World Logistics Company
Member
- Jun 1, 2021
- 99
- 104
Ni bandari na airport kwa mizigo inayokuja kwa ndege/ air Cargo. Viwango vya Tozo ni vikubwa sana na huwa ni kikwazo kwa wengi.Swali fikirishi: Kwanini mizigo mingi hukwama bandarini? Kwanini baadhi ya watu au makampuni hutekeleza mizigo yao hadi kuishia kupigwa mnada?
Asante kwa kuongezea na Airport mkuu. Ni kweli yapo malalamiko ya viwango vya tozo kuwa vikubwa na kubadilika badilika hivyo kuwaathiri wanaoagiza bidhaa kutoka nje ya nchi..... Ni bandari na airport kwa mizigo inayokuja kwa ndege/ air Cargo. Viwango vya Tozo ni vikubwa sana na huwa ni kikwazo kwa wengi.
Ameshatangaza biashara mwenzakoSasa mbona hata wewe hujatoa solution Nini kifanyike
Nami nimejua Ila Tangazo halijashibaAmeshatangaza biashara mwenzako
Mkuu Ugumu.Sasa mbona hata wewe hujatoa solution Nini kifanyike
Ameshatangaza biashara mwenzako
Amechukua hela za nani?Rudisha hela za watu
Nenda ukawaone kabla ya kuagiza kitu ili wakupigie estimate ya kodi yako ya forodha.Sasa mbona hata wewe hujatoa solution Nini kifanyike
Nenda ukawaone kabla ya kuagiza kitu ili wakupigie estimate ya kodi yako ya forodha.
Kikuu naona ukinunua makadirio yako humohumo ndani...maana niliagiza mizigo ikafika bila matatizo ya Kodi nkapewa bila kutozwa chochote ...niliwatembelea silent ocen wakasema wao unalipa gharama ya kusafirishiwa mzigo ukifika unaenda chukua ..mwenye uzoefu na silient ocen atupe ...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Cc.kaka jambaziAmechukua hela za nani?
Ana tuhuma nyingi za utapeliAmechukua hela za nani?
Ahsante Sana mkuuMkuu Ugumu.
Tumetoa ushauri kwa changamoto husika.
"Tunashauri, kabla ya kuagiza bidhaa yoyote ile ni vyema kufahamu gharama halisi zitakazotozwa pindi mzigo utakapowasili nchini. Hii itasaidia kujua kama bajeti inaruhusu kuagiza mzigo husika kwa wakati huo au la. Ni busara kutumia ushauri au maelekezo kutoka kwa wakala wa forodha na wazoefu wa masuala haya (kama sisi) kwa msaada anuai."
Je, ni solution ipi unayodhani tunapaswa kutoa zaidi? Karibu
Ahsante Sana mkuu