Updates: Maombi ya Vyuo Vikuu kwa Mwaka 2023/2024

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,312
Karibuni hapa tupeane taarifa na habari za hapa na pale kwa maombi ya vyuo vikuu kwa mwaka huu wa 2023/2024.

Kwa wanafunzi wanaoomba au wazazi,walezi,ndugu na marafiki mnaowasaidia ndugu zenu kwenye maombo huu ndo uwanja wa kukuhabarishana.

Hizi hapa ndiyo guidelines zinazotumika kwa form six na wale wa diploma wanaoenda kuchukua degree ya kwanza.
View attachment Admission Guidebook 2023_24.pdf
View attachment Admission Guidebook. Equivalent Applicants 2023_24.pdf

Na hii ndiyo Almanac au ratiba nzima itakavyokuwa kwenye mchakato wa mwaka huu. Maombi yameanza rasmi leo tarehe 15 Julai na yanategemewa kufungwa tarehe 4 Agosti katika raundi ya kwanza.
View attachment BACHELOR'S DEGREE ADMISSIONS ALMANAC FOR HIGHER EDUCATION INSTITUTIONSM - 202324 ADMISSION CYCLE.pdf
 
Dahhh hapa nawaza sijui ntapata nafasi maana kwenye AVN nina GPA 2.9 nimeomba sasa baada ya kuomba ndo nakutana na balaa hili

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Yaani hapa nina transcript ya chuo nilipomalizaga mwalimu wangu alinipa yenye GPA 3.3 sasa wakati najaza AVN number nashangaa nina GPA 2.9 yaani nimeshindwa ata kulala.

Mwalimu wangu huyu sijui ana alikuwa na shida gani maana wengi kweli ametufanyia umafia mkubwa sana. Nadhani wengi tuliomaliza diploma mwenye GPA kubwa ni mwenye GPA 3.5 yaani basi tuu.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
kwa kwel kwa Upande wa AVN n suala la kumuomba mungu mambo ya NaCTE kama umesoma vyuo vya uchochoron.wanakula kichwa
 
Yaani hapa nina transcript ya chuo nilipomalizaga mwalimu wangu alinipa yenye GPA 3.3 sasa wakati najaza AVN number nashangaa nina GPA 2.9 yaani nimeshindwa ata kulala.

Mwalimu wangu huyu sijui ana alikuwa na shida gani maana wengi kweli ametufanyia umafia mkubwa sana. Nadhani wengi tuliomaliza diploma mwenye GPA kubwa ni mwenye GPA 3.5 yaani basi tuu.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Uende Nacte ufuatilie ili wakubadilishie AVN isome sawa na kwenye Transcript
 
Avn ndio mdudu gani ? Elimu ya siku hizi bwana mbwembwe kibao quality sifuri.
Award Verification Number (AVN),Hii Number anayopatiwa diploma holder ili kumuwezesha kuomba vyuo ngazi ya bachelor.Inatolewa na nacte.Muhitimu wa ngazi ya diploma pindi tu anapo hitimu,chuo chake kinalazimika ku upload matokeo yake kwa semester zote kwenye system za nacte.

Matokeo yakisha panda nacte,then nacte wanafanya Verification kwa matokeo hayo na kutoa AVN.Diploma holder anapokuwa akifanya applications za vyuo vikuu,system inamuomba AVN instead ya ku upload vyeti vyake.Akiingiza AVN yake taharifa zake zinakuja zote ikiwepo GPA yake,chuo alicho soma pamoja na course aliyosoma.

Kwa kifupi sana nadhani utakuwa umeelewa nini AVN.
 
Cheti chake ndio hicho hapo kinatolewa na NACTE kwa sh. 10,000. Sasa unakitumia ukiomba nafasi.
 
Attachments

  • Screenshot_20230825_084341_Drive.jpg
    Screenshot_20230825_084341_Drive.jpg
    49.5 KB · Views: 18
Back
Top Bottom