Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Umejuaje? Ndo hao hao....kwani vipi hawana vigezo?
we we we we...!! sema su..!! ohooo..., eti sina meno..!!?!, chezea hao hao akina Bishanga na Vin Diesel.., mi hatari sana..... kosa moja goli tatu na hapo lazima ubarikiwe mapacha tena wote kurwa. usicheze na hiki chuma cha mjeremani wewe...!
SAFEt na kwa nini unanifuatilia? Unatamani kwenda pande eeh.
tena umewasahau wengine au nikupe full list?
Copy: Ruhazwe JR unamwona huyu dogo eeh.
Mamndenyi hatulii bana, mara Vin Diesel, mara Bishanga , na sasa eti Mr Rocky , khaa..!!!! no wonder Arushaone alitoka nduki
Unanikana eh?
SAFEt na kwa nini unanifuatilia? Unatamani kwenda pande eeh.
tena umewasahau wengine au nikupe full list?
Copy: Ruhazwe JR unamwona huyu dogo eeh.
Like father like son.Mie naona ushauri wa Mamndenyi wafaa sana..Kama una nia ya kutukwamua wewe tupe mkopo usio na masharti..
btw assignment yangu kwako bado ipo pale pale..
Kwenda pande gani?
Kuna tamko ntalitoa ndani ya masaa 30 kuhusiana na mahusiano na mke wangu