Kikosi cha Ushindi Simba VS Jwaneng Galaxy

Milonji

Senior Member
May 26, 2022
153
494
Salaam Ndugu zangu.

Naomba kutoa mapendekezo yangu kuhusu kikosi cha Ushindi cha Simba kama inahitaji kuwafunga Jwaneng Galaxy hapo Kesho.

1. Golikipa yeyote kati ya Aishi, Ally Salim au Ayoub anaweza kudaka.

2. Shomari Kapombe

3. Mohamed Hussein

4. Chemalon (Hata akicheza No. 5 sawa)

5. Inonga (Hata akicheza No. 4 sawa)

6. Mzamiru / Sarr

7. Kibu

8. Ngoma / Mzamiru / Kanoute

9. Fredy

10. Chama

11. Nickson (Konde Boy)


Sub.
Kipa yeyote, Saido, Karabakh, Chasambi, Mwenda na hao watakaokosa nafasi kwenye first eleven.

Angalizo.
Saido Ntibanzokiza asianze, aingie kama Sub.
 
Saido kuanza nadhani ni issue ya mkatana sidhani kama ni issue ya uwezo wake na sikumbuki ni lini Saido ameanzia bench au kafanyiwa sub toka ameingia simba.
Kwa Simba ilivyo Hakuna wa kumweka Saidoo nje. Kwanza ukiacha uwezo ana nafasi yake kama mkalimani.
 
Back
Top Bottom