Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
- Thread starter
- #21
Kabisa kabisa broo. I have checked Dubai na kwa budget yao haitowafaaDubai ingekuwa bomba sana ila jiji lile ni GHALI sana.
Kabisa kabisa broo. I have checked Dubai na kwa budget yao haitowafaaDubai ingekuwa bomba sana ila jiji lile ni GHALI sana.
Tz kuna vivutio vingi pia mtoa mada...mmevimaliza?
MamboUzi wa kujifunza kitu kwa sisi wapenda kusafiri...
Lemme' stay here!!!!
Popcorn please!!!!

Zenj pia ni bomba sana kula bata.
Naota huyo mtu atakua anaishi Zenji mkuu
Uzi wa kujifunza kitu kwa sisi wapenda kusafiri...
Lemme' stay here!!!!
Popcorn please!!!!
Tubadilishane basiiMie kusafir kulinishinda jaman..ss hv nasafiri kweli ila nanunaaa
Poaa😄Mambo![]()
Rafiki yako yupo nchi gani? Ili mtu asije sema aende Kenya wakati yupo Kenya. Pia anapendelea vitu vya history,adventures, beach au ....??? Huwezi kupewa sehemu ya kwenda bila ya kusema nini anapendelea kuona hata iwe family vacation lazima kuwe na kivutia flani kitampeleka kule.Hapataki TZ
Hahahahaha! Kwa kweli huyu sio mzalendoHahahahahaha..."..xio mzalendo uyo"
Karibu sana😊😊😊😊😊Uzi wa kujifunza kitu kwa sisi wapenda kusafiri...
Lemme' stay here!!!!
Popcorn please!!!!
Kumbe na wewe ni traveller???Uzi wa kujifunza kitu kwa sisi wapenda kusafiri...
Lemme' stay here!!!!
Popcorn please!!!!
Shukrani sana chief😊Karibu sana😊😊😊😊😊
Hahahahah! Jamaa ni mzanzibar mkuuZenj pia ni bomba sana kula bata.
Yeah mkuu. Lete ushauri kakaKwaiyo tuseme ana milion tano na laki nane ivi???.