Ushauri unahitajika: Which country should he visit?

Ushauri unahitajika: Which country should he visit?

Ela yake ndogo sana hats nauli haitoshi
Mfano kama akienda turkey
Visa 400000
Flight go & return per kichwa USD 1400×2(mkewe) × watoto
Health insurance $ 600
Hotel per day 20$

Hivyo viela vyake aje tu huko moshi anywe mbege arudi au aonge dau angalau dollar 15000 ili anjoy maisha ya mbele
1123621

Sina haja ya kuendelea kukujibu upupu wako. Unapata faida gani kupotosha.

Visa ubalozini hapo dar ni $60 tu.
 
Mwambie aanze na utalii wa ndani kwanza. Kwa budget aliyonayo ataenda na familia yake Ngorongoro, Serengeti , Mikumi NK, na ataenjoy sana. Asisahau kwenda Zanzibar kuogela na dolphins.
Thanks mkuu, ila huyu ni mtu anasafiri sana for holidays. Na unaishi Zanzibar, amewahi fika mikumi na baadhi ya maeneo uliyoyataja.

Kusafiri abroad sio ghali kama watu wanavyodhani mkuu
 
Weka data zako mkuu hiyo pesa ni ndogo kwa nchi za ulaya na documents ndio zitakukataa hasa kwenye uombaji wa visa kama schengen visa na healthcare insurance
Me nshakuwekea. Weka hiyo ticket yako ya $1400
 
View attachment 1123621

Sina haja ya kuendelea kukujibu upupu wako. Unapata faida gani kupotosha.

Visa ubalozini hapo dar ni $60 tu.
Sasa si yupo na watoto + wife calculate mwenyew hapo nauli tu atabakiwa na kiasi gani

Then a save na pesa za hotel + health insurance labda aende ulaya mashariki huko but schengen countries hasogei hata visa atanyimwa sababu financial statement
 
Acha ujinga, wewe umesema nauli ni $1400 per person. Ndio nataka unionyeshe hiyo nauli muongo wewe. Dunia mzima hakuna route inafika hiyo nauli from Dar.

Halafu unajuaje atakosa Visa?? Unamjua?? Hebu ntolee upupu wako hapa
 
Ela yake ndogo sana hats nauli haitoshi
Mfano kama akienda turkey
Visa 400000
Flight go & return per kichwa USD 1400×2(mkewe) × watoto
Health insurance $ 600
Hotel per day 20$

Hivyo viela vyake aje tu huko moshi anywe mbege arudi au aonge dau angalau dollar 15000 ili anjoy maisha ya mbele
Duniani hakuna Visa expensive zaidi ya Visa ya Saudia Arabia na huyu mtu kashafika. Kama huna ujualo juu ya haya mambo kaa kimya
 
Duniani hakuna Visa expensive zaidi ya Visa ya Saudia Arabia na huyu mtu kashafika. Kama huna ujualo juu ya haya mambo kaa kimya
Kulipia visa sio shida shida ni kupata visa ila huyo ndugu yako akieweza kupata visa ya schengen at enjoy zaidi ataweza kutembea ulaya nzima bila tabu
 
Hiyo hapl nyumba fantastic na bei yake it's around $80 per night na breakfast included. Maana yake ni kwamba accommodation watapata kwa $500 for the whole week. Na flight zao kama nlivyoangalia Jana itawacost $1300 (return tickets) meals zao $ 300 for the whole week stay zilizobaki $400 watafanya taxi na excursions. Kwa hiyo inawezekana na budget sio ndogo kudaadeki
Mkuu majibu yote kumbe unayo. Flight mpaka Greece ni muda gani maanake msafiri wako hapendi kukaa muda mrefu ndani ya ndege
 
Mkuu majibu yote kumbe unayo. Flight mpaka Greece ni muda gani maanake msafiri wako hapendi kukaa muda mrefu ndani ya ndege
Sikuwa nayo majibu mkuu baada ya kupata suggestions humu ndio nkaongeza wigo wa search yangu.

I think ni 8 to 9 hours mkuu mpaka Athens. I will seriously recommend Greece mzee baba. Then umeona ile accommodation pale juu kaka???
 
8-9hrs zimefail masharti. Hizo accomodations ikifika in reality sio rahisi kama inavyoonesha
 
Back
Top Bottom