kuliko MAJI!

UKRISTO umeletwa na Wazungu! Na kila wakifanyacho wazungu basi WAKRISTO WOOTE wanaiga tu km Bendera kufuata Upepo.

We huoni WACHUNGAJI wanavaa SUTI na Tai wakati joto liko 38°centigrade? Halafu umkute hapo katawazia makaratasi! Unaweza kutapika kwa harufu.

Fungueni macho Watz. Wazungu ni Wachafu mno.
Tawazieni Maji kM WAISLAMU.

Matumizi ya karatasi au maji kwetu siyo swala la imani, ukristo hauna upuuzi wa suna!

Inapotokea maji hakuna mnafanya nini? Na yale mawe kwenye sehemu za kukojolea ni ya nini? Na wanawake ambao system yao ni ya ndani hufanyaje? Au hudumbukiza jiwe ndani?

Unavyosemea joto kali na suti ushawafikiria wanawake wa kiislam wakati wa joto wakiwa na majuba hadi nikab?
 
Who asked you to learn good in Zanzibar ???

umekunywa damu ya yesu galoni ngapi ??

HUKUJIBU KITU HAPA , ni bora hata ukae kimya au damu ya yesu ikikutoka jibu masuali haya

MASUALI NI HAYA

Chaos and abbys to christians . Are christians ruled by Kadhi Court in Kenya ??

When you will learn from Zanzibar Qadhi Courts ?

Lugha ya Malkia unaiharibu sana, tumia Kiswahili ndugu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom