Ushauri unahitajika: Which country should he visit?

$2,500 yeye,mkewe na mtoto lakini bado anaweka masharti kibao! Ukiwa na limited budget huwezi kuwa na options nyingi. Cha kumsaidia mwambie aongeze budget ataenda popote anapopenda.
 
Jamaa yupo hapa hapa TZ, history is his thing. Wanapenda pia beach na modern cities kuona sio mbaya. Kwa mfano mwaka Jana tulikuwa Singapore, Malaysia, Cambodia na Thailand. So you can see what kind of people he is or we are
India na Turkey hizi kwa history na vyakula vyao pia vizuri. Beach Maldives island au Madagascar. Kama wife wake ataweza 14 to 16 hr flight Brazil,Mexico na Aruba.

Nangatukaa 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
$2,500 yeye,mkewe na mtoto lakini bado anaweka masharti kibao! Ukiwa na limited budget huwezi kuwa na options nyingi. Cha kumsaidia mwambie aongeze budget ataenda popote anapopenda.
Ifikie kiasi gani mzee hebu funguka.

Mbona km inaweza watosha hivi
 
Mkuu mbona sehemu zipo nyingi sanaa

Mwambie aende china akadhuru lile daraja la kioo

Au iceland kule kuna hotel za chini ya bahari ata enjoy

Au Atakama Namibia kwenye jangwa la atakama kuna adventures nyingi tu na ni cheap kwa kiasi chake

Au Italy akahudhurie matamasha ya miziki ya asili ya watu wa italy

Au Brazil...., huko ndo kuna alot of adventures

Au mwambie akatembelee hata mbuga ya serengeti

Umeisoma hyo budget yake kwanza? 2500$
 
Ila hii pesa ni ndogo sana, kwa watu wa3 haitoshi..

Labda aende mikumi au oldvai George au akashangae hata fuvu la mkwawa uheheni huko iringa
Hivi unam-consider huyo mtoto kama pax by himself??

I will tell you my experience. Malaysia is a beautiful country. Its cities are attractive. Air ticket from Dar to KL ni $610 kwa hiyo watu wawili itakuwa ni $1220 na mtoto analipiwa 10% ya ticket ya guardian wake so ni $61. Kwa hiyo tickets for all of them itawagharimu roughly $1300.

Fantastic room in Kuala Lumpur ni $50 per night on bead and breakfast kwa hiyo kwa dola 350 they can secure a very good accommodation for themselves for a week. Standard amount for meals ni $10 per person per meal kwa hiyo in a day watatumia $40 which means per week watatumia $300.

Let them visit Menara tower, Petronas towers, Big malls in KL ambazo zote zinapatikana pale CBD hiyo haitowagharimu hata $40. Let them visit Batu caves in another day ambapo kiingilio ni $5 per person, let them attend cinema show in one night ambapo kiingilio ni $10 per person ambayo itakuwa ni $20 let them do city tour on a olen roof buses ambapo fee ni $10 per person.

On another night let them visit China town in the afternoon ambapo ni kama kariakoo tu ambapo ni free, then at night let them visit Kuala night market ambapo they will just go for dinner, they wont spend more than $20 and mind you hela ya meals kwa siku zote hizo nshaigia hesabuni pale juu. Out of those 7 night they can opt to stay in their rooms and have s*x for two nights without going anywhere.

Kwahiyo bro usidhani hiyo pesa ni ndogo na tusiwakatishe travellers kama Mother Confessor tamaa.

cc: RRONDO
 
Pesa ni ndogo kwasababu ana masharti mengi. Angekuwa hana limited budget angeenda popote hata Grumeti
 
Back
Top Bottom