Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa ujumla kutokana na uchezaji wao wa ovyo.
Beki na viungo wa Simba wanafanya sana reckless tackles...
Kwa watu wa ball you bella wochi you back once again chondechonde kwa. benchi la ufundi la wanasimba tunaomba huyu dogo asicheze kama. Kweli tuko serious na kusaka ubingwa
Semfuko huyu dogo asicheze kabisa ikibidi tumtoe kwa mkopo kule pamba jiji anatuchomesha sana ile penati dhidi ya pamba...
Kiungo wa Senegal Pape Gueye amechapisha ujumbe kwenye insta story yake akiweka wazi kutitoa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Senegal hadi benchi la Ufundi litakapofanyiwa mabadiliko.
"Nitarejea baadae kuwaambia maneno machache kuhusu kutolewa kwetu, lakini leo natangaza kwamba ikiwa benchi...
Heshima kwako Mohammed Dewji
Pole na majukumu ya kuijenga Simba SC. Ili Simba irejee kwenye utawala wa soka la Afrika na Ligi ya NBC, nimefanya uchambuzi wa kina (Squad Audit) kufuatia matokeo ya hivi karibuni yasiyoeleweka ikiwemo sare ya 2-2 dhidi ya Esperance mwenye ligi ya mabingwa na mechi...
Kuna haka katabia kalianza kunikera katika vilabu vya Simba na Yanga ka viongozi wa siasa kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji baada ya mechi na wakati mwingine kabla ya mechi na hata kipindi cha mapumziko.
Ni katabia kalikoota mizizi na sasa imeonekana kama ni jambo la...
Waziri Kombo akutana na benchi la ufundi la MKICC
Mapema leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na benchi la ufundi (technical team) linalosimamia ujenzi wa kituo kipya cha kimataifa cha mikutano cha ‘Mount Kilimanjaro International...
Inadaiwa kuwa benchi la ufundi la Singida Black Stars halijalipwa mshahara kwa miezi miwili hadi sasa. Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umetoa kipaumbele kwa mishahara ya wachezaji, huku benchi la ufundi likikabiliwa na hali ngumu, hasa wakati huu wa kuelekea Sikukuu ya Eid.
Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC).
Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka...
Hello!
Simba kama timu kubwa Africa ni lazima uchukuaji wake wa vikombe hasa vya ligi kuu viwe ni lazima angalau isipite miaka 3 bila kunyenyua ndoo. Lakini kwa trend hii ya kudondosha point kwenye mechi muhimu, suala la vikombe kwenda msimbazi linaweza kusubiliwa sana.
Mechi kati ya Simba na...
Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza.
Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi?
Wana Simba...
Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.
Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
Ni baada ya kipindi cha kwanza kuisha kulizuka mzozo kwenye lango la kwenda vyumba vya mapumziko, baada ya varagati hilo alionekana moja ya makocha wa Singida Black Stars akiwa amelala chini.
Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki.
Kuna wachezaji ambao hawasitahili kuanza kwenye first eleven ya mwalimu, baadhi ya wanyezaji hao ni;
Balua,
Shomari Kapombe: ( amekuwa uchochoro wa adui...
Taifa stars ifundishwe na walimu wenye ubora na uzoefu mkubwa kuliko wachezaji wanakotoka kwenye timu zao. Hii itachechemua fikra za wachezaji kuhusu timu yao ya Taifa. Mwanafunzi wa chuo kikuu kufundishwa na mwalimu wa secondari haiamshi hamasa ya mwanafunzi kutaka kujifunza. Timu yetu ya Taifa...
Usajili ni mkubwa lakini timu haiko vizuri kusema ukweli. Hata nafasi hii ya kucheza CAF championship ilitokana na TFF kuruhusu Tabora united yenye wachezaji 8 uwanjani kucheza na Azam na kujipatia pts 3 na magoli meeengiiii yaliyosababisha kuishinda Simba kwa magoli kwenye msimamo wa ligi...
Ligi Kuu ya soka nchini imeanza rasmi leo kwa Pamba Jiji kutoka suluhu na Prisons ya Mbeya, vijana wengi mnaweza msiijue sana historia ya Pamba ya Mwanza, nitakuja kuwaeleza siku nyingi kuhusu Pamba ile ya golini Madata Lubigisa au Paulo Rwechungura, kulia Abdallah Bori kushoto Deo Mkuki, Nne...
Baada ya Engineer kuvutiwa waya jana na kuelezwa kuwa Elie Mpanzu yuko tayari kujiunga na Yanga endapo atahitajika, leo Master Gamondi amemthibitishia Engineer kuwa hahitaji kuongezewa nguvu kwasasa na kwamba apewe muda kurekebisha mapungufu aliyo yaona ili kikosi kifanye vizuri kitaifa na...
Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga SC.
Kikosi cha Yanga
YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI CAF, YAPIGWA 3-0 UGENINI
Ikicheza kwenye Uwanja wa Stade du 5 Juillet Nchini Algeria, Yanga imeshindwa...
Ili kuepuka aibu ya kufungwa goli nyingi katika mchezo wa marudiano AFL kesho (pamoja na ahadi ya bilioni moja kutoka kwa Mo endapo akishinda mchezo wa kesho) kiufundi naona mambo yafuatayo yanapaswa kufanyiwa kazi.
Simba wanapaswa wajiuekuwa wanatimu mbovu. Hawana Golikipa hata mmoja ukitoa...
GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC na ndiyo maana hata akiharibu analindwa nao kwa nguvu Kubwa.
GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Waandishi wa Habari wa Michezo na hata Wachambuzi wa Michezo ili Wampambe /...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.